Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

2018 Modric won it because of World cup's POTT

Modric hakushinda world cup 2018, Iliyoshinda ni france. Kwanini hakushinda Mbappe au Griezmann? unachoshindwa kusema ni kuwa Modric ali win CHampion league msimu huo hhuo na na akawa Best midfield in Europe.
 
Unaweza kuprove hiki ulicho kiandika kwa kutumia valid resources

"

Au hisia zako?

2010 Bingwa Spain Ballon Dior winner Messi
2014 Bingwa Germany Ballon DIor winner Ronaldo
2018 Bingwa France Ballon Dior winnwe Modric
 
2010 Bingwa Spain Ballon Dior winner Messi
2014 Bingwa Germany Ballon DIor winner Ronaldo
2018 Bingwa France Ballon Dior winnwe Modric

Bado huja prove ulicho kiandika niliomba reference ya hiki cha chini hujanipa ilipo andikwa?
Mpaka 2006 World Star ndio automatic aliyekua anakua mshindi ila hii criteria ilikufa automatic baada ya hapo na ndio mana hakuna mshindi mwengine aliyeshinda hiyo tunzo baada ya Cannavaro
 
Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito kwenye Ballondor? Hili ndio swali langu.......
Mechi saba ndio mtu apewe Mchezaji bora wa mwaka? Kuweni serious basi.....

If Ingekuwa hivyo Iniesta Angechukua 2010.
We mpira umeanza kufuatilia lini ?
 
Simba alivyomtoa Nkana......
Ndio maana umeuliza swali la kipuuzi
Mwaka 98 zidane anachukua kisa world cup
2002 de lima anakaa msimu mzima nje inafika wc anakiwasha sio mchezo anabeba hiyo tuzo
Mwaka 2006 azzuri wanabeba wc captain wao Fabio canavarro anatwaa hiyo tuzo kwa ajili ya mechi saba tu

Kwa hiyo maswali ya kipuuzi hatuyataki
We unaona nani anastahili na kwa kigezo gani ?
 
Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.

Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.
View attachment 2792549
Kweli asee
 
Ndio maana umeuliza swali la kipuuzi
Mwaka 98 zidane anachukua kisa world cup
2002 de lima anakaa msimu mzima nje inafika wc anakiwasha sio mchezo anabeba hiyo tuzo
Mwaka 2006 azzuri wanabeba wc captain wao Fabio canavarro anatwaa hiyo tuzo kwa ajili ya mechi saba tu

Kwa hiyo maswali ya kipuuzi hatuyataki
We unaona nani anastahili na kwa kigezo gani ?
Kwahiyo kilitokea nini kwa Iniesta?
Ndugu Mkongwe
 
Mnapata wapi muda wa kujibizana na hawa fanboys wa Ronaldo?

Kocha wa Eerling Haaland, bwana Pep Guardiola amesema Messi ndio anastahili. Hawa akina Selemani wa Tandahimba na Tukuyu waacheni waamini watakavyoona wao.

Wapiga kura ni waandishi mashuhuri wa habari za michezo, macaptain wa timu pamoja na makocha wanaoujua mpira vizuri kabisa. Kama wao wakiamua kumpa Messi, wewe msela nondo wa Kibondo hata ukipasuka haisaidii. You're a nobody, and you know nothing. No one cares about your opinion!

Yani mimi nikae kabisa kujadili mpira na mtu ambae haoni umuhimu wa world cup? Eti world cup ni mechi saba tu, shut the f@ck up! Ligi yenu ya bongo iko na mechi ngapi? Je ni bora kushinda Africa cup of nations? UEFA na EPL, ipi yenye mechi nyingi? Ipi ni kubwa kuliko nyingine?

The world cup is the biggest and the most prestigious football tournament. Kama hujui umuhimu wake, hiyo ni shida yako mwenyewe. Fabio Cannavaro alishinda Balon d'Or tena akiwa beki, na club yake ikiwa hoi bin taaban (ilishuka daraja kama sikosei). Kilichompa balon d'Or ni world cup!

To all Ronaldo Fanboys mnaochukia Messi kushinda balon d'Or ya nane, cry me a river. F@ck you all, and have a good night!
 
Bado huja prove ulicho kiandika niliomba reference ya hiki cha chini hujanipa ilipo andikwa?
2006 - Cannavaro
2002 - Ronaldo
1998 - ZIdane
1994 - ROmario
1990 - Lothar Matthaus
1986 - Maradona (baada ya kura za mara ya pili)
1982 - Rossi
1978 - Kampes (Baada ya kura za mara ya pili)
 
2006 - Cannavaro
2002 - Ronaldo
1998 - ZIdane
1994 - ROmario
1990 - Lothar Matthaus
1986 - Maradona (baada ya kura za mara ya pili)
1982 - Rossi
1978 - Kampes (Baada ya kura za mara ya pili)
Hayo na yajua mimi nataka reference ya hiko ulicho kiandika, hapo umeniwekea list ambayo nikigoogle naipata.

"
Mpaka 2006 World Star ndio automatic aliyekua anakua mshindi ila hii criteria ilikufa automatic baada ya hapo na ndio mana hakuna mshindi mwengine aliyeshinda hiyo tunzo baada ya Cannavaro

Kwenye list yako hiyo hiyo, hivi ushajiuliza why De Lima pamoja na kutokuwa na medali ya UEFA, ila ameshinda hiyo tuzo?
 
Kwani nani alikuwa mchezaji bora wa mashindano 2010 ?

Forlan, na hakuingia hata kwneye top 3 ya Ballon Dior. Kwa kifupi last winner wa mchezaji bora wa mashindano ya World Cup Ukitoa Modric ambae sambamba na uchezaji bora wa World cup pia alishinda champion league, alikua ni Romario.
Sasa iweje leo from no were Messi awe favorite sababu alishinda tunzo ya uchezaji bora world cup huku akiwa na average club season? Mbona hao wengine wa nyuma hawakupewa?
 
Hayo na yajua mimi nataka reference ya hiko ulicho kiandika, hapo umeniwekea list ambayo nikigoogle naipata.

"

refrence yanini ndugu unayotaka? Top performer wa winning team always alikuwa ndio favorite wa tunzo, hiyo imebadilika kwa zaidi ya miaka 15 sasa. Messi na Ronaldo walishinda tunzo kwa kupitia mazingira kama hayo kwanini Haland anyimwe?
 
Forlan, na hakuingia hata kwneye top 3 ya Ballon Dior. Kwa kifupi last winner wa mchezaji bora wa mashindano ya World Cup Ukitoa Modric ambae sambamba na uchezaji bora wa World cup pia alishinda champion league, alikua ni Romario.
Sasa iweje leo from no were Messi awe favorite sababu alishinda tunzo ya uchezaji bora world cup huku akiwa na average club season? Mbona hao wengine wa nyuma hawakupewa?
Nakuuliza wewe nani anastahili hiyo tuzo
Maana unamuatack messi na wewe mtaje anayefaa tupime vigezo baada ya hapo tuanze kujibiana maswali
 
Nakuuliza wewe nani anastahili hiyo tuzo
Maana unamuatack messi na wewe mtaje anayefaa tupime vigezo baada ya hapo tuanze kujibiana maswali

Hakuna anestahiki zaidi ya Haland.

Mafanikio aliyoyapata Haland msimu uliopita yangelimtosheleza Messi au Ronaldo kushinda tunzo na wala isingelijaalisha nani kabeba world cup au nani kubeba tunzo ya uchezaji bora wa world cup. Kwanini Haland akoseshwe tunzo?
 
Forlan, na hakuingia hata kwneye top 3 ya Ballon Dior. Kwa kifupi last winner wa mchezaji bora wa mashindano ya World Cup Ukitoa Modric ambae sambamba na uchezaji bora wa World cup pia alishinda champion league, alikua ni Romario.
Sasa iweje leo from no were Messi awe favorite sababu alishinda tunzo ya uchezaji bora world cup huku akiwa na average club season? Mbona hao wengine wa nyuma hawakupewa?
Hebu taja avarage season ya messi ilikuwaje magoli mangapi assist ngapi na makombe mangapi
Ndio utaelewa avarage season kwa messi ni best for the rest akijisemea pep
 
Hakuna anestahiki zaidi ya Haland.

Mafanikio aliyoyapata Haland msimu uliopita yangelimtosheleza Messi au Ronaldo kushinda tunzo na wala isingelijaalisha nani kabeba world cup au nani kubeba tunzo ya uchezaji bora wa world cup. Kwanini Haland akoseshwe tunzo?
Kwanini sio de bruyne ?
 
refrence yanini ndugu unayotaka? Top performer wa winning team always alikuwa ndio favorite wa tunzo, hiyo imebadilika kwa zaidi ya miaka 15 sasa. Messi na Ronaldo walishinda tunzo kwa kupitia mazingira kama hayo kwanini Haland anyimwe?
Kwani De Lima kwa nini alikuwa anachukua hiyo tuzo (list umeweka mwenyewe) na hajawahi kushinda medali ya UEFA mpaka anastafu.

Kwani ww uonavyo Halaand ana vigezo vipi vya kumshinda Messi ambavyo Messi hana, maana hapa wadau wamekuwekea mpaka reference.
 
Kwanini sio de bruyne ?

Kwasababu Halland alikuwa ndio most consistence na top performer kwenye team, goli 50 sio ishu ya kitoto ndugu. Football is not all about skills, its about delivering. NA kwa position yake alichokifanya ni kikubwa kuliko mchazaji wa position yoyote ile kwenye timu.

Kwa hoja hizo kwanini Tunzo alizoshinda messi akiwa Barca asishinde Iniesta?
Na tunzo za Ronaldo kwanini asisihinde Modric?
 
Back
Top Bottom