Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

Messi na Ronaldinho ndio wachezaji mpira wa kipekee kuwahi kutokea duniani.

Messi ndiye binadamu mwenye kuujua mpira kuliko binadamu yoyote yule.

Ukibisha kufa..[emoji1][emoji1]
Siku tunaangalia mpira wa Brighton tu..mwendo wa Ngiri😀😀😀😀
 
Sasa mimi na ww nani anaropoka? Manake nimekuuliza kupitia hoja ulizo unazo zianzisha ww ila hueleweki kama sigara kali, kwa hiyo gazeti hilo halinaga criteria za mshindi wa hiyo tuzo?

Halina, ni siasa tu. ukianza kuoredheshewa manayga yao kama unajielewa kidogo tu unaweza hata kuwapiga ban
 
Messi apewe maua yake. Sio mshabiki wa mpira ila hatabukipitisha macho kwenye michezo utajifunza ni mchezaji smart na wa kiwango cha juu sana
 
Siasa kwa mtizamo wako, ila hiyo tuzo ina hadhi kubwa katika medani ya mpira wa miguu na ni ndoto ya kila mchezaji mkubwa kushinda.
Halina, ni siasa tu. ukianza kuoredheshewa manayga yao kama unajielewa kidogo tu unaweza hata kuwapiga ban
 
Siasa kwa mtizamo wako, ila hiyo tuzo ina hadhi kubwa katika medani ya mpira wa miguu na ni ndoto ya kila mchezaji mkubwa kushinda.

unawezwa twambia ni kigezo gani kilitumika kumpa tunzo Messi 2010 na Ronaldo 2013?
 
Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito kwenye Ballondor? Hili ndio swali langu.......
Mechi saba ndio mtu apewe Mchezaji bora wa mwaka? Kuweni serious basi.....

If Ingekuwa hivyo Iniesta Angechukua 2010.
Hivi unajua Modric alipewa ballon dor kisa tu kafika fianali kombe la Dunia?
 
Hujanibu cha Cannavaro? Nijibu hiko nami nitakujibu.

Kwani ww unataka mwaka huu tuzo achukue nani na kwa vigezo ?hili swali nalo hukunijibu.

kwanini unapandia swali juu ya suala? tujibu basi kwanza tuendelee
 
kwanini unapandia swali juu ya suala? tujibu basi kwanza tuendelee
Nani hapa aliye opandisha maswali?
Screenshot_20231028_090128_Chrome.jpg

Unaweza ukuta majibu yako ukayapata kupitia hilo swali.
 
Nani hapa aliye opandisha maswali?
View attachment 2795413
Unaweza ukuta majibu yako ukayapata kupitia hilo swali.

Umejibwa la Modric mbona hujaleta ufafanuzi wa ziada? Mpaka 2006 World Star ndio automatic aliyekua anakua mshindi ila hii criteria ilikufa automatic baada ya hapo na ndio mana hakuna mshindi mwengine aliyeshinda hiyo tunzo baada ya Cannavaro. Kwanini irudi le kwa sababu ya messi tu?
 
Messi apewe mwakani dunia iachane na huyu mtu. Labda huenda tukashuhudia vipaji vipya vikishindanishwa sio kijana anaibuka anakutana na mzee kwamba ndo mshindani wake.

Mashabiki tunahitaji burudani mpya, ushindani mpya, vita mpya.
 
Zidane, De Lima, Canavaro na wengine wengi walipata Ballon d'or after winning world cup!
2010 Iniesta na xavi wa barcelona sijui ilikuaje maana barc ilikuwa on fire chini yao na Iniesta ndo alikuwa man of the match final wc
 
Umejibwa la Modric mbona hujaleta ufafanuzi wa ziada? Mpaka 2006 World Star ndio automatic aliyekua anakua mshindi ila hii criteria ilikufa automatic baada ya hapo na ndio mana hakuna mshindi mwengine aliyeshinda hiyo tunzo baada ya Cannavaro. Kwanini irudi le kwa sababu ya messi tu?
Unaweza kuprove hiki ulicho kiandika kwa kutumia valid resources

"
Mpaka 2006 World Star ndio automatic aliyekua anakua mshindi ila hii criteria ilikufa automatic baada ya hapo na ndio mana hakuna mshindi mwengine aliyeshinda hiyo tunzo baada ya Cannavaro

Au hisia zako?
 
Ukiona wameanza kuongea ongea hivyo wakati ni jambo la kupiga kura jua hawana uhakika kwajiyo wanaandaa watu kisaikolojia.ata hivyo hizo tuzo kwa miaka ya karibuni zimekua zakisiasa zaidi.Ata hivyo ni sawa tu kwasababu ni tuzo za wazungu na timu zao za ulaya,uku afrika sisi ni kubishana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2010 Iniesta na xavi wa barcelona sijui ilikuaje maana barc ilikuwa on fire chini yao na Iniesta ndo alikuwa man of the match final wc
2018 Modric won it because of World cup's POTT
 
Back
Top Bottom