Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Unaongea nini mzee?Huwezi kupewa hiyo tuzo kwa kujua kufunga peke yake,kina lewandosk wako wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea nini mzee?Huwezi kupewa hiyo tuzo kwa kujua kufunga peke yake,kina lewandosk wako wapi?
Ntakupa facts if unaita Mchezaji ni muoteaji?Lete facts acha kupinga pinga bila reasoning
Una asili ya ubishi ni ngumu kusaidika mkuuNtakupa facts if unaita Mchezaji ni muoteaji?
Aina ya mtu kama huyo anaweza pokea Facts?
Pita hivi....Una asili ya ubishi ni ngumu kusaidika mkuu
Kama vipi weken Tuzo mbili moja ya Messi ,then nyingine mpeni mtu wenuMessi mwenyewe world cup kabebwa na akina mac Allister, Jullian Alvarez na enzo fenandez. Performance ya world cup mbappe alifanya vizuri kuliko huyo andunje.
Huyo messi tuzo moja kampora Iniesta, Nyingine kampora Lewandowski. Balon dor za halali alizonazo hazizidi 3
Fabio cannavaroToka lini Kombe la dunia likawa lina uzito kwenye Ballondor? Hili ndio swali langu.......
Mechi saba ndio mtu apewe Mchezaji bora wa mwaka? Kuweni serious basi.....
If Ingekuwa hivyo Iniesta Angechukua 2010.
Kwa tuzo ya mwaka huu, Messi amewaacha mbali washindani wake. Kila ukiwaza mbadala wake unakosa sababu ya kumkwepa Messi kupewa hiyo Tuzo.
Chuki binafsi timu shingo twiga[emoji1][emoji1][emoji1]Messi mwenyewe world cup kabebwa na akina mac Allister, Jullian Alvarez na enzo fenandez. Performance ya world cup mbappe alifanya vizuri kuliko huyo andunje.
Huyo messi tuzo moja kampora Iniesta, Nyingine kampora Lewandowski. Balon dor za halali alizonazo hazizidi 3
Yaani kigezo kiwe kombe la Dunia tu?, HAKUNA mchezaji aliyeisaidia timu yake kuchua kombe la Dunia Kama Messi!!Kwa vigezo, masharti na mazingira ya kimafanikio yalivo, Messi anastahili kwa zaidi ya 70% kupewa hiyo tuzo mwaka huu.
Alichokifanya kwenye world cup kinajenga msingi mkubwa, mpana na mrefu zaidi wa kutwaa hiyo Tuzo.
Swali linaulizwa, asipopewa Messi apewe nani?
Ndiyo Hivyo hivyo Messi akiwa Barcelona mlisema Anabebwa na akina Iniesta Xavi na Bosquets na kwamba timu ya taifa ya Argentina hakuna Xavi wala Iniesta hataweza lolote....Messi mwenyewe world cup kabebwa na akina mac Allister, Jullian Alvarez na enzo fenandez. Performance ya world cup mbappe alifanya vizuri kuliko huyo andunje.
Huyo messi tuzo moja kampora Iniesta, Nyingine kampora Lewandowski. Balon dor za halali alizonazo hazizidi 3
Kama umechukia, Kalambe malimao [emoji23][emoji23]Messi hastahili ni majuha tu ndio wataamua kumpa!!, Nje ya kuchukua kombe la Dunia msimu uliopita kafanya kipi kwenye mpira! Poor Messi poor....
Unawaza kulamba limao kwasababu ya michezo unayofanyiwa sirini?.Kama umechukia, Kalambe malimao [emoji23][emoji23]