Badala ya Messi apewe nani?Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior...
Very good questionBadala ya messi apewe nani?
Watu lukuki hao watajeEbu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.
Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.
View attachment 2792549
Kwa vigezo, masharti na mazingira ya kimafanikio yalivo, Messi anastahili kwa zaidi ya 70% kupewa hiyo tuzo mwaka huu.Ebu kabla haujaanza kubishana kwa sababu ushabiki wako kwa Messi, nipatie stats au details za kiwango bora(zaidi ya kushinda kombe la dunia ) ambazo zitamfanya Messi awe tena mshindi wa ballon dior.
Ni issue tu ya mapenzi tu kwa huyu jamaa ndio maana tena atabeba lakini kuna watu lukuki wamefanya vyema zaidi yake kwa kipindi hichi.
View attachment 2792549
Akiijibu naomba unitag. Amtaje huyo mchezaji na mafanikio yake yalomzidi Messi kias anastahili tuzo.Kwa vigezo, masharti na mazingira ya kimafanikio yalivo, Messi anastahili kwa zaidi ya 70% kupewa hiyo tuzo mwaka huu.
Alichokifanya kwenye world cup kinajenga msingi mkubwa, mpana na mrefu zaidi wa kutwaa hiyo Tuzo.
Swali linaulizwa, asipopewa Messi apewe nani?
namimi unitag mkuu, natamani sana kuona uyo ataetajwa....Akiijibu naomba unitag. Amtaje huyo mchezaji na mafanikio yake yalomzidi Messi kias anastahili tuzo.
KakimbiaAkiijibu naomba unitag. Amtaje huyo mchezaji na mafanikio yake yalomzidi Messi kias anastahili tuzo.
KasepaWatu lukuki hao wataje
Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito?Kwa vigezo, masharti na mazingira ya kimafanikio yalivo, Messi anastahili kwa zaidi ya 70% kupewa hiyo tuzo mwaka huu.
Alichokifanya kwenye world cup kinajenga msingi mkubwa, mpana na mrefu zaidi wa kutwaa hiyo Tuzo.
Swali linaulizwa, asipopewa Messi apewe nani?
Hakuna kitu kinaitwa muoteaji duniani.....Messi anakupa kila kitu uwanjani ,Haaland muoteaji kidogo Alvarez alistahili japo kweny individual efforts goals plus assist sio sana
Kuna kombe lenye uzito kumzidi kombe la dunia hapa duniani? Kama lipo litaje.Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito?
Kwa sababu kachukua messi?
Huwezi kupewa hiyo tuzo kwa kujua kufunga peke yake,kina lewandosk wako wapi?Hakuna kitu kinaitwa muoteaji duniani.....
Lete facts acha kupinga pinga bila reasoningHakuna kitu kinaitwa muoteaji duniani.....
Toka lini Kombe la dunia likawa lina uzito kwenye Ballondor? Hili ndio swali langu.......Kuna kombe lenye uzito kumzidi kombe la dunia hapa duniani? Kama lipo litaje.