Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo

Acha uongo wewe dogo , saudia hakuna sheria hizo , watu wanakunywa hata duka la pombe limefunguliwa , acha porojo dogo 😛 😛
 
Saudi kama Dubai tu labda angesema Qatar ...Saudia watu washoot mpaka matangazo ya pombe ...Wanahost mechi za boxing na mieleka kuna matangazo ya pombe .

Mleta mada anawaogopa waarabu , kuna wakristo wanaishi kule ...Kitu asichojua ni kwamba Vatican tu ndio hakuna waislamu ila saudia wakristo wake ...Labda aseme mji kama Meccah na Madinnah.
 

Makafiri mnatabu sana. Kwahiyo mtu akiwa mkatoliki ndio anakuwa haswa ila akiwa muislam mkandamizaji.
 
We na Ronaldo nani jinga jinga..🤣
 
Acha uongo wewe dogo , saudia hakuna sheria hizo , watu wanakunywa hata duka la pombe limefunguliwa , acha porojo dogo [emoji14] 😛
Duka moja nchi nzima weee[emoji28][emoji28],Sema Saudi Arabia nchi ina chachuka kwa kasi kutokana na kutengeneza mazingira ya Kitalii..Nina Uhakika miaka ijayo Saudi itakuwa na miji ya kidini mfano Mecca na Madina halafu maeneo mengine ni ya kujiachia
 
Acha Porojo mkuu , Leta Tangazo gani la Bia limeshutiwa Saudia ... kimsimamo wa kidini huwezi ifananisha Saudia na Dubai + Qatar labda hujawahi kukanyaga Dubai ... Waislamu wa Dubai ni OPEN MINDED kwa watalii wao [emoji1]
 
Saudia ni muunganiko Wa Nchi nyingi, sehemu ambayo ni takatifu kwa waisilamu ni Hejaz. Wakifanya upuuzi wao huko kwengine hakuna atakaewagusa ila wakipagusa hapo patachimbika

Ramani ya zamani kabla ya Saudia.
 
lakini amekimbilia nchi inayotumia nguvu nyingi kusambaza ushoga
 
Jamaa alicheza kama Pele, alimkimbia Ronaldo hakuna jengine, mana hana uhakika hata wa kufika goli ishirini wakati ROnaldo amepiga 50, angeadhirika sana
 
Hijja haijawahi kuingiza faida Saudia, wao wanatoa hela nyingi zaidi kama hufahamu. Huwezi ukakaa siku moja bila kutumia bidhaa inayomilikiwa na Saudia, hapo kwenyewe hio comment ume type na kifaa ambacho kinatumia technology inayomilikiwa na Saudia.
Wewe hija ni utajiri kwa Saud Arabia, wageni wote hawalali kwenye misikiti wanafikia hotelini, pia usafiri, vyakula na huduma nyingine , ndo maana Shia ikiongozwa na Iran inataka mji wa Macca uwe huru , usiwe chini ya Saud Arabia, wanatamani iwe kama Vatican city ndani ya nchi ya Italy, ambapo shekhe wa Macca anaweza kutoka nchi yoyote kama alivyo Papa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…