Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo

Ubalozi ni ishu nyingine kabisa, Yeye ni balozi wa utalii lakini anaishi nchi nyingine kabisa, Maisha yake ya kidini hayabanwi na sheria kandamizi za dola ya kiislam ya Saudi Arabia

Mimi ni shabiki wa Messi na Maradona, ila umeanzisha mada yako kiudini, wapi messi amegoma kwenda saudia kisa sheria kandamizi! Kama hamuna report za uhakika msiwe mnapost
 
Mimi ni shabiki wa Messi na Maradona, ila umeanzisha mada yako kiudini, wapi messi amegoma kwenda saudia kisa sheria kandamizi! Kama hamuna report za uhakika msiwe mnapost
Messi hawezi kuishi sehemu haruhusiwi hata kusoma biblia hadharani
 
Tuna tatizo kubwa la watu wengi sio Tanzania tu bali dunia nzima wanaofikiri revenue=profit.

Saudi anaingiza around $10-15B usd kama Trilioni 30-40 kwa mwaka kutokana na Hijja, lakini hizo hela kwa kiasi kikubwa zinatumika humo humo kwenye Hijja. In short kuna makubaliano na Waisilamu Hela za Hijja zitumike humo.

Ndani ya hii miaka 10 iliopita miundombinu tu iliojengwa ku accommodate watu wengi zaidi ni zaidi ya $100B usd hivyo by far wametumia hela nyingi zaidi kuliko walioingiza.

Wanafaidika indirect na vitu kama Hotel unavyosema ila sio cumpolsury kuishi hotelini kukamilisha ibada ya Hija, deluxe treatment ni optional, kuna mahema na accommodation za kawaida za ma Agent ambazo asilimia kubwa ya mahujaji hutumia hizo.
 
Kwa hiyo na wewe mmatumbi hizo kanzu na baraghasia unamtangaza mwarabu?utamaduni wako umemezwa yaani wewe ni mti usio na shina sio?mwenzio wanamlipa wewe je?
 
Aaah hao wahamiaji wengi ni kina dada hawana cha maana cha kufanya zaidi ya u housegirl tu na wengi hukimbia manyanyaso na kurudi kwenye nchi zao.
 
Aaah hao wahamiaji wengi ni kina dada hawana cha maana cha kufanya zaidi ya u housegirl tu na wengi hukimbia manyanyaso na kurudi kwenye nchi zao.
Si Kweli, sehemu kama Dubai hakuna Vikwazo, mamilionea na mabilionea kama wote wa China, Urusi, India, mpaka wa west wapo pale.

Zamani London ilikua inaitwa 8th Emirate sasa hivi ni Moscow inaitwa 8th Emirate.

Huwezi ukatengeneza Mji kama Dubai kutegemea house Girls.
 
Football ni haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ