Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo

Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo

Ubalozi ni ishu nyingine kabisa, Yeye ni balozi wa utalii lakini anaishi nchi nyingine kabisa, Maisha yake ya kidini hayabanwi na sheria kandamizi za dola ya kiislam ya Saudi Arabia

Mimi ni shabiki wa Messi na Maradona, ila umeanzisha mada yako kiudini, wapi messi amegoma kwenda saudia kisa sheria kandamizi! Kama hamuna report za uhakika msiwe mnapost
 
Mimi ni shabiki wa Messi na Maradona, ila umeanzisha mada yako kiudini, wapi messi amegoma kwenda saudia kisa sheria kandamizi! Kama hamuna report za uhakika msiwe mnapost
Messi hawezi kuishi sehemu haruhusiwi hata kusoma biblia hadharani
 
Wewe hija ni utajiri kwa Saud Arabia, wageni wote hawalali kwenye misikiti wanafikia hotelini, pia usafiri, vyakula na huduma nyingine , ndo maana Shia ikiongozwa na Iran inataka mji wa Macca uwe huru , usiwe chini ya Saud Arabia, wanatamani iwe kama Vatican city ndani ya nchi ya Italy, ambapo shekhe wa Macca anaweza kutoka nchi yoyote kama alivyo Papa.
Tuna tatizo kubwa la watu wengi sio Tanzania tu bali dunia nzima wanaofikiri revenue=profit.

Saudi anaingiza around $10-15B usd kama Trilioni 30-40 kwa mwaka kutokana na Hijja, lakini hizo hela kwa kiasi kikubwa zinatumika humo humo kwenye Hijja. In short kuna makubaliano na Waisilamu Hela za Hijja zitumike humo.

Ndani ya hii miaka 10 iliopita miundombinu tu iliojengwa ku accommodate watu wengi zaidi ni zaidi ya $100B usd hivyo by far wametumia hela nyingi zaidi kuliko walioingiza.

Wanafaidika indirect na vitu kama Hotel unavyosema ila sio cumpolsury kuishi hotelini kukamilisha ibada ya Hija, deluxe treatment ni optional, kuna mahema na accommodation za kawaida za ma Agent ambazo asilimia kubwa ya mahujaji hutumia hizo.
 
Kamba hizi Messi ni Balozi wa Saudia kama hufahamu

Ingia Instagram ya Messi umuone anavyovaa kanzu na vilemba vya Saudi akitangaza Utalii wa Saudia.
Kwa hiyo na wewe mmatumbi hizo kanzu na baraghasia unamtangaza mwarabu?utamaduni wako umemezwa yaani wewe ni mti usio na shina sio?mwenzio wanamlipa wewe je?
 
Tuongee na data mkuu huwa sipendi stori za Vijiweni

Hizi ni Nchi zenye Migrants wengi duniani
View attachment 3037355
Kama una hesabu Urusi top 10 ni Nchi 5 za Ulaya na kama huihesabu ni Nchi 4 za Ulaya, ukitoa Ujerumani hakuna Nchi ya Ulaya inayopokea Wageni kushinda Saudia, so hoja yako haina Mashiko, Saudia Ni Jangwa kuna hali ya Hewa mbaya why watu wanamiminika kushinda huko Ulaya? Na hizo ni data bila kuangalia population ya nchi husika.

Na hizi ni Nchi zenye Migrants wengi compare na population yao

View attachment 3037361

Nchi kama Uae (Dubai ipo huko) ndio inaongoza Duniani kupokea watu wengi compare na population yao, Takriban Asilimia 88 ya watu wanaoishi huko ni immigrants. Saudia pia haipo mbali by far ina proportion kubwa ya migrants kushinda nchi yoyote ya Ulaya na Uswisi pekee ndio ina karibia.

Jenga hoja yako sasa kwa data na wewe, maneno ya kwenye kanga yaweke pembeni.
Aaah hao wahamiaji wengi ni kina dada hawana cha maana cha kufanya zaidi ya u housegirl tu na wengi hukimbia manyanyaso na kurudi kwenye nchi zao.
 
Aaah hao wahamiaji wengi ni kina dada hawana cha maana cha kufanya zaidi ya u housegirl tu na wengi hukimbia manyanyaso na kurudi kwenye nchi zao.
Si Kweli, sehemu kama Dubai hakuna Vikwazo, mamilionea na mabilionea kama wote wa China, Urusi, India, mpaka wa west wapo pale.

Zamani London ilikua inaitwa 8th Emirate sasa hivi ni Moscow inaitwa 8th Emirate.

Huwezi ukatengeneza Mji kama Dubai kutegemea house Girls.
 
Huyu ni Mkatoliki mwenye Imani kweli kweli sio kama lili zezeta la ureno limeingia kwenye propaganda za waarabu

🔹🇮🇱 Waarabu bado wapo kwenye propaganda ya kizamani ya kushawishi watu maarufu kueneza dini Yao

🔹🇮🇱 Mpira wao hawatumii kama burudani Bali nyenzo ya kueneza dini Yao

🇮🇱Utaona walipoandaa kombe la dunia, waliwaalika akina Zakir Nir wakitarajia atawabadili dini wazungu

🇮🇱 Akina Tyson, wachezaji maarufu wa zamani akina Pogba, Adebayo nk wamelipwa hela nyingi eti wa influence washabiki wao wawafuate

🇮🇱 Hilo jinga jinga la ureno halijabadili ila linatumiwa kwenye propaganda

🇮🇱 Mwarabu siku zote chochote anachokifanya ni kufanikisha kueneza dini yake
Football ni haramu
 
Back
Top Bottom