Messi apiga mbili Barcelona ikiizamisha madrid 3-2 bernabeu,

Messi apiga mbili Barcelona ikiizamisha madrid 3-2 bernabeu,

!
!
kaniharibia usingizi wangu bure tu huyu Messi khaaaaaaaa......nimeshangiliiiiia goli la James lakini walichotufanya baada ya hapo
 
jaman mbona Juzi na Jive hatukusikia kauli hizo

he just had a gud game!
 
Kura yangu nimeiweka Barca. Najua mapacha 3 huwa hawafanyi makosa, japo nimesikia kuwa leo Naymar hayupo....
Naombeni matokeo mechi ikiisha, niko mahali ambapo siwezi kuangalia mechi.
 
Back
Top Bottom