Messi apiga mbili Barcelona ikiizamisha madrid 3-2 bernabeu,

Kwekwekwekwekwee hahahaahaaaa jipe moyo!! Uefa tunabeba na laliga tuna inyakua!! Infact mmezoea kubebwa!!

Ivi ni timu gani imebeba uefa mara nyingi zaidi??
Kuongea bila data niprojo tu, pia inategemea na macho yako na akiri yako unaamini kitu gani
 
umeongea kama nilivyokua natafakari mkuu. kusema kweli real madrid BBC imeshachoka sana ila zidane inaonekana si mpenda mabadiliko
 
Sergio Ramos kutolewa nje kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa kosa la kumkwatua Lionel Messi aliyekuwa mwiba mkali
Hhahahahahaha Ulivoandikaa hii sentensi daah kwa wasiompenda Messi Na Barca Hii post hawatopenda KUISOMA wala kuiona humu JF
 
Hhahahahahaha Ulivoandikaa hii sentensi daah kwa wasiompenda Messi Na Barca Hii post hawatopenda KUISOMA wala kuiona humu JF
tumewaachia mtufunge ili mpate kujifariji na majonzi ya kutolewa UCL. si unajua tena si watani wa jadi.
 
Madrid n Marcelo... Wala sio Ronaldo..ila Barcelona n messi
Marcelo daaaa,alifanya kazi hadi unaona jamaa ni mzuri. Uzuri wa mchezaji ni kazi anazofanya awapo uwanjani
Marcelo was man of the match on Madrid Side!
 
Marcelo daaaa,alifanya kazi hadi unaona jamaa ni mzuri. Uzuri wa mchezaji ni kazi anazofanya awapo uwanjani
Marcelo was man of the match on Madrid Side!
Marcelo in real madrid's greatest asset, yule mbrazil muacheni tu kwa kweli, sema akina ronaldo na benzema ndo wanamuangusha, anawatengezea nzuri ila wanaharibu.
 
Duuuu,hao uliowataja wakienda Barca watakua vizuri. Vipi pamoja na kutumia kumiliki mpira kama kinga ya mabeki kwa Barca,lakini succession plan inatakiwa kufanywa ili wale watu umri unaenda kama baba Shakira na Bousquet.
 
Busquet bado sana...baba Shakira pia bado sana...ila mascherano,Mathew,Suarez na Iniesta umr umewatupa kwelkwel

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Marcelo daaaa,alifanya kazi hadi unaona jamaa ni mzuri. Uzuri wa mchezaji ni kazi anazofanya awapo uwanjani
Marcelo was man of the match on Madrid Side!
Huyu jamaa game zote za Madrid acpokuwepo Madrid wanakua Hoi..hata ushind wenyewe unakua n wa kusua Sua..mech zote mbil za bayern munich, pia ya lig last weekend, halafu hata last season...jaribu kumfuatilia huyu jamaa..tangu misim miwil iliyopta moto wake haupungui...

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…