Messi ashangazwa na uwezo wa ajabu uliionyeshwa na Ronaldo dhidi ya Atletico Madrid

Kinyonyoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
3,498
Reaction score
13,138
wakati mjadala wa nani mkali kati ya Leonel Messi na Cristiano Ronaldo ukiendelea Messi ameibuka na kumpa big up mpinzani wake akidai kuwa aliamini Atletico walikuwa na nafasi ya kufanya vyema kwa kuwa walikuwa na advantage ya goki mbili.Messi alienda mbali akimsifia Ronaldo huku akisema Ronaldo si mtu wa kawaida.
 
Sasa sijui lile kundi la messi litasema nini maana hawamkubali kabisa Ronaldo....Mimi shabiki Wa Ally Mayai ngoja nikae hapa niangalie comments zitakazoshuka chini hapa
 
Uzuri wa Messi humsifia hata mjinga/asiyejuwa mpira...ndivyo alivyo huyu king, hanaga makuu na mtu..mwenyewe anajijuwa hana mpinzani tokea dunia iumbwe na hata mafans wa ronaldo mnalijuwa hilo....
 

Kuweni na akili za kikubwa basi kamanda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwahiyo kusema kwake messi hivyo ndio imekuwa ronaldo ni mkali more than King
!!!!
 
Kuweni na akili za kikubwa basi kamanda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwahiyo kusema kwake messi hivyo ndio imekuwa ronaldo ni mkali more than King!!!!


πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜€ majibu anayo Messi
 
Messi sijui anataka kutupa ujumbe gani maana anayoyafanya ronaldo yeye anayafanya kila siku tena zaidi ya hapo, nahisi messi ni mnafiki
Tumuulize hii michezo ya kinafiki kaanza lini😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…