Messi ashangazwa na uwezo wa ajabu uliionyeshwa na Ronaldo dhidi ya Atletico Madrid

Messi ashangazwa na uwezo wa ajabu uliionyeshwa na Ronaldo dhidi ya Atletico Madrid

Kinyonyoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
3,498
Reaction score
13,138
wakati mjadala wa nani mkali kati ya Leonel Messi na Cristiano Ronaldo ukiendelea Messi ameibuka na kumpa big up mpinzani wake akidai kuwa aliamini Atletico walikuwa na nafasi ya kufanya vyema kwa kuwa walikuwa na advantage ya goki mbili.Messi alienda mbali akimsifia Ronaldo huku akisema Ronaldo si mtu wa kawaida.
FB_IMG_15524273087675823.jpg
FB_IMG_15524273087675823.jpg
FB_IMG_15524273087675823.jpg
Screenshot_2019-03-14-09-16-07.png
 
Sasa sijui lile kundi la messi litasema nini maana hawamkubali kabisa Ronaldo....Mimi shabiki Wa Ally Mayai ngoja nikae hapa niangalie comments zitakazoshuka chini hapa
 
Uzuri wa Messi humsifia hata mjinga/asiyejuwa mpira...ndivyo alivyo huyu king, hanaga makuu na mtu..mwenyewe anajijuwa hana mpinzani tokea dunia iumbwe na hata mafans wa ronaldo mnalijuwa hilo....
 
wakati mjadala wa nani mkali kati ya Leonel Messi na Cristiano Ronaldo ukiendelea Messi ameibuka na kumpa big up mpinzani wake akidai kuwa aliamini Atletico walikuwa na nafasi ya kufanya vyema kwa kuwa walikuwa na advantage ya goki mbili.Messi alienda mbali akimsifia Ronaldo huku akisema Ronaldo si mtu wa kawaida.View attachment 1045369View attachment 1045369View attachment 1045369View attachment 1045366

Kuweni na akili za kikubwa basi kamanda 😀😀😀 kwahiyo kusema kwake messi hivyo ndio imekuwa ronaldo ni mkali more than King
!!!!
 
Messi sijui anataka kutupa ujumbe gani maana anayoyafanya ronaldo yeye anayafanya kila siku tena zaidi ya hapo, nahisi messi ni mnafiki
Tumuulize hii michezo ya kinafiki kaanza lini😎
 
Back
Top Bottom