Messi bado ni mchezaji mzuri sana

Hii pia ni moja ya Point πŸ’ͺ. Nime comment huko juu nikajibiwa kwamba Messi amezifunga timu kadhaa za EPL na kwamba hakuna beki wala viungo wa EPL waliofua dafu mbele ya Messi. Lakini nikaendelea kujiuliza binafsi hizo timu za EPL alizozifunga alikutana nazo mara ngapi kwa msimu. Kama wanakutana michuano ya UEFA na friendly matches au matches za pre-season hiyo bado haitoshi kujaji consistency na adaptability na Messi endapo angekuwa EPL.
 
YAni bado mchezaji mzuri kwa kigezo cha MLS? ushibiki maandazi bana
 
EPL ipi ambayo haikulambishwa sakafu na Messi?
Itoshe kusema amecheza kwenye ligi bora, akaonyesha ubora ndani ya kikosi bora kuwahi kutokea
 
Leo kafunga mawili,jumla saba
 
Hakuna influence anyoleta, ila washabiki wake lialia ndio hao wanaopiga makelele
Miye ni timu Ronaldo Lia Lia
Jana CR7 kaiwezesha A Nassr kuingia semi final,hivyo na Messi,sijawahi kumkubari Messi,ila Kwa anayoyafanya uwanjani hakuna namna

Ile faulo ya Messi ni konyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…