Messi bado ni mchezaji mzuri sana

Alikwenda kubebea tu, ila hakushinda kwa kupitia french league, Aliishia na magoli 6 msimu mzima.
Wewe unaonekana hata mpira hufuatilii unabishana mpaka na rank, kabla hujaongea Google ili uwe na uhakika na unacho kiongea. Msimu uliopita 22/23 ktk mechi 32 za ligue 1 Messi ana goli 16 na assists 16,huku kwenye UEFA akiwa na goli 4.

So total goal kwa msimu wa 22/23 ni goal 20 na assists 16.Hapo hatujagusa magoli ya kombe la dunia na assists zake. Ukitaja wachezaji waliofanya vizuri watatu,base on statistics and performance Messi lazima awemo.

Sometimes mtu kubishana na ww inabidi ajitoe ufahamu.
 

msimu wa mwanzo aliishiaje?
 
Katika kitu ambacho siwezi kubishana na Mtu tena ni Kuhusu messi kuwa Mchezaji bora wa Dunia mpaka sasa na Kwamba nani bora kati ya messi na ronaldo japo mess hayupo moyoni ila hakuna namnaa he is the really GOAT.

bila ya shaka una matatizo ndani ya akili, yani mpaka sasa? kwahiyo ni zaidi ya Mbappe, De bruyne na Halland? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ matizo ya akili yamejaa humu mitaani.
 
umeleta hoja ya takwimu za PSG, acha kuleta ubabaifu. Leta data za msimu wa kwanza hapa
Sasa nimeleta mimi au umeanzisha wewe au umesahahu ulicho kiandika.

Mimi nimeleta kitu according na ww ulicho kiandika au umeandikiwa?

Yaani unabishana na mpaka ulicho kiandika ww.......duuu.

Au hii comment sio yako........?
 

uliambiwa ukweli kuwa kavurunda France, wewe ndio uloleta statistic zako za msimu uliopita, umeulizwa wa nyuma yake hutaki kuzieka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
uliambiwa ukweli kuwa kavurunda France, wewe ndio uloleta statistic zako za msimu uliopita, umeulizwa wa nyuma yake hutaki kuzieka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nimeulizwa na nani na wapi? Ujue kuna uwezekana hata ww mwenyewe unacho kizungumza huki elewi.

Kwa tusi zungumzia sasa ila tuzungumzie msimu mmoja tuuu uliopita na si mengine iliyopita.
 
Wachezaji anaocheza nao ni wa chini ya kiwango cha kimataifa, MLS ni kama Ligi ya Bongo iliyochangamka.
Kuna jamaa mmoja Ali comment sehemu kwamba "Messi is playing with Amazon workers working from home"
 
Ameshacheza na kila timu kubwa ya EPL na amezifunga zote na wachezaji huwa wanatoka EPL wanaenda laliga kwenye ligi ya mafundi kama ronaldo alivyotoka man u kwenda madrid

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
bila ya shaka una matatizo ndani ya akili, yani mpaka sasa? kwahiyo ni zaidi ya Mbappe, De bruyne na Halland? [emoji23] [emoji23] [emoji23] matizo ya akili yamejaa humu mitaani.
Weka mbape 10.. de brune 20 uje naoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Leo tena kaweka goli tamu sana, kila akicheza ni ana tupia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…