Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaonekana hata mpira hufuatilii unabishana mpaka na rank, kabla hujaongea Google ili uwe na uhakika na unacho kiongea. Msimu uliopita 22/23 ktk mechi 32 za ligue 1 Messi ana goli 16 na assists 16,huku kwenye UEFA akiwa na goli 4.Alikwenda kubebea tu, ila hakushinda kwa kupitia french league, Aliishia na magoli 6 msimu mzima.
Wewe unaonekana hata mpira hufuatilii unabishana mpaka na rank, kabla hujaongea Google ili uwe na uhakika na unacho kiongea. Msimu uliopita 22/23 ktk mechi 32 za ligue 1 Messi ana goli 16 na assists 16,huku kwenye UEFA akiwa na goli 4.
So total goal kwa msimu wa 22/23 ni goal 20 na assists 16.Hapo hatujagusa magoli ya kombe la dunia na assists zake. Ukitaja wachezaji waliofanya vizuri watatu,base on statistics and performance Messi lazima awemo.
Sometimes mtu kubishana na ww inabidi ajitoe ufahamu.
msimu wa mwanzo aliishiaje?
Katika kitu ambacho siwezi kubishana na Mtu tena ni Kuhusu messi kuwa Mchezaji bora wa Dunia mpaka sasa na Kwamba nani bora kati ya messi na ronaldo japo mess hayupo moyoni ila hakuna namnaa he is the really GOAT.
Sasa nimeleta mimi au umeanzisha wewe au umesahahu ulicho kiandika.umeleta hoja ya takwimu za PSG, acha kuleta ubabaifu. Leta data za msimu wa kwanza hapa
Sasa nimeleta mimi au umeanzisha wewe au umesahahu ulicho kiandika.
Mimi nimeleta kitu according na ww ulicho kiandika au umeandikiwa?
Yaani unabishana na mpaka ulicho kiandika ww.......duuu.
Au hii comment sio yako........?
View attachment 2715187
Nimeulizwa na nani na wapi? Ujue kuna uwezekana hata ww mwenyewe unacho kizungumza huki elewi.uliambiwa ukweli kuwa kavurunda France, wewe ndio uloleta statistic zako za msimu uliopita, umeulizwa wa nyuma yake hutaki kuzieka 😂 😂 😂
Kuna jamaa mmoja Ali comment sehemu kwamba "Messi is playing with Amazon workers working from home"Wachezaji anaocheza nao ni wa chini ya kiwango cha kimataifa, MLS ni kama Ligi ya Bongo iliyochangamka.
While Ronaldo is playing with goat farmers and Al-qaeda militants, who take football as a side hustle!Kuna jamaa mmoja Ali comment sehemu kwamba "Messi is playing with Amazon workers working from home"
Weka mbape 10.. de brune 20 uje naoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]bila ya shaka una matatizo ndani ya akili, yani mpaka sasa? kwahiyo ni zaidi ya Mbappe, De bruyne na Halland? [emoji23] [emoji23] [emoji23] matizo ya akili yamejaa humu mitaani.
Weka mbape 10.. de brune 20 uje naoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]