Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Messi ana kila kitu, ila hakuzaliwa na bahati ya kutwaa mataji na Argentina. Na sio kwake tu. Wachezaji wote waliotokea na wanaotokea sasa bado hawana bahati na taifa lao.Lazima wewe uwe mfatiliaji mzuri wa mpira na si mshabiki maandazi, inavyofahamika Ronaldo ni goal score lakini Messi ni complete player yaani ukitaka ladha ya mpira anakupatia ziada yake ni goal score pia
Vip UEFA????Messi ana kila kitu, ila hakuzaliwa na bahati ya kutwaa mataji na Argentina. Na sio kwake tu. Wachezaji wote waliotokea na wanaotokea sasa bado hawana bahati na taifa lao.
Dimaria
Aguero
Mauro Icardi
Dybala
Macherano n.k.
Messi atabaki palepale halipo, na usitafute mchezaji wa kumlinganisha hata kama hajabeba taji na Argentina
Lakini baada ya Ronaldo kuondoka Madrid hata ligi yao imewashindaa..[emoji23][emoji23][emoji23] So ronaldo ni best zaidi ya messi. Alipo bhasi mafanikio lazima. Sasa huyu mbilikimo hata timu yake ya taifa inamshindaa
Utafananisha mchango wa Cr7 kwenye timu zake alizotoka na Messi???[emoji23][emoji23][emoji15][emoji15] Waulize madrid ndo wanajua effect ya kukosekana cr7
Messi kacheza fainali NNE na Argentina
sijui mnataka afanye nn zaidi akiwa Argentina
Vip UEFA????
Bring the number in terms of Everything
Starting by Appearance trophies Goals Assists and we can all look at them
Including participation in the National team.
So what? He is still a star of argentina. Anatarajiwa afanye makubwa kwa timu yake ya taifa regardless position wanazocheza.Lazima wewe uwe mfatiliaji mzuri wa mpira na si mshabiki maandazi, inavyofahamika Ronaldo ni goal score lakini Messi ni complete player yaani ukitaka ladha ya mpira anakupatia ziada yake ni goal score pia
Mzee Ferguson baada ya goli la Messi alionyeshwa vidole vinatetemeka, Mkuu yule Messi anaujua sana mpira kwa kweli
ila Ronaldo anajitahidi kushindana na kipaji si jambo dogo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa national team messi kafanya nin zaidi ya Kuliaa lia tu..???