Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Messi ana kila kitu, ila hakuzaliwa na bahati ya kutwaa mataji na Argentina. Na sio kwake tu. Wachezaji wote waliotokea na wanaotokea sasa bado hawana bahati na taifa lao.Lazima wewe uwe mfatiliaji mzuri wa mpira na si mshabiki maandazi, inavyofahamika Ronaldo ni goal score lakini Messi ni complete player yaani ukitaka ladha ya mpira anakupatia ziada yake ni goal score pia
Dimaria
Aguero
Mauro Icardi
Dybala
Macherano n.k.
Messi atabaki palepale halipo, na usitafute mchezaji wa kumlinganisha hata kama hajabeba taji na Argentina