Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Lazima wewe uwe mfatiliaji mzuri wa mpira na si mshabiki maandazi, inavyofahamika Ronaldo ni goal score lakini Messi ni complete player yaani ukitaka ladha ya mpira anakupatia ziada yake ni goal score pia
Messi ana kila kitu, ila hakuzaliwa na bahati ya kutwaa mataji na Argentina. Na sio kwake tu. Wachezaji wote waliotokea na wanaotokea sasa bado hawana bahati na taifa lao.

Dimaria
Aguero
Mauro Icardi
Dybala
Macherano n.k.

Messi atabaki palepale halipo, na usitafute mchezaji wa kumlinganisha hata kama hajabeba taji na Argentina
 
Bring the number in terms of Everything
Starting by Appearance trophies Goals Assists and we can all look at them
Trophies[emoji23][emoji23][emoji23] Messi labda makombe ya Laliga tuu
 
Messi ana kila kitu, ila hakuzaliwa na bahati ya kutwaa mataji na Argentina. Na sio kwake tu. Wachezaji wote waliotokea na wanaotokea sasa bado hawana bahati na taifa lao.

Dimaria
Aguero
Mauro Icardi
Dybala
Macherano n.k.

Messi atabaki palepale halipo, na usitafute mchezaji wa kumlinganisha hata kama hajabeba taji na Argentina
Vip UEFA????
 
Lakini baada ya Ronaldo kuondoka Madrid hata ligi yao imewashindaa..[emoji23][emoji23][emoji23] So ronaldo ni best zaidi ya messi. Alipo bhasi mafanikio lazima. Sasa huyu mbilikimo hata timu yake ya taifa inamshindaa

Mbona CR7 ajahamia Sunderland kaenda Juventus, hata wewe Mkuu ungekuwa juve ungechukua taji unajua juve anachukua, taji la serie A kwa mara ya ngapi
Huyo penaldo kamkimbia Messi pale la liga
 
Messi ni cha mtoto kwa CR7 atafurukuta huko huko BARCA na la liga mtupe nje anakuwa kama samaki aliyeopolewa baharini.

Utafananisha mchango wa Cr7 kwenye timu zake alizotoka na Messi???[emoji23][emoji23][emoji15][emoji15] Waulize madrid ndo wanajua effect ya kukosekana cr7
 
ila Ronaldo anajitahidi kushindana na kipaji si jambo dogo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazima wewe uwe mfatiliaji mzuri wa mpira na si mshabiki maandazi, inavyofahamika Ronaldo ni goal score lakini Messi ni complete player yaani ukitaka ladha ya mpira anakupatia ziada yake ni goal score pia
So what? He is still a star of argentina. Anatarajiwa afanye makubwa kwa timu yake ya taifa regardless position wanazocheza.
Halaf christian si attacker tu.. ni attacking midfielder. coz alianza kama kiungo wa pembeni.
 
Kipaji chenye limit Mkuu? Kwanini hiki kipaji chake kimeshindwa kuinua Argentina miaka yote hii? KULIKONI? Juzi tu alikuwa kama ZOMBIE uwanjani wakati wanapigwa 4-0 na Liverpool.

ila Ronaldo anajitahidi kushindana na kipaji si jambo dogo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_2432.JPG
 
Back
Top Bottom