Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Hahaha kwa hiyo list huwa inaishia hapo hapo kwenye namba 1...najua una ufahamu wa kutosha acha kujitia ushabiki mbele ya fact. ..
Kwangu mimi huyo bishololo Ronaldo na mwenzake Messi hawagusi kabisa kwenye level za Pele,japo mimi ni mtoto wa miaka ya 1990's lakini video fupi fupi za Pele nilizofanikiwa kuziona zinanifanya nione kuwa hakuna mwanasoka yeyote kati ya hawa mnaowalinganisha anatosha kumfananisha na Pele..!
Lakini mwisho wa siku hizi mambo za who is the real GOAT huwa zinagubikwa na ushabiki na upenzi plus connection..!
 
Haya ni maoni yako mkuu. ..--kwangu mimi Messi hana mfanowe. .tangu mpira wa miguu utanbulike na kufanywa kuwa ajira rasmi duniani
 
Haya ni maoni yako mkuu. ..--kwangu mimi Messi hana mfanowe. .tangu mpira wa miguu utanbulike na kufanywa kuwa ajira rasmi duniani
Yeah...
Upo sahihi sana mkuu..!
Personal opinion..!
Ndio maana hizi ishu za who's the GOAT huwa naziona ni za kujifurahisha na kupoteza muda..!
Kwasababu kila mtu huwa anajaribu kufanya maoni yake binafsi yawe facts..!
 
But hilo Suala la kubatizwa Jina la GOAT. ..kwa Messi Pele na Maradona. .limefanywa na wakubwa wenyewe wanao toka Katika tasnia ya mpira wa miguu na kwa namna 1 au zaidi wapo sahihi. ..

Messi
Pele
Maradona ni THE GOAT'S

Wanaishi nyumba 1
Na Wana michezo/wasanii wenzao wa wakati wote

Michael Jordan
Mohammed alli
Michael Jackson
Jay -z
2pac
Bob Marley

And the likes. ...tufike mahala tuwe tunaacha kuwa na chuki kwa watu ambao wamefanikiwa zaidi katika career zao
Yeah...
Upo sahihi sana mkuu..!
Personal opinion..!
Ndio maana hizi ishu za who's the GOAT huwa naziona ni za kujifurahisha na kupoteza muda..!
Kwasababu kila mtu huwa anajaribu kufanya maoni yake binafsi yawe facts..!
 
Kwenye wasanii simuoni Eminem mkuu..!
Vipi..?
 
Haya ni maoni yako mkuu. ..--kwangu mimi Messi hana mfanowe. .tangu mpira wa miguu utanbulike na kufanywa kuwa ajira rasmi duniani
nakukubali sana mkuu
messi sio wa kufananishwa kwa matokeo ya mechi moja moja tena lile litimu la argentina
 
Amechukua 1..Kati ya hizo 4.. bado anaendelea kucheza mpira lolote laweza kutokea. ..Pia Suala la kufikia finaly sio Suala dogo ni sehemu 1 wapo ya mafanikio makubwa kwa mwana michezo
Tutajie hiyo moja aliyoichukua
 
Jibu swali messi ameisaidia timu gani nyingine kuchukua kombe nje ya Barcelona?
 
Kitendo cha Messi kufanya vizuri Barcelona pekee kunamfanya akose heshima fulan hivi ambayo anastahili. Ndo mchezaji pekee mkubwa ambaye hajawahi kuchukua kombe nje ya Barcelona
Daaah! inasikitisha sana
 
Sio fainal tu! 2005 akiwa na jezi ya nchi yake alichukua u-20 world cup, 2008 akiwa na jezi ya nchi akachua Olympic. Sijui kwa nn hayo hayasemwi.
Hayasemwi kwasababu wenzio wanabeba makombe na senior team sio u-20 kama unavyotueleza wewe
 
Kitendo cha Messi kufanya vizuri Barcelona pekee kunamfanya akose heshima fulan hivi ambayo anastahili. Ndo mchezaji pekee mkubwa ambaye hajawahi kuchukua kombe nje ya Barcelona
Kabisa mkuu...yani hapo tu ndo nashindwa kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…