George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Kwangu mimi huyo bishololo Ronaldo na mwenzake Messi hawagusi kabisa kwenye level za Pele,japo mimi ni mtoto wa miaka ya 1990's lakini video fupi fupi za Pele nilizofanikiwa kuziona zinanifanya nione kuwa hakuna mwanasoka yeyote kati ya hawa mnaowalinganisha anatosha kumfananisha na Pele..!Hahaha kwa hiyo list huwa inaishia hapo hapo kwenye namba 1...najua una ufahamu wa kutosha acha kujitia ushabiki mbele ya fact. ..
Lakini mwisho wa siku hizi mambo za who is the real GOAT huwa zinagubikwa na ushabiki na upenzi plus connection..!