Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Yes ni mchezaji mzur. Ila ameifanyia nn timu yake ya taifa? Au ana faida tu kwa club ?
Kuifanyia nini ukiwa na maana gani,
Au swali lako ulitaka liwe ameshinda kombe lipi na national team ???