Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi kacheza fainali NNE na Argentina
sijui mnataka afanye nn zaidi akiwa Argentina
Sio fainal tu! 2005 akiwa na jezi ya nchi yake alichukua u-20 world cup, 2008 akiwa na jezi ya nchi akachua Olympic. Sijui kwa nn hayo hayasemwi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] u20??? Aisee
 
Mkuu wewe unaweza kuhama Masaki/ Osterbay ukaenda kuishi Tandale kwa tumbo hoja ya kuhama timu haina mashiko, unajua kwamba Ronaldo asingehamia Real Madrid asingeweza kushinda mataji mengi aliyo nayo sema aumfatilii Messi mbona ameifanyia makubwa sana timu yake ya Argentina
Yataje hayo makubwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Messi ana kila kitu, ila hakuzaliwa na bahati ya kutwaa mataji na Argentina. Na sio kwake tu. Wachezaji wote waliotokea na wanaotokea sasa bado hawana bahati na taifa lao.

Dimaria
Aguero
Mauro Icardi
Dybala
Macherano n.k.

Messi atabaki palepale halipo, na usitafute mchezaji wa kumlinganisha hata kama hajabeba taji na Argentina
Sasa suala la bahati linatoka wapi tena kwahiyo yeye tu ndio kazaliwa hivyo
 
Comedy is not my profession. CR7 is way better than that la liga guy who is afraid of moving anywhere else to prove his talent. When it comes to national teams he is even far worse than CR7. Messi is not a GOAT 🐐

Hahaa kupata vichekesho kama hiki bofya *149*12#
 
Hahaa watahama humu. .mkuu waonee huruma

Kwanza huyu jamaa yao wanao jaribu kumfananisha na Messi akikutana na Messi uwanjani anatia huruma kuna muda unamuona anarusha mikono kwa kususa akiwahimiza wenzie wamkabe Messi wakati yeye anamwangalia Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Refer Game zote Penaldo alivyo kutana na Messi nyingi anatoka uwanjani na kwenda kumeza Hedex au Diclopar
 
Sio profession yako lakini mbona inaonekana una imudu vyema. ..

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kwa kuwa Messi hana kombe lolote kubwa katika team yake ya taifa basi Ronaldo anakuwa bora kuliko Messi. ...

So let's say tumekubaliana na hilo. ...

So tukifuata maoni yako hayo hayo nadhani utakubaliana na mimi katika hili. Kwakuwa cr7 na Messi hawana kombe la world cup ambalo kimsingi wa michuano ya kidunia ndio kombe bora la wakati wote. .

..basi Messi .Ronaldo .ibrahimovich. eusebio .Michael platin. Hazard and the likes. ..wameachwa mbali sana kwa uwezo wa uchezaji wa mpira wa miguu. ...na wachezaji kama giroud. David Vila. .Fernando Torres. Fabregas. Ngolo kante. Podolsk. And the likes . ...

So tunakubaliana katika hilo si -ndio! ?
Comedy is not my profession. CR7 is way better than that la liga guy who is afraid of moving anywhere else to prove his talent. When it comes to national teams he is even far worse than CR7. Messi is not a GOAT [emoji238]
 
Sio profession yako lakini mbona inaonekana una imudu vyema. ..

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kwa kuwa Messi hana kombe lolote kubwa katika team yake ya taifa basi Ronaldo anakuwa bora kuliko Messi. ...

So let's say tumekubaliana na hilo. ...

So tukifuata maoni yako hayo hayo nadhani utakubaliana na mimi katika hili. Kwakuwa cr7 na Messi hawana kombe la world cup ambalo kimsingi wa michuano ya kidunia ndio kombe bora la wakati wote. .

..basi Messi .Ronaldo .ibrahimovich. eusebio .Michael platin. Hazard and the likes. ..wameachwa mbali sana kwa uwezo wa uchezaji wa mpira wa miguu. ...na wachezaji kama giroud. David Vila. .Fernando Torres. Fabregas. Ngolo kante. Podolsk. And the likes . ...

So tunakubaliana katika hilo si -ndio! ?

Unauliza maswali magumu sana huyu mchezaji wao pendwa ushindi wa makombe mawili ya league ya wakulima actual kombe moja ndiyo amechangia hajawahi kucheza hata nusu Fainali ya kombe la Dunia
 
Hahaa ngoja kwanza aje kujibu. ...najua kuwa anajitia wazimu asio kuwa nao. ...

Zidane na umahiri wake wote wa kusskaya kabumbu licha ya vikombe lukuki alivyo beba team ya taifa. ....Lakini katika list ya wachezaji bora wa uefa wa wakati wote anasimama nyuma ya yohan cruyf. Na Michael platin. ...

Katika Suala la kutazama ubora wa mchezaji huwa hawaishii kuangalia idadi ya vikombe tu pekee kwa wachezaji husika. .Bali huwa wanaangalia mchango wa mchezaji husika katika team yake na jinsi anavyo I push team hiyo kufikia malengo stahiki na pia huwa yanaangaliwa mafanikio yake kama mchezaji binafsi uwanjani yakoje. .....
 
Mbona unaandika uongo? Kuna mahali popote nilipoandika kuhusu kombe? Hebu nionyeshe nilipoandika kuhusu kombe!?

Soma kwa kituo niliyoyaandika ili uelewe nilichoandika badala ya kuja na tafsiri uitakayo weye.

Sio profession yako lakini mbona inaonekana una imudu vyema. ..

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kwa kuwa Messi hana kombe lolote kubwa katika team yake ya taifa basi Ronaldo anakuwa bora kuliko Messi. ...

So let's say tumekubaliana na hilo. ...

So tukifuata maoni yako hayo hayo nadhani utakubaliana na mimi katika hili. Kwakuwa cr7 na Messi hawana kombe la world cup ambalo kimsingi wa michuano ya kidunia ndio kombe bora la wakati wote. .

..basi Messi .Ronaldo .ibrahimovich. eusebio .Michael platin. Hazard and the likes. ..wameachwa mbali sana kwa uwezo wa uchezaji wa mpira wa miguu. ...na wachezaji kama giroud. David Vila. .Fernando Torres. Fabregas. Ngolo kante. Podolsk. And the likes . ...

So tunakubaliana katika hilo si -ndio! ?
 
Kwani uliposema when it comes to national team cr7 Yuko mbali kuliko Messi. .hapa ulikuwa unayaongelea mafanikio gani ambayo cr7 anayo katika ngazi ya team ya taifa .. zaidi ya hayo makombe mawili ambayo ureno inayahodhi kwa sasa. ...ni kweli haukutaja directly kuhusu makombe. ..Lakini kauli yako ya hapo juu ilikuwa inakusudia hicho nilicho kidadavua. . .don't spin around the bush mkuu
Mbona unaandika uongo? Kuna mahali popote nilipoandika kuhusu kombe? Hebu nionyeshe nilipoandika kuhusu kombe!?

Soma kwa kituo niliyoyaandika ili uelewe nilichoandika badala ya kuja na tafsiri uitakayo weye.
 
Kwani mafanikio ya timu A na timu B ni lazima yawe ya Vikombe tu? Vipi kuhusu level ya participation kwenye international competition timu A na timu B moja kuishia kwenye hatua za mwanzo na nyingine kufika hatua za mbali?

Unadhani ni kwanini football analysts around the World wanamshinikiza Messi na performance yake kwenye timu ya Taifa ukilinganisha na CR7? 😳😳😳

Kwani uliposema when it comes to national team cr7 Yuko mbali kuliko Messi. .hapa ulikuwa unayaongelea mafanikio gani ambayo cr7 anayo katika ngazi ya team ya taifa .. zaidi ya hayo makombe mawili ambayo ureno inayahodhi kwa sasa. ...ni kweli haukutaja directly kuhusu makombe. ..Lakini kauli yako ya hapo juu ilikuwa inakusudia hicho nilicho kidadavua. . .don't spin around the bush mkuu
 
Kama ni unazungumzia hilo. .basi Messi ni bora kwa sababu team yake imefika finally ya kombe la dunia ..na ureno hajawahi kuthubutu hata kufikia nusu. .zaidi ya kuchukua hayo makombe mawili ya uefa
Ambayo kimsingi wa ubora league ya uefa ni league ndogo uki -compare na mashidano ya world cup. .. BAK
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona anaujua akiwa barca tu??? Yani means hata akihama ligi kama cR7 hawezi kuwa best...
Kwani wengine hawajahama ligi ni Cr7 pekee yake? Mbona kashindwa kubeba Uefa Safari hii tena Kaondolewa kwa kipigo cha aibu na wale watoto wa Ajax? Mbona hakuisadia timu? Mbona hamkuandika chochote?
 
Back
Top Bottom