Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Sijasema hafuatilii nimekuuliza umejuaje kama anamlenga yeye?Kwani mondi akitoa nyimbo alikba afuatii?
Hakuna mzeeVp kuna shida?
Mbona hata wachezaji wengine wanafanya mazoezi hayo hayoMkuu unajua kuhs social media marketing Kweli? That post was intentional..
Na alikuwa anafanya mazoezi kizembe kama dongo
Au wewe ni ID nyingine ya loose NutHilo ni dongo mzee huoni a navyo piga tizi kizembe? Aoneshe watu kuwa what ronaldo fights for yeye kwake ni effortless
Wewe huyo🤣Ndo kiumbe gani huyoo
Una wivu wa kike kwa kifupiHii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.
Naona mwiba umekuingia messi😂
View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..
Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,
He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,
Kila mahala laipo enda aliacha alama,
Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..
Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee
World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.
We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa the greatest of all time CR7
Achukue tuu ndoo tuwafunge midomo hawa nyumbuGoli lake la kwanza, faulo aliyotupia Nuno Mendez kwa kujifanya anapiga yeye, na ile faulo ambayo alitangulia mbele ya ukuta akaletewa
mpira, kiukweli nilimkubali sana. Jamaa amekata ngebe kiukweli. Kaleta heshima.
Tunaangalia what's behind your success,😄😄😄 Mtu akisha mfananishaga Messi na Cr7 tu
Huwaga namuona huyo mtu as mental kabisa
Yaani Messi aone jealous wakati ana goli 5 mguuni till this time mean while cr7 ndio kwanza ana goli 2
Kwenye hayo mashindano ya WC cr7 hajawahi kufika hata nusu , achilia mbali tu kucheza final, Messi ameshafika final mara 2 na Ameshinda tuzo binafsi kibao za hayo mashindano achilia mbali kuchukua WC Yenyewe
Yaani una muongelea Messi mchezaji ambaye ndiye anaye ongoza Kwa kuwa na makombe mengi Duniani makombe 47 achilia mbali tuzo binafsi
Ukienda kwenye magoli yupo yeye kwenye assist yupo yeye kwenye magoli ya faulo ana ongoza yeye he's everywhere ndio umfananishe na cr7 really!?
Style of his playing the way ana dribble tu ni disaster, he's playing Maker Ameshinda Kila kitu katika maisha
Ifike mahali muwage mnaona haya na mumtoe Messi kwenye kinywa chenu period 🚮🚮🚮