Bahati mbaya sana ni kuwa Messi hataona uzi wako kwasababu haingii JFHii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.
Naona mwiba umekuingia messiπ
View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..
Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,
He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,
Kila mahala alipo enda aliacha alama,
Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..
Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee
World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.
We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa the greatest of all time CR7
Mnapiga bomu mochwari washenzi nnπMwanaume huyo hana muda wa kusema βIβm backβ
Af nipeni stats za Pendu vs Colombia π€£π€£
View attachment 3617224
Kaangalie FIFA rankings za Algeria π©πΏ , Austria π¦πΉ , na na wale takataka Uzbekistan πΊπΏ alafu umdadisi vizuri Pendu asiyena hata on target Vs Congo π€£π€£Mnapiga bomu mochwari washenzi nnπ
Nenda ukanye kwanza maana akili haija kaa sawa... Hao wamesha toka walikuwa wanajifurahisha tu uwanjaniKaangalie FIFA rankings za Algeria π©πΏ , Austria π¦πΉ , na na wale takataka Uzbekistan πΊπΏ alafu umdadisi vizuri Pendu asiyena hata on target Vs Congo π€£π€£
Yani huyu hamnazo kwakweli, π πWe jamaa unaonekana uwezo wako wa akili ni mdogo sana kwahiyo utatu mtakatifu wa Messi ni MSN... ? Kwamba ndo Messi aling'aa sana kupitia Neymar na Suarez...
Nimeishia kusoma hapo pumba zako[emoji1787]
ndugu mwandishi, umri wako tafadhali?Nenda ukanye kwanza maana akili haija kaa sawa... Hao wamesha toka walikuwa wanajifurahisha tu uwanjani
Kumuita mwenzako kilaza kwasababu mmetofautiana ushabiki ni dalili ya ushabiki maandazi. Mbaya zaidi unakaza fuvu kwa mtu ambaye hata hajui uwepo wakoTunataka hao hao vilaza wa humu waone