Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah...Wapi Messi leo coni matobo naona vitu adimu tu toka kwa le brazilian "Marcelo" hahahahaha.
Kwan messi leo anacheza?? Mbona simwoni uwanjani??
bado hamjamuona mes
Hapana sina.Una makengeza...
Hapana sijavaa. Na situmiagi.Au umevaa miwani
Kwani yeye ni nani?usione gereeeeh
Is not true.Vice vesa.
Hapana sina.
Hapana sijavaa. Na situmiagi.
Kwani yeye ni nani?
Mkuu nimecheki mwanzo mwisho, messi sikumwona kabisa!! ndio maana nikauliza huyo messi yupo uwanjani? na kama alikuepo mbona hakuonekana kama ilivyokua kwenye mechi ya man city?
Kwanini acheze katikati wakati viungo wapo?Inamaana kaka ulishindwa kuona kwamba MESSI Jana alicheza katikati!? (Japo mwanzo alianza pembeni)
Kumbe mnawaogopa eeeh?Alicheza kati ili apambane na kuzuia uanzishaji wa mashambulizi toka kwa Isco, Kroos na Modric... Siyo kwamba alikua mkabaji hapana Bali uwezo wake wa kukaa na mpira mguuni muda mrefu uliwazima vijana wa galacticos..
Hapa umetudanganya.Mwisho... Messi ni kiumbe wa ajabu huyu kazaliwa hapa duniani lakini ana mpira wa baadae sana..
Kwanini acheze katikati wakati viungo wapo?
Kumbe mnawaogopa eeeh?
Hapa umetudanganya.
Hoja yangu ni kwamba kama messi ni bora kama wewe unavyosema mbona hakufurukuta? na kwanini acheze kama kiungo wakati yeye by nature ni forward? christiano alifunga goli je messi alifunga ngapi? huo ubora unaousemea wewe unaonekana kama akikutana na vitimu vidogo na si vinginevyo!!! messi ni mchezaji mzuri ila hamkuti cr7 kwa ubora!!
Huwezi kumpima kwa mechi moja tu. Kama kigezo ni magoli kuna siku walikutana na madrid na CR akiwemo mess akawapiga hatrick kitu ambacho cr mpaka leo hajakifanya. CR akiwa porto aliicheza mechi 25 akafunga magoli 3, akiwa utd alicheza mechi 196 akafunga magoli 84 akiwa madrid amecheza karibu mechi 190 na ana magoli 208 katika mechi zote hizo(411) amefunga magoli 295 wastani wa magoli kwa mechi ni 0.72. Messi mpaka sasa hivi amecheza mechi 304 na ana magoli 275 wastani wa magori kwa mechi ni 0.91. CR ni mzuri lakini hajamfikia mesi.Kwanini acheze katikati wakati viungo wapo?Kumbe mnawaogopa eeeh?Hapa umetudanganya.Hoja yangu ni kwamba kama messi ni bora kama wewe unavyosema mbona hakufurukuta? na kwanini acheze kama kiungo wakati yeye by nature ni forward? christiano alifunga goli je messi alifunga ngapi? huo ubora unaousemea wewe unaonekana kama akikutana na vitimu vidogo na si vinginevyo!!! messi ni mchezaji mzuri ila hamkuti cr7 kwa ubora!!
Si kweli.Huwezi kumpima kwa mechi moja tu. Kama kigezo ni magoli kuna siku walikutana na madrid na CR akiwemo mess akawapiga hatrick kitu ambacho cr mpaka leo hajakifanya. CR akiwa porto aliicheza mechi 25 akafunga magoli 3, akiwa utd alicheza mechi 196 akafunga magoli 84 akiwa madrid amecheza karibu mechi 190 na ana magoli 208 katika mechi zote hizo(411) amefunga magoli 295 wastani wa magoli kwa mechi ni 0.72. Messi mpaka sasa hivi amecheza mechi 304 na ana magoli 275 wastani wa magori kwa mechi ni 0.91. CR ni mzuri lakini hajamfikia mesi.
Huwezi kumpima kwa mechi moja tu. Kama kigezo ni magoli kuna siku walikutana na madrid na CR akiwemo mess akawapiga hatrick kitu ambacho cr mpaka leo hajakifanya. CR akiwa porto aliicheza mechi 25 akafunga magoli 3, akiwa utd alicheza mechi 196 akafunga magoli 84 akiwa madrid amecheza karibu mechi 190 na ana magoli 208 katika mechi zote hizo(411) amefunga magoli 295 wastani wa magoli kwa mechi ni 0.72. Messi mpaka sasa hivi amecheza mechi 304 na ana magoli 275 wastani wa magori kwa mechi ni 0.91. CR ni mzuri lakini hajamfikia mesi.