Messi ndie most overrated Player ever

Hater will always keep on bitching
 
Mada inayozungumziwa ni most overrated footboller ever ambaye ni messi na mimi nikataja baadhi ya mambo yanayodhihirishwa kukuzwa kwake ambako ni tofauti na uhalisia ulivyo. NB: SIO KILA MTU ANAETOA MAWAZO HASI KUHUSU MESSI ANAMPENDA PENALDO.
Kaliwe basi
 
We una chuki binafsi. We una utaalam gani wa kufanya uchambuzi wa mpira kuzidi wachambuzi wabobezi wenye utalaam wao tena wa kimataifa. we wale wabishi wa mtaani wanaojifanya wanajua kila kitu wakati ni bongolala hakuna unachojua
 
Cr7 hajawahi ata kuBEBA iyo tuzo
 
Ili ubebwe sharti uwe na kitu cha ziada umefanya zaidi ya wengine , hata mtaani kwenu huwezi kuonekana wa thamani sana kama huna jambo la maana ambalo umefanya
 
Linapokuja suala la mchezaji bora, ni vigezo vingi vinaangaliwa, sio idadi ya magoli peke yake. Ndio maana wakaweka tuzo ya mfungaji bora, na tuzo ya mchezaji bora.

Wanaosema Messi hakustahili tuzo ya mchezaji bora, ni watu wachache ambao wameumizwa na ushindi wa Argentina hapo jana.

Angalia hizi takwimu za Messi, alafu ulete takwimu za mchezaji wako unaedhani alitakiwa kupewa tuzo ya mchezaji bora ili tulinganishe!


Leonel Andres Messi "Cuccittini"

  • Goals 7 : second
  • Assists 3 : first
  • Total shots 32 : first
  • Shots on target 18 : first
  • Chances created 21 : second
  • Dribbles completed 15 : third
  • Duels won 44 : third
  • Touches in opposition box 45 : second
  • Passes played into the box 39: second

Ukiwa sio mtu wa mpira, hauwezi kujua mchango wa mchezaji tofauti na magoli anayofunga. Ila watu wa mpira wanajua, kuna mengi yanafanyika uwanjani yanayoweza kuamua ubora wa mchezaji, na sio magoli pekee!


Namba hazidanganyi. Leta takwimu za mchezaji wako unaedhani alitakiwa kupewa tuzo ya mchezaji bora ili tulinganishe!
 

hakuna kitu kibaya kama mapenzi yaliyopitiliza, ndicho wengi kinachokuteseni
 

sasa kupiga shuti nyingi nacho kimekua moja ya vigezo vya kuwania tunzo?
 
Sio jana tu mkuu, hiyo ndiyo imekua story kwa miaka mingi sasa. Mbappe Kaupiga mwingi sana na alistahili tunzo ya Uchezaji bora kabisa.
Messi jana kacheza dk zote 120, mbape kacheza dk 40 tu, dk ya kwanza mpaka 79 watu walimuweka mfukoni.
 
Unaweza vipi kukipuuza kipaji maridhawa kisicho na shaka hata chembe kama Cha messi.

Shida sio kipaji mzee wangu! Game ya jana umeona lakini dogo mbappe mzigo aliyopiga???? Kafunga goli 4 jana tu kwann usiseme yeye ndo mchezaji bora wa world cup..... messi kabebwa sanaaaaa yani sanaa hata ile penalt wamepewa jana ni mchongo hamna penalt pale boss
 
Sikia wew ile tunzo sio ya mchezaj bora wa mechi bali mashindano kuanzia siku ya kwanza kuanza
LEGEZA UBONGO NA AKILI UELEWESHWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…