Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Usela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana uliona MOTM anapewa zawadi?Messi sio overrated mkuu kama ulivyosema ila kwa jana Mbappe amefanya kazi nzuri.
Nitafutie Man of the match toka team iliyofungwa league yeyote nikupe elfu 15 ya soda
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
GOAT....Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Nipo na mbape, acha kutaja marehemu palipo uhai.Basi cr7 kafunga na kabeba ndoo
Ni boya yeyote aytayesema messi is overrated... ni boya kama wewe... namba hazidanganyi ndio maana nimekuwekea hizo trophies zake uone...Chawa umefika !
Ni boya yeyote aytayesema messi is overrated... ni boya kama wewe... namba hazidanganyi ndio maana nimekuwekea hizo trophies zake uone...
Di maria alisababisha penalty na akafunga goal.Kwangu mimi katika kikosi cha Argentina, Di Maria alikuwa kwenye kiwango bora zaidi kuliko Messi
Mbappe huyu nilimzungumzia sana jana, huyu ni mchezaji wa kipekee sana ila kinacho mkosti hana fanbase ya kutosha
Mchezaji bora wa mechi, halafu akachomesha kabisa na goli!!Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Messi na Ronaldo ni brand za watu hapo watu wameshaingiza pesa zao tayari.Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Kwa mapenalty yale kweli alistahiliKwan Messi Jana kachukua man of the match? Kama ni hivyo basi hayo ni mauzauza ila kwenye mchezaji bora wa mashindano kastahili
sasa 2014 ulitaka nani apewe?Jana mbappe kakinukisha na ni bonge la mchezaji... great future, still very young, alistahili yeye kuwa man of the match, hata man of the tournament. Nakumbuka kuna world cup final german vs argentina mesi alifunikwa vibaya na walifungwa ila yeye akapewa man of the tournament... hivyo hata jana mbappe alistahili licha ya kufungwa ila mtu kusema mafanikio ya messi kuwa messi ni overrated ni kipofu wa macho na kipofu wa akili ya kuchakata unachoona na kusikia... messi is GOAT, mbappe anaelekea huko pia...
Unawezaje kumfananisha Kijana wa Miaka 23 na kijana wa Miaka 35. Hata kama wangekuwa na vigezo sawa bado tungempa tu, si kwa kiwango kile alichocheza Kombe la Dunia 2022 ukilinganisha na umri aliokuwa nao hivi sasa.Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Kumbukeni zamani walikuwa wanahesabu mpaka magoli ya offside.Pele did it first
Ni kwa sababu tu ya teknolojia kukua hivyo vijana wa sasa mnaona mengi yafanywayo na wachezaji wa sasa.
Lakini mchezaji Abei Pele, mwenye asili ya Ghana amefanya mengi sana ambayo ndio imekuwa kiigizo kwa hawa nyota wa siku hizi.
Pitia video clip hii fupi angalau ujionee. View attachment 2451602
Kombe la dunia ni kwa ajili ya watu weupe, na bahati mbaya mbape si mmoja wao.
Kumpa nigger sijui man of the match, au golden boot wakati huu ambao ubaguzi umeshamiri kila nyanja ya maisha yetu, haiwezi kutokea.
Miaka miwili au mitatu iliyopita, TFF nayo ilimnyima mikison zawadi siyo kwa sababu hakustahili bali ni kwa sababu ya ubaguzi
Imagine dogo kafunga magoli yote 3 kwa timu yake! Tena akifanya come back!! Amemtungua golikipa wao kwa jumla ya magoli 4 kwenye mchezo wa jana!!Mbappe jana ndie alikua Best Player in the field tena by miles kabisa.
Watu wanaangalia mpira live score na kusimuliwa mkuu usiwalaumuwe jamaa ulkua unaangalia mech gan,goli la pili la argentina uliangalia vizuri,au ulkua unasikiliza kwenye redio