Messi ndie most overrated Player ever

Messi ndie most overrated Player ever

Mimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi

Ila ni sababu za marketing tu
we jamaa check vizuri stats messi kafunga katika kila stage kuanzia knockout,mbappe kafunga mech chache za kusaidia team ivuke
 
Wewe utakua unavuta bangi sio bure au wewe mchawi mtu wa husda, Messi unaweza ukamlinganisha na mchezaji gani kama sio nguvu za bangi?
Uliwahi kula bangi au umeandika tu kuhusu bangi?Acha kuvutishwa bangi.
 
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.

Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?

Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?

Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.

Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.

N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
ndiyo sababu Di Maria alitolewa ili wapate sababu ya kumuabudu mesi maana Di Maria alipokuwa ancheza mesi hakuonekana kabisa
 
we jamaa ulkua unaangalia mech gan,goli la pili la argentina uliangalia vizuri,au ulkua unasikiliza kwenye redio
unasifu penati? kati ya magoli 7 ya messi, 5 amefunga kwa penati. au hilo hujui? au sifa za kijinga zimekupofusha?
 
unasifu penati? kati ya magoli 7 ya messi, 5 amefunga kwa penati. au hilo hujui? au sifa za kijinga zimekupofusha?
penalt ipi goli la pili Di maria kafunga zile pass uliziona vizuri au unaongea tu
 
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.

Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?

Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?

Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.

Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.

N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Yahudi yule ulikuwa hujui??
 
Back
Top Bottom