FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Google ukipata nakupa 15 man of the match toka team iliyofungwaNdo mnavyochaguaga hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google ukipata nakupa 15 man of the match toka team iliyofungwaNdo mnavyochaguaga hivyo.
kisa kufunga penalt au?,tena kaja kufunga dakika ya 80Mbappe jana ndie alikua Best Player in the field tena by miles kabisa.
Kwani mbilikimo jana ndo kaanza kufunga kwa penalty.Penalty mbappe kafunga ngapi jana?
Ushaona wapi mchezaji bora unatoka kwa team iliyofungwa?
Basi tutoe hizo penalty, mpira umeisha 2-1Hata penati ya argentina ilikuwa nyepesi kwa fainali.
we jamaa check vizuri stats messi kafunga katika kila stage kuanzia knockout,mbappe kafunga mech chache za kusaidia team ivukeMimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi
Ila ni sababu za marketing tu
Uliwahi kula bangi au umeandika tu kuhusu bangi?Acha kuvutishwa bangi.Wewe utakua unavuta bangi sio bure au wewe mchawi mtu wa husda, Messi unaweza ukamlinganisha na mchezaji gani kama sio nguvu za bangi?
ndiyo sababu Di Maria alitolewa ili wapate sababu ya kumuabudu mesi maana Di Maria alipokuwa ancheza mesi hakuonekana kabisaKwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
we jamaa ulkua unaangalia mech gan,goli la pili la argentina uliangalia vizuri,au ulkua unasikiliza kwenye rediondiyo sababu Di Maria alitolewa ili wapate sababu ya kumuabudu mesi maana Di Maria alipokuwa ancheza mesi hakuonekana kabisa
Sawa nyepesi nyie mkapewa mbili kabisaHata penati ya argentina ilikuwa nyepesi kwa fainali.
Mbona pass nyingi dimaria alikuwa anapigiwa na messindiyo sababu Di Maria alitolewa ili wapate sababu ya kumuabudu mesi maana Di Maria alipokuwa ancheza mesi hakuonekana kabisa
Jinyonge sasaKajitu ktk goli 7 alizofunga 5 ni penalti huyu ni fuc*n king.
unasifu penati? kati ya magoli 7 ya messi, 5 amefunga kwa penati. au hilo hujui? au sifa za kijinga zimekupofusha?we jamaa ulkua unaangalia mech gan,goli la pili la argentina uliangalia vizuri,au ulkua unasikiliza kwenye redio
Basi cr7 kafunga na kabeba ndooKwani mbilikimo jana ndo kaanza kufunga kwa penalty.
bada ya Di kuondolewa foward ya argentina iliyumba sanaMbona pass nyingi dimaria alikuwa anapigiwa na messi
penalt ipi goli la pili Di maria kafunga zile pass uliziona vizuri au unaongea tuunasifu penati? kati ya magoli 7 ya messi, 5 amefunga kwa penati. au hilo hujui? au sifa za kijinga zimekupofusha?
polepenalt ipi goli la pili Di maria kafunga zile pass uliziona vizuri au unaongea tu
Yahudi yule ulikuwa hujui??Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
kampe mjomba wako ronaldopole