Messi Vs Pele

Eti mpira wa zamani haukuwa na kuotea, wewe kweli unajua unachoongea au unaleta tu hadithi za vijiweni, hata hujui sheria ya kuotea ilianza mwaka gani.
Wanalazimisha messsi awe bora kuliko Pele sio sawa, Messi atabaki kuwa bora kwa kizazi hiki na Second to pele.
 
Kwa hiyo Simba ikiifunga Al Ahly maana yake ligi ya Tanzania ni bora kuliko ya Misri?
Mbona TP MAZEMBE aliifunga Corinthians ya Brazil ,Je hii maana yake ni kwamba Ligi ya Kongo ilikuwa bora kuliko ya Brazil?
Aisee..., Yaani hii ligi mbovu iliweza kutoa timu ya kushinda Kombe la Bara la Ulaya na South America mara mbili.., na baadae kuchukua kombe la timu zote zilizoshawahi kushinda hilo kombe....

Hii ligi ambayo kwa kipindi hicho walishinda kombe la dunia 1958, 1962, (1966 wakafanyiwa figisu) na 1970 kipindi hicho wachezaji wote vinara wanacheza kwao (huko so called mchangani) kama hivi vipimo vyote havifai lete vya kwako....
Ubora wa timu hauwezi kutegemea tu factor ya ligi bali kuna vingi vipo vinaweza kuifanya timu kutoka ligi dhaifu kuifunga iliyo kwenye ligi ngumu na hii ndiyo football.
mara moja ni bahati mara kadhaa kuna kitu zaidi ya bahati
Umesema walishinda 1-0 then mashindano yakaishia hapo sasa hii inathibitisha ubora wa America over Europe? Yaani Cameroon kumfunga Brazil ilimaanisha Cameroon wana ligi ngumu kuliko Brazil?
Hivi hata unafuatilia mtiririko wa kinachoongeleawa ?

Kipindi hicho kulikuwa na Kombe la Bara la Ulaya na South America Santos ilishinda mara mbili na Pele akiwemo..., Likaanzishwa Kombe la Timu zote ambazo zilishawahi kushinda hili Kombe tena sio mitoano ni nyumbani na ugenini..., Real akakata Kona Inter akafungwa kwao mechi ya marudiano ambayo ingebidi ifanyike Brazil akakata tena Kona.....
 
Story za kwamba Messi ni Kiraka kazitoa mwenzako ila Pele was a perfect athletic kuna article ilitoka kwamba ange-excel kwenye michezo mingi ambayo angecheza
 
Ballon d'Or ndio takataka gani. Hajawahi kutokea mchezaji wa kufikia kiwango cha Pele katika dunia hii na labda zitapita karne nyingi.

Fifa walifanya kosa kubwa kuleta sheria nyingi na kuharibu mchezo wa soka eti ili kulinda mastaa wangefanya hivyo mapema Pele asingeacha mpira mwaka 1970 akiwa na miaka 29 tu.

Vile viatu vilivyokuwa vinatembezwa enzi hizo na akina Uruguay Messi asingecheza kabisa mpira, sasa hivi mshambuliaji akiguswa tu kadi hali inayowafanya wachezaji wacheze kwa hofu muda wote. Fifa bure kabisa.
 
Kuhusu kipa kuna game baada ya kupiga hat trick na kipa kufanya ndivyo sivyo na kutokelea Pele alichukua Gloves na kuwasaidi Santos golini

 

Messi ana goli 700?? Unajua soka?
 

Ukitoa kufunga Halaand anakipi special?? Hata chenga hajui kupiga mara 100 uniweke mbappe ntakuelewa
 

Na kwa age ya Halland na Mbappe Messi alikua kanyanyua Uefa ana mafanikio kibao
 
Kwe sanaa ya kuuchezea mpira mbona unamsahau Jay Jay Okocha?
 
Oya huyo jamaa usihangaike naye ana kila dalili za kuwa mshabiki wa Yanga

Hapo utakesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…