Jamani tuache uvivu ili mjadala uende vema fanya hata research ya sekunde chache mbona information zipo tu, unaongelea ulaya ?!! Hivi unajua kipindi hicho ma-stars duniani walikuwa wanacheza kwao..., sasa kama Brazil ilikuwa ni kinara alafu wachezaji hao wanachezea Brazil alafu ligi ya Brazil iwe mchangani ?!!!!
Anyway tuseme upo sawa hivi unajua hii timu ya mchangaji kulikuwa na Kombe la bara la ulaya na America Intercontinental Cup ambaye huyu Pele na timu yake ya mchangani walishinda mara mbili kwa kufunga hizo timu za ulaya...
Hivi unajua kulikuwa na Kombe la Intercontinental Super Cup ambalo pia Pele alishinda...
1968 Intercontinental Supercup
From Wikipedia, the free encyclopedia
The
1968 Intercontinental Supercup was the first edition of the
Intercontinental Supercup, a matchup between the European and South American past winners of the
Intercontinental Cup. The two-legged tie was contested between
Italian club
Internazionale and
Brazilian club
Santos. The first match-up between Internazionale and Santos ended with the
Santásticos beating Inter 1-0 at
Milan's
San Siro.
Yaani hili kombe lilikuwa kama tuseme washindi wote wa champions league zilizopita wakutane ili kuona nani ni Baba la Mababa..., Real Madrid akakata Kona..., Inter Milan akapigwa kwao mechi ya Pili marudiano akakata Kona Santos akachukua Kombe kama kawaida figisu za Ulaya Kombe likafa kifo cha kawaida