Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #121
Afadhali wewe umeona Mkuu....We jamaa una matatizo kweli unajibiwa vizuri tena Kwa evidence unaleta mambo ambayo hayaeleweki kweny maelezo ya jamaa kitu Gani hujaelewa umeulza amefanya kitu Pele amefanya ila Messi hajafanya unapewa majibu ya maswali Yako bado unagwaya wew sio mtu wa mpira achana na mpira kafundishe vitenzi wanafunzi wako
Hapa naona nitakesha yaani ni kama tunashindana ni nani anatoa post nyingi majibu unayotoa yaani kama watu hawaoni kule juu nimeweka kwamba sio kweli zamani kulikuwa hakuna offside ila unakuta post ya 30 mtu anarudia yaleyale; hapa bora kwanza nikafanye mengine takuja baada ya siku kadhaa na kuanza kujibu majibu ya jumla jumla...
Yaani ni bora watu wanaobishania vitu subjective na kila mtu anaweka point yake... ila huku mtu anabisha kabisa kwamba nyeusi ni nyeupe.... ukimwambia kwanini ni nyeusi anaenda kwenye mambo mengine ili mradi basi tu tunapotezeana muda