Messi Vs Pele

Messi Vs Pele

Hivi nyie watu hata ku-google kunawasumbua ?

Aliyekwambia Offside ilikuwa haipo ni nani ? Yaani hadi nimeleta hapa history ya offside umeshindwa kusoma ? ngoja nikuwekee link hapa pia sijui utashindwa kusoma ?


Kwa ufupi offside rule ipo tangia 1800's

1800 ulikuwepo?

Sasa mmetoka kwa ronaldo na mmehamia kwa pele 😀😀 aise huyu messi atawapa presha..
 
Kwa kigezo cha World Cup, Pele ametwaa World Cup 3.

Ya kwanza ni mwaka 1958 pale Sweden akiwa na miaka 17 yaani alikuwa mchezaji chipukizi wala sio tegemeo kwa timu.

Mara ya pili akatwaa mwaka 1962 pale Chile. Mechi ya pili tu Pele akaumia na hakucheza tena michuano hiyo lakini akavaa medali.

Mara ya tatu akatwaa mwaka 1970 pale Mexico katika michuano ambayo Brazil inachukuliwa kama timu bora ya wakati wote wakiwemo akina Tostao, Jairzinho, Captain Carlos Alberto.

Katika michuano yote hiyo, Pele hakuwahi kuwa mchezaji bora wa mashindano, wala kuwa mfungaji bora.

Messi ametwaa World Cup moja lakini imebidi aibebe timu mabegani mwake ili waweze kutwaa ndoo tofauti na Pele aliyebebwa na mafanikio ya wenzake.

Kwa kuhitimisha, kwangu mimi Messi ni mchezaji bora kumzidi Pele ila kwaluwa wahafidhina wa soka wanapenda mambo ya zamani watamtetea Pele
 
Kwa kigezo cha World Cup, Pele ametwaa World Cup 3.

Ya kwanza ni mwaka 1958 pale Sweden akiwa na miaka 17 yaani alikuwa mchezaji chipukizi wala sio tegemeo kwa timu.

Mara ya pili akatwaa mwaka 1962 pale Chile. Mechi ya pili tu Pele akaumia na hakucheza tena michuano hiyo lakini akavaa medali.

Mara ya tatu akatwaa mwaka 1970 pale Mexico katika michuano ambayo Brazil inachukuliwa kama timu bora ya wakati wote wakiwemo akina Tostao, Jairzinho, Captain Carlos Alberto.

Katika michuano yote hiyo, Pele hakuwahi kuwa mchezaji bora wa mashindano, wala kuwa mfungaji bora.

Messi ametwaa World Cup moja lakini imebidi aibebe timu mabegani mwake ili waweze kutwaa ndoo tofauti na Pele aliyebebwa na mafanikio ya wenzake.

Kwa kuhitimisha, kwangu mimi Messi ni mchezaji bora kumzidi Pele ila kwaluwa wahafidhina wa soka wanapenda mambo ya zamani watamtetea Pele
Kwa lugha rahisi ni kwamba Kombe la nguvu za Pele ni hilo la 70 na kwenyewe hakuwa best scorer sasa wanapodai ndiye bora wakati hata mashindano husika hakuwa mchezaji bora wanadhihirisha wana nongwa na Messi tu maana Messi ipo clear anaupiga mwingi every tournament
Huyu Pele hata rekodi zake ni za kuungaunga kabisa hadi zinakosa uhalisia mfano ile update ya magoli baada ya kufikiwa idadi ya magoli na Ronaldo akaongeza eti alifunga 1000 na mamia huko ili tu asiwe chini ya mwingine
 
Kwa lugha rahisi ni kwamba Kombe la nguvu za Pele ni hilo la 70 na kwenyewe hakuwa best scorer sasa wanapodai ndiye bora wakati hata mashindano husika hakuwa mchezaji bora wanadhihirisha wana nongwa na Messi tu maana Messi ipo clear anaupiga mwingi every tournament
Huyu Pele hata rekodi zake ni za kuungaunga kabisa hadi zinakosa uhalisia mfano ile update ya magoli baada ya kufikiwa idadi ya magoli na Ronaldo akaongeza eti alifunga 1000 na mamia huko ili tu asiwe chini ya mwingine
Masahihisho madogo.
World Cup ya Mwaka 1970, Pele alikuwa best player wa yale mashondano!
 
Haijalishi hata kama alishikwa ugoni ukamzuia kwenda ulaya, point is hakucheza competitive league ya ulaya
Competitive league ya Ulaya ? Unajua kitu kilikuwa kinaitwa Intercontinental Cup? Pele alishinda mara mbili na Santos..., Kwahio hao wa kwenye Competitive league Santos ya Pele iliweza kutwaa Kombe (Kama hujui intercontinental cup ilikuwa Europe na South American Cup...
Kipindi hiko dunia nzima mpaka ulaya wachezaji walikuwa wavuta sigara na kufanya vibarua kama maseremala, wajenzi maana kulikuwa hakuna sheria za kuwabana na soka lilikuwa halilipi, haikuwa full time job
Kwahio hao wavuta sigara walikuwa hawawezi kupiga kiatu kumaintain diet kunakufanya ku-extend your playing career kipindi kile kulikuwa hakuna wing backs nabeki wa pembeni hawapandi kwahio wanakusubiri kama stricker au wanakunata kama gundi..., Sababu naona haufuatilii jaribu kuuliza tu huku bongo alikuwepo namba tatu anaitwa Mwakalebela alikuwa Pamba yeye signature yake ilikuwa ni kulaza ukija winger ukitaka kumpita wewe mpira nyote mnakwenda chini jambo ambalo leo lingekuwa faulo kipindi hicho it was legal....,

By the way usiende mbali hivi unajua hata Bongo kipindi cha kina Pamba, Sigara, Reli, Ushirika n.k. timu zote hizi zilikuwa za makampuni ?, unajua nini kilitokea kama unajua mpira unapewa kazi ya kuzugia bado asubuhi unakwenda training na jioni unakwenda training mkicheza mpira unapewa Posho kabla ya mechi kubwa mnakwenda kambini kwahio mpira bado ulikuwa source of income kwa watu sababu timu yako inahakikisha una kitu cha kuku-sustain; kipindi hicho wachezaji wana adabu na kocha wanamuheshimu sio sasa hivi unadhani utamwambia nini mtu anakuzidi kipato..., na unadhani ikiwa full time job ndio wanafanya training 24/7 bado sessions ni zile zile na kutumia muda mwingi wanasuka mikeka / horse racing, golf, n.k. (wana sauti kuliko hata makocha) unless wewe ni Pep na wanakuheshimu
Umeshindwa kujua kuwa soka la kipindi kile lilikuwa primitve ukilinganisha na hili la kisasa, hakukuwa na mbinu za kudefend au kuattack kama soka la leo.
Aisee kabla hujatoa comment jitahidi hata kufanya uchunguzi na kuangalia nini na wapi kimebadilika; kwanza kabisa kabla sijakupa jedwali la formation since 1800's kwanza nitakwambia jambo dogo zamani kulikuwa hakuna wing backs yaani mabeki wa pembeni kupanda defenders walikuwa defenders hawapandi kwahio which means kazi ya striker ilikuwa ngumu zaidi.... ingawa kwa kukufahamisha tu hata ile Holland ya 1974 iliyopelekea inspiration kwa kina Barcelona ya leo n.k. ilikuwa inacheza Total Football ingawa wenyewe ndio waliipeleka mainstream lakini inasemekana ilianza way back....

The term "Total Football" was first used to describe the 1974 Netherlands World Cup side. However, it was influenced by other key tactical innovators. Total Football had its roots in the Austrian national side of Matthias Sindelar in the 1930s, and in the famous Puskas-featuring Hungarian sides of the 1950s.

Total football ambayo ni fluid tactical playing theory in which any outfield player adopts the role of any other player in the team. Aina ya mchezo mtu kama Messi asingeweza kucheza hakabi wala hafanyi tracking back.... Hivi ushajiuliza kwanini Klop wa Dortmund aliweza ku-incinerate Barcelona ni kwamba kwa kila mchezaji ku-put in a shift hard working (Talent is no substitute for hard work) ukiwa na Messi kwenye timu inabidi uwapate kina Toure waweze kurekebisha Messi anapopoteza mipira..... Haya cheki kio link ya evolution ya formations....

Major Football Lineup Changes​

Dominant FormationsYearsMajor Influence
1-1-8, 1-2-7, 2-2-6 1860's - 1880's Rugby
2-3-5 1880's - 1925 Scottish Passing Game
3-3-4 1925 - 1950's Offside
4-2-4, 4-3-3 1950's - 1970's Countering 3-3-4
4-4-2, 5-4-11970's - 1990's Italian Defensive Game
3-5-2, 5-3-2 1990's - 2000's In Game Formation Changes
Variable Formations 2000's - Present Day Fluid Formations Changing On Situation
Watu walikuwa bado wanafanya experimentantion mpaka timu inakuja na formation ya 3111111
Cheki hapo juu na kwa kujifunza zaidi angalia hii link
Ukweli usiopingika ni kuwa Soka la sasa ni advanced kuliko la zamani na soka la baadae litakuwa advanced kuliko la sasa.
Advanced kwenye nini ? Wachezaji kujali miili yao na kutumia diet ku-prolong their career ? , Maybe huenda hata wengine wanatumia madawa ya kuongeza nguvu (doping)..., ila je imekuwa bora ? Subjective wengine watakwambia imekuwa imekuwa kama basket au golf, mtu huwezi kumshika wala kumgusa yaani sio physical game tena.., kuhusu formation nimekwambia fanya research ya Austrian na Hungarian Sides za miaka ya 1930's na 50's ..., ukiona leo watu wanapiga Panenka hio ilikuwepo way back, trick nyingi za Ronaldinho unaweza ukazipata kwa wadau way back kwa ufupi tu cheki hizi tricks The Cruyff Turn (1974); The Pele Runaround (1970); The Marseille turn (1970) ila wamekuja kuitumia kina Zidanne, Henry na Maradona; The Elastico (1970) hii ndio inampa Ronaldinho sifa; The Step Over (1920) ingawa Ronaldo ndio signature yake; The Garrincha Feint.... Ni kwamba haya ni marudio wala usidhani kwamba unaona jambo jipya

Yanga ya leo ikicheza na Timu ya brazil ya Mwaka 1962 Yanga itashinda nyingi tu kwasababu ya mbinu na tactics.
Hivi yanga ya leo inapata ushindani hata wa yanga ya miaka ya kina Pamba, Majimaji, Ushirika, Pan Africa, Coastal ya Kipindi kile n.k. ? Au Gap ya pesa ishakuwa kubwa kama vile ilivyo ligi za huko ulaya timu mbili au tatu zipo above everyone else... !!!

Kuhusu tactics nimekuonyesha hapo juu, Chelsea ya kina Zola ilikuwa bora kwa mtizamo na uchezaji kuliko chelsea ya Maurinho unadhani ningependa kuangalia chelsea ya Maurinho au Total Football ya Holland ya 1974..., Hivi unajua kwanini Socrates alisema Football died in 1982 ni kwamba kwa sababu ya Brazil kutokushinda hilo Kombe na kufungwa na Defensive formations Brazil ilibadilisha mfumo wao wa kucheza pasi fupi fupi za haraka haraka (one touch football).., Pia muulize Brazillian yoyote their best team ever atakwambia ni 1970....
Nimemlinganisha na Messi sijamlinganisha na Lukaku.
Kwa dribbling na Assist anamfikia messi? Em twende googleView attachment 2456689
Kwahio kwa akili yako kila link unayotoa kwenye mtandao na app za watu kwako ni verified news ? anyway jibu la hili takupa baadae
 
Kwa lugha rahisi ni kwamba Kombe la nguvu za Pele ni hilo la 70 na kwenyewe hakuwa best scorer sasa wanapodai ndiye bora wakati hata mashindano husika hakuwa mchezaji bora wanadhihirisha wana nongwa na Messi tu maana Messi ipo clear anaupiga mwingi every tournament
Huyu Pele hata rekodi zake ni za kuungaunga kabisa hadi zinakosa uhalisia mfano ile update ya magoli baada ya kufikiwa idadi ya magoli na Ronaldo akaongeza eti alifunga 1000 na mamia huko ili tu asiwe chini ya mwingine
Kwahio Messi amekuwa Best Scorer mwaka huu...

1958 alikuwa best young player na hapo ni kwa kukaa mkeka mechi za mwanzo, Kombe la 1962 alicheza mechi mbili ya kwanza akafunga bao la kwanza la pili wakahakikisha harudi mechi ya tatu kwa kumpiga kiatu......

1966 wakampiga kiatu mpaka akiwa chini wanakanyanga kuona kwamba ndio mtindo utakuwa huo ikabidi ajiuzulu FIFA ilibidi ku-introduce red na yellow cards 1970 Pele ndio akarudi the rest is history
 
Pele hajacheza hata ulaya.
Alafu kacheza Vs wakulima na wavuta sigara.
Watu wanatoka kwenye mechi wanarudi vibaruani

Plus hana Assist hawezi hata kudribble
Hivi tunashindana kujaza server au tunaeleweshana kwa kuweka known facts... unasema Pele hana Assit sijui hii umeitoa wapi..., unasema hawezi ku-dribble alafu unaleta links ingawa ni subjective ila katika hizo link Pele nae yupo katika hizo Top 10 hivi kweli unajua hata unachoandika au ukishaweka nukta unasahau uliyoandika awali ?!!!!
 
Mwamba kachanganyikiwa anataka tumwoneshe magoli ya Messi dhidi ya getafe alilamba watu chenga kuanzia katikati ya dimba mpaka anafunga, goli lile na madrid Uefa kuna goli lile na bayern 2015.
Aisee kuweni basi na uelewa Pele Dribble alikuwa anafanya na kumbuka ingawa alikuwa striker alikuwa anashuka na kutafuta mipira na kuwapita madefender bila shida..., hio clip ni signature ya Pele inaitwa Pele Feint (Pele Dummy; Runaround Move, Yaani ukisema Pele feint mtu anakuelewa kama vile ukisema Panenka...

Yaani mtu andash huku wewe unafuata mwili kumbe mpira umekwenda pengine... Okocha pia alikuwa anajitahidi kuitumia ila sio kwa ufanisi....
 
1800 ulikuwepo?

Sasa mmetoka kwa ronaldo na mmehamia kwa pele 😀😀 aise huyu messi atawapa presha..
Aisee mara nyingine huwa najiuliza kama hiki kilichoandikwa ni utani au mtu yupo serious na huu ndio mtitiriko wa arguments zake...

Kwahio sababu sikuwepo 1800 documentation za 1800 siwezi kuzisoma ? Umesoma Post yangu ya kwanza au tunapotezeana muda..., Rudia kusoma mwanzo hapa nimesema naweka record straight kwahio sababu 1800 nilikuwa sipo basi ndio tu-conclude offside rules zilikuwa hazipo ?

Hii Logic ya wapi hii... Kwahio tunaposema Greatest of all Time tunatoa baadhi ya miaka sababu tulikuwa hatupo ?!!
 
Hamisheni magotu tu. G.O.A.T ni Messi. Hii debate ilifungwa tarehe 18.12.2022 saa 4 usiku. Baada ya King Messi kuisaidia Argentina kubeba kombe la dunia.

Maradona alikuwa akilinganishwa na Pele. Na Messi alikuwa akilinganishwa na CR7. Pele alipata kombe la dunia hali kadhalika Maradona. Mjadala ulikuwa mkali japo hulikuwa hakuna social media wakati huo.

Ndio maana mwaka 2000 fifa waliandaa kura za kumchagua mchezaji bora wa miaka 100 iliyopita. Kwenye matokeo Maradona aliibuka pale juu akimshinda pele. Kwenye kutoa tuzo fifa wakaigawa kwa wote, kitu ambacha maradona alikikataa.
Fifa walitoa sababu dhaifu na za kijinga eti pamoja na maradona kuibuka mshindi ni mtovu wa nidhamu na mla cocaine. Wakapewa tuzo wote wawili.

Ikaja kwa CR7 na king Messi. Walichuana kwa zaidi ya miaka kumi kwenye debate kukiwa na social media na vyombo kibao vya habari. Honesty hawa jamaa ukiwaangalia walikuwa fire wote tena sana. Cr7 anafunga, ana dribble, ana piga faulo ana piga penalt vitu ambavyo messi naye alikuwa na anafanya sawa sawa kama ronaldo.

Wote wana makombe. Yote ya mashindano waliyoshiriki. Ikaja kwa timu ya taifa. Cr7 akachukuwa Euro na Ureno. Zikaanza kelele. Oooh ronaldo ni zaidi ya Messi kwa kuwa tu kaipa ureno euro.
Messi akapambana thanks to shotstopper Emmy Martinez. Akapangua penalt 3 kwenye fainal ya copa america. Messi naye akasawazisha. Mjadala ukaendelea. Nani mkali.

Cr7. Umri ukaanza kumtupa. Akaanza kutoaminiwa tena. Kwa mara ya kwanza akaanza kuanzia bench. Akawa anapewa wakati mwingine dk3. Akahamia kuwa mpenzi wavyombo vya habari. Ambavyo vimeenda kuimaliza caree yake vibaya.

Wc hii Qatar ndio imevunja na kumaliza debate hii ambayo wewe mleta mada unataka kuiendeleza. Mjadala umefungwa jamani. Acheni chuki kwa king messi.
Hata fifa wakiandaa kura ya kumchagua mchezaji bora kwa muda wa mika 125 iliyopita utashaangaa. Matokeo yatakuwa hivi.
1. Messi
2. Maradona. Sababu alishamgaragaza pele.
3. Cr7
4. Pele
 
Ukiona mjadala wanauhamishia kwa pele kutoka kwa ronaldo ujue wamekwishwa[emoji16]

Tutajie timu alizochezea pele

kwanza ligi ya USA na brazil km messi angecheza akiwa kijana angefunga goli alfu tatu na kuendelea

Namkubali pele km mfungaji mzuri ila hajamfkia messi
Unasahau Messi kacheza la Liga na France leauge one unazani Pele angecheza la Liga angefunga Goli ngapi nazan angeweza kufunga 70 goli per season ukija kwenye ligi ya France leauge one ndio usiseme angefikisha Goli 100 Kwa msimu usidharau ligi za watu ligi ya Brazil imetoa bingwa wa klabu bingwa ya Dunia zaidi ya mara moja tena mbele ya vilabu vya ulaya kama hufahamu jaribu kufwatilia hichi kitu mara ya mwisho Corinthians kambutua Chelsea kweny fainali akabeba ubingwa unasemaje ligi ya Brazil mbovu kuwa na adabu na Pele
 
Mnaosema eti Pele ana Worldcup tatu. Mwaka 1962 Pele aliumia kwenye Mechi ya pili na kushindwa kumalizia tournament, akina Garincha wakaibeba timu mpaka kutwaa ndoo halafu unakuja hapa kumsifu kwa Worldcup Tatu?.

Messi katwaa Copa America na alikuwa mchezaji bora wa mashindano hayo!, Pele hajawahi kutwaa Copa America!.

Messi amekuwa mchezaji bora wa mashindano ya Worldcup mbili, ya mwaka 2014 na 2022 , Pele amekuwa mchezaji bora wa Worldcup ya mwaka 1970 tu.
Copa America ndio kitu Gani Ata Chile wamebeba Sanchez, Eduardo vagas kabeba ufungaji Bora na uchezaji Bora zaidi ya mara moja Tena mbele ya Messi uje ututishe na Copa America
 
Top score of all time au hicho kitu ukijui kashinda kombe la Dunia mara tatu unataka kingine
 
Aisee kuweni basi na uelewa Pele Dribble alikuwa anafanya na kumbuka ingawa alikuwa striker alikuwa anashuka na kutafuta mipira na kuwapita madefender bila shida..., hio clip ni signature ya Pele inaitwa Pele Feint (Pele Dummy; Runaround Move, Yaani ukisema Pele feint mtu anakuelewa kama vile ukisema Panenka...

Yaani mtu andash huku wewe unafuata mwili kumbe mpira umekwenda pengine... Okocha pia alikuwa anajitahidi kuitumia ila sio kwa ufanisi....

IMG_8069.jpg
 
Back
Top Bottom