Messi Vs Pele

Messi Vs Pele

Pele hajacheza hata ulaya.
Unajua kwanini ? Unajua 1961 alifanywa Nyara ili asiende Europe ?
Alafu kacheza Vs wakulima na wavuta sigara.
Unajua hao wavuta sigara walishinda kombe la Intercontinetal cup (dhidi ya timu za ulaya) na kushinda mara ngapi
Watu wanatoka kwenye mechi wanarudi vibaruani
Na hao wanaorudi vibaruani wanaruhusiwa kupiga kiatu cha kila aina na tackles from behind pia ruksa
Plus hana Assist hawezi hata kudribble
hana assists hii umeitoa wapi ?

Unajua signature faint ya Pele ? , Unajua Dribble de Vaca Kwamba pele alikuwa anafanya nini kama sio dribbling au unamfananisha Pele na Emil Heskey au Lukaku ?
 
Hata uelewa unao mkuu ? Kipindi anaanza kulikuwa hakuna red/ yellow wala substitution na rafu nyingi refa anapeta.

Narudia uelewa wako unatia mashaka nimesema kipindi cha pele assists zilikuwa haziwi recorded kwahio inabidi watu warudi kutazama mechi ambazo zilikuwa televised (sio zote) kwahio hii stats ni ngumu kuipata sababu hatuna kina opta index wanaochukua kila takwimu Kwahio hizo sio official upande wa Pele

Again uelewa wako mkuu kipindi kile hakuna marginally offside yaani achana na shati yaani hata kama defender anakuweka onside kwa nusu mwili bado ni offside na zamani kabisa haikuwa mmoja tu bali wawili kwahio kila wakati kulikuwa na defender mbele yako ambae haogopi kwamba ana-kuplay onside....

vipi ?
Haya maelezo yako ndo yangemzuia Messi kufunga magoli wakati huo ? Hata kwa vipimo hivyo Messi would have scored many goals wasiwasi ungekuwa kwa Ronaldo CR ambaye anavizia zaidi tap in .Dribbler kama Messi angefunga sana tu
 
Unajua kwanini ? Unajua 1961 alifanywa Nyara ili asiende Europe ?
Haijalishi hata kama alishikwa ugoni ukamzuia kwenda ulaya, point is hakucheza competitive league ya ulaya
Unajua hao wavuta sigara walishinda kombe la Intercontinetal cup (dhidi ya timu za ulaya) na kushinda mara ngapi
Kipindi hiko dunia nzima mpaka ulaya wachezaji walikuwa wavuta sigara na kufanya vibarua kama maseremala, wajenzi maana kulikuwa hakuna sheria za kuwabana na soka lilikuwa halilipi, haikuwa full time job
Na hao wanaorudi vibaruani wanaruhusiwa kupiga kiatu cha kila aina na tackles from behind pia ruksa
Umeshindwa kujua kuwa soka la kipindi kile lilikuwa primitve ukilinganisha na hili la kisasa, hakukuwa na mbinu za kudefend au kuattack kama soka la leo.
Watu walikuwa bado wanafanya experimentantion mpaka timu inakuja na formation ya 3111111

Ukweli usiopingika ni kuwa Soka la sasa ni advanced kuliko la zamani na soka la baadae litakuwa advanced kuliko la sasa.

Yanga ya leo ikicheza na Timu ya brazil ya Mwaka 1962 Yanga itashinda nyingi tu kwasababu ya mbinu na tactics.
hana assists hii umeitoa wapi ?


Unajua signature faint ya Pele ? , Unajua Dribble de Vaca Kwamba pele alikuwa anafanya nini kama sio dribbling au unamfananisha Pele na Emil Heskey au Lukaku ?

Nimemlinganisha na Messi sijamlinganisha na Lukaku.
Kwa dribbling na Assist anamfikia messi? Em twende google
Screenshot_20221224_152502.jpg
 
Laiti isingekuwa rafu alizochezewa pele 1960s angekuwa na zaidi ya world cups 3 yaani wazungu walisha mjua huyu mdudu Pele na namna ya kumkabili isiyo ya kiungwana alikuwa anakamiwa wakati Messi world cups zote anacheza bila injury. Mpira wa zamani bila shaka ulikuwa mgumu zaidi kuliko wa sasa kila saa filimbi inapigwa enzi hizo refa anapeta tu. Zingatia ukweli kwamba mpira ulikuwa mzito lakini Pele alikuwa anaudrible, viwanja vibovu, majezi ya kizamani na viatu vizito, ukabaji wa kikatili bila kujali red cards kama KeyserSoze alivyoelezea hapo juu, kucheza mechi kwenye theluji or radi. Mpira ulikuwa mgumu lakini mwamba Pele akascore magoli zaidi ya alfu.
Note: Pele ana ballon D'Or sawa na Messi.
 
Mbona umesahau kusema na offside haikuwepo, ingekuwepo Pele angemaliza career na magoli 47
Hivi nyie watu hata ku-google kunawasumbua ?

Aliyekwambia Offside ilikuwa haipo ni nani ? Yaani hadi nimeleta hapa history ya offside umeshindwa kusoma ? ngoja nikuwekee link hapa pia sijui utashindwa kusoma ?


Kwa ufupi offside rule ipo tangia 1800's
 
Messi angecheza enzi hizo za Pele angefanya maajabu mara mia ya maajabu ya Pele kwa sabab sheria hazikua nyungi,na Pele angecheza zama hizi angekuw km Hazard tu,kwahy Messi hana wa kulinganishwa nae
 
Messi is the Best Player everrrrr..

Messi✔
Diego Armando Maradona✔

Huyo pele mlinganishe na wengine, na sio hao niliowatik...
 
Back
Top Bottom