Moses Phiri kwenye game ya juzi hukumuona akipigwa viatu tena ndani ya box ambapo ilipaswa kuamliwa penati lakini refa akapeta?Sasa jioni messi akivyokuwa anapigwa viatu na kina ramos pepe ila anawatoboa tu
Messi hakuna mfano
sisi wengine ni wazeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mchezaji wa kawaida sana huwa nashangaa watu wanavyompulizaMessi ni mchezaji kama wengine tu
Thanks to Pele kidogo tunapumua 😂😂😂😂
Sio rahisiAkisha 2WC nitamkibali Messi wenu athawais hapana na kombe la kugawawia bure
Hapo unaongea peke yako ndugu yangu labda uweke tu kama elimu kwa faida ya wasomaji wengineNgoja nikupe dondoo..., mwaka ni 1966
1966 World Cup
Pelé scored the first goal from a free kick against Bulgaria, becoming the first player to score in three successive FIFA World Cups, but due to his injury, a result of persistent fouling by the Bulgarians, he missed the second game against Hungary.
Ingawa mechi ya tatu alirudi ila alipigwa kiatu na akianguka watu bado wanakanyaga..., kipindi kile hakuna substitution inabidi mtu unaendelea kuchechemea tu..., In short ilikuwa Brutal (ndio maana Pele akaamua kujiuzulu ingawa baadae alirudi (ama sivyo tungeshindwa kushuhudia vitu vyake 1970) na hapo FIFA ilibidi wa-introduce red / yellow cards
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amini Usiamini.Kwamba ulimshuhudia Pele??[emoji23][emoji23]
shangaaa na weweSio rahisi
Hili lenyewe bila penati unafikiri lingepatikana?
Nachompendea mzee Pele yuko very humble, Hana chuki wala shida na Mtu yeyote anasupport everything and everyone on footballTeam Ronaldo mmechanganyikiwa kwakweli View attachment 2459081
View attachment 2459082
View attachment 2459083
Hivi unajua maana ya Ratio ?
Bora wewe umesema kuna vinabo humu ni vibishi afu vitata sanaPele ni kumchukua messi mguu wake wa kushoto uuweke kulia, kisha jumlisha na cr7 ndio unampata pele huyo mmoja.
Mimi ni shabiki wa Messi, nazungumza haya baada ya kipindi fulani nilikuwa najarobu kutengeneza documentary ya pele nikakwama kwenye mambo ya hakimiliki,
Pele tumsikie tu mzee alikuwa anajua mpira na kacheza kipindi kigumu saana, faulo za ajabu ajabu mechi aliyokuwa anatafuta kufunga goli la buku, alikula viatu si mchezo, world cup 66 kina Eusebio walipiga viatu vya hatari kiasi alisema hatocheza teena worldcup.. Ile game walimuumiza mguu wa kulia akawa anatumia wa kushoto.
Pele aheshimiwe.
Siku zoote messi alikuwa hashindanishwi na pele ni baada ya kuchukua world cup, kama ishu ni world cup pele anazo 3(2 katika hizo mchango wake ni 100%,58,70) Katika game 14 za world cup ana goli 12, assist 10.
Inategemea unafanisha niniAsa pele anamfikiaje Messi jamani
Ronaldo hamfikii Messi hata kidogo Maji yameshajitenga na mawese.Team Ronaldo mmechanganyikiwa kwakweli View attachment 2459081
View attachment 2459082
View attachment 2459083
Leta uthibitishoEnzi na wao wako peak walishafanya hiyo mijadala kijana wangu
Una uhakika?Dribling ya Messi si ya sayari hii
Pele alikuwa hana uwezo wa kupiga chenga kumi mfululizo!
Messi ni mchezaji ambaye anawekwa kwenye madaraja ya kina CR7 na wengineyoMpangumbe
Shida ya uongo ukikaa kimya wala bila kubisha wala kurekebishwe hutokea kuaminiwa kama ni ukweli kwahio karne hii ya information at your fingertips mtu ukisikia story yoyote ni vema kujiridhisha ama sivyo unakuwa part ya ku-recycle uongo...
Ukweli ni kwamba enzi za kina Pele bora uwe defender kuwa stricker wewe na maumivi ilikuwa pete na kidole issue za ma-winger kupanda zilikuwa hazipo mijamaa imekaa nyuma tu inakusubiri ikupe maumivu na offside ilikuwa offside kweli sio sasa hivi sijui nipo marginally onside....
Macho yenyewe ya kuonea hiyo signature anayo??Kwanza kabisa waliofanya dissection ya Messi; Messi ana aina yake ya chenga moja ambayo hata Garrincha alikuwa nayo ingawa unajua aina hii ya chenga ila kui-defend ni kazi..., pili umeona signature ya pele ya ku-dash ambayo hata mpira hana alafu defense inakwenda mrama..., na tukija kwenye chenga zenye manufaa na productive binafsi naona Ronaldo de Lima likuwa mtaalamu (kwake kupoteza mpira akishauweka katikati ya miguu ni hadithi....
Anyway sababu clips za Garrincha (mchawi wa chenga) ni Black and White ngoja nikupe Clip ya Okocha ambayo Garrincha alikuwa anafanya yaani anapinga chenga mpaka kipa alafu anarudi kuwapiga tena chenga mara ya pili...
Ilikuwa inashirikisha timu ngapi maana naona za Ulaya mbili na moja ya America kusini.Huu utakuwa uongo bila shakaAisee..., Yaani hii ligi mbovu iliweza kutoa timu ya kushinda Kombe la Bara la Ulaya na South America mara mbili.., na baadae kuchukua kombe la timu zote zilizoshawahi kushinda hilo kombe....
Hii ligi ambayo kwa kipindi hicho walishinda kombe la dunia 1958, 1962, (1966 wakafanyiwa figisu) na 1970 kipindi hicho wachezaji wote vinara wanacheza kwao (huko so called mchangani) kama hivi vipimo vyote havifai lete vya kwako....
mara moja ni bahati mara kadhaa kuna kitu zaidi ya bahati
Hivi hata unafuatilia mtiririko wa kinachoongeleawa ?
Kipindi hicho kulikuwa na Kombe la Bara la Ulaya na South America Santos ilishinda mara mbili na Pele akiwemo..., Likaanzishwa Kombe la Timu zote ambazo zilishawahi kushinda hili Kombe tena sio mitoano ni nyumbani na ugenini..., Real akakata Kona Inter akafungwa kwao mechi ya marudiano ambayo ingebidi ifanyike Brazil akakata tena Kona.....
Bora kaka komeo useme wewe maana enzi zile hawakuepo hawa vijana ila wabishi kweli.Watoto wa miaka ya 90 na 2000 mnaukosea heshima mpira. MESSI HUWEZI MLINGANISHA NA PELE WALA MARADONA. ACHENI KUUKOSEA MPIRA. ACHENI KABISA. PELE ANGECHEZA MPIRA MIAKA HII SIJUI INGEKUAJE. PELE KACHEZA MPIRA WAKATI MPIRA ULIKUWA MPIRA KWELI... UNA RAFU MBAYA SANA ZA KIBABE. NYIE ACHENI KABISA. MTUOMBE RADHI SISI WAKUBWA ZENU.
Kwani umesahau kwamba kuna timu Messi mwenzako alikuja na mjadala wa Mbappe na Messi humu?Ukiona mjadala wanauhamishia kwa pele kutoka kwa ronaldo ujue wamekwishwa[emoji16]
Tutajie timu alizochezea pele
kwanza ligi ya USA na brazil km messi angecheza akiwa kijana angefunga goli alfu tatu na kuendelea
Namkubali pele km mfungaji mzuri ila hajamfkia messi