Messi Vs Pele

Hata hicho kizazi kilichopita, pia sikukiona. Nitakua mnafki kusema Pele ni mchezaji bora wa kizazi kilichopita!
 
Una habari Messi naye ni mvutaji?
 
Yani huu uzi tunazunguka mara shape ya mpira, mara ile fainali sheria zilikuwaje, Mara walicheza rafu na blah blah kibao.

Tutupe ndizi twende kwenye nyama, Pele amemzidi nini Messi?
 
Tuachane na Messi, Pele hamfikii Cristiano Ronaldo kwa uwezo aliouonyesha mpaka sasa. Leta rekodi za Pele, nikuletee za Cristiano Ronaldo!
 
Ndo nini sasa, Kuweka karatasi mdomoni ndiyo kuvuta?
Oya em tuache utoto...wewe unajua sheria za club huruhusiwi saivi kuvuta hata iwe simba na yanga tu hapo.

Twende kwenye hoja ya msingi, Pele anamzidi nini Messi?
 
Wewe ni shabiki wa ronaldo acha ubishi...mtu akisoma between the lines hata hufichi huo ushabiki wako.
Tatizo watu mnadhani kabla ya Ronaldo na Messi kulikuwa hakuna mpira.., mimi sio shabiki wa mtu ni shabiki wa mpira ndio maana inaetegema na formation ningekuwa kocha huenda mtu kama Makalele angekuwa ndio wa kwanza kumuweka kwenye timu
Ronaldo anamzidi messi magoli ya vichwa lakini pace
Okay pace !!!! Ngoja nikupe list ya the most fastest Players... ingawa watu wanabadilisha badilisha kutokana na umri na wakati ila lini Messi kamzidi Ronaldo kwa Pace ?

Hata tukija hapa Quatar Fastest Player alikuwa wa Ghana alafu Ronaldo kamzidi Messi ingawa Mbappe overall huwa ana-clock sekunde chache zaidi; kwahio pacewise Ronaldo is faster (ingawa huenda hata Theo Walcott alikuwa anamzidi Ronaldo) anyway statement yako is false


na ufungaji hamfikii messi maana messi ana pace kubwa na ana ratio kubwa ya magoli kwa mechi alizocheza.
Tuangalie kwenye game za Spain ratio ya magoli kati ya Ronaldo na Messi

Kama hujui hicho kitu kinachoitwa ratio ni magoli dhidi ya mechi mtu alizocheza huwezi ukalinganisha mtu mwenye mechi kumi na bao nne ukasema anazidiwa na mtu mwenye mechi mia moja na bao tano....kwahio kwa ratio Messi sio wa kwanza wala wa pili

RankPlayerGoalsAppsRatioFirstLastClub(s) (goals/apps)Notes
1 Lionel Messi4745200.9120042021Barcelona
2 Cristiano Ronaldo3112921.0720092018Real Madrid
3 Telmo Zarra2512770.9119401955Athletic Bilbao
4 Hugo Sánchez2343470.6719811994Atlético Madrid (54/111), Real Madrid (164/207), Rayo Vallecano (16/29)
Mwakani tu hapa Messi anamzidi Ronaldo idadi ya magoli.

Em wewe tuambie sasa...Huyo Pele anamzidi nini Messi???
Naona najirudia rudia tu please soma post zangu za nyuma kila ukija na swali sababu yote yamejibiwa
 
Tuachane na Messi, Pele hamfikii Cristiano Ronaldo kwa uwezo aliouonyesha mpaka sasa. Leta rekodi za Pele, nikuletee za Cristiano Ronaldo!
Pele ana bahati tu alikuwa wa kwanza kupendwa, na wanaompambania hapa ni wazee 60+
Au mashabiki wa ronaldo
 
Yani ushabiki ni kama pembe hata uongee maneno buku kuukana huwa haujifichi.

Wewe ni Ronaldo fan..
Unataja mpaka sifa ambazo hazina maana yoyote ili umtetee ronaldo..
Haya Umesema walcott kamzidi ronaldo Pace, kwahyo Walcott ni better player kuliko Ronaldo??Tisila kisinda ni Bora kuliko Mayele?
Haya swala La pace tuweke pembeni maana lingekuwa na maana yoyote Hussein Bolt angekuwa kashasajiliwa Mancity.

Tuje kwenye Ratio..Kwanini umeamua kuangalia game za spain tu?? Hapa tunacompare career yao yote au tunachambua kasehemu ambako katakufavor??
Ukiangalia Career yao yote, nani ana ratio kubwa??
Hiyo sasa unayofanya wewe ndo definition ya ubishi.

Btw, mkuu mi sipo hpa kubishana...

Kwanza em tumuweke huyo mchezaji mdogo pembeni,
Pele amemzidi nini Messi???
 
Ndo nini sasa, Kuweka karatasi mdomoni ndiyo kuvuta?
Oya em tuache utoto...wewe unajua sheria za club huruhusiwi saivi kuvuta hata iwe simba na yanga tu hapo.

Twende kwenye hoja ya msingi, Pele anamzidi nini Messi?
Karatasi?

We utakuwa unautani kama ndio hivo hata enzi za kina Pele yalikuwa makaratasi tu

Sheria zinakataza haimanishi watu hawavuti

Sheria zinakataza watu kucheza rafu na bado watu wanacheza

Mkude nani asiyejua kuwa ni smoker mzuri wa ganja?

Wakina Neymar, Zidane, Rooney wote hao waliwahi kuwa spotted wakivuta pamoja na Messi
 
Oya basi poa.
 
Maelezo meengi halafu dah!!
Sidhani kama hata wewe unaamini unayoandika ila unaandika ili kubishana tu.
Aisee nina mashaka na uelewa wako rudia kusoma niliyoandika hapo juu majibu yote yapo hapo
Kwahyo kuvuta sigara utakuwa na pumzi kama asiyevuta??
Kwahio pumzi umeambiwa hio ni riadha kwanza kabisa cheki hapa

Ni kwamba hao ni wachezaji recently ambao walikuwa wanavuta pia fegi; Jambo jingine ambalo huenda hujui kizazi hizi kuna doping (yaani hata kutumia substances za kuongeza nguvu au kuhakikisha mwili una-recover mapema) hence ukiona sasa hivi watu wanacheza mechi nyingi injuries ndogo kuna more behind the scenes tofauti na kwamba mpira umekuwa non contact...

Pili ndio maana nikasema sijui logic yako ipo wapi defenders wa zamani hawapandi kama wa leo kwahio mtu anaweza asiwe na stamina ila sababu haitaji kupanda utamkuta hapo amekaa kwahio pumzi huenda isiwe ya maana kama sasa kwa defender au kipa ingawa mshambuliaji ni vinginevyo...

Pili hivi unajua Messi anatumia muda wake mwingi uwanjani anatembea ? (not jogging bali anatembea) huku akisubiri aletewe pasi...
Yani points zako ni weak mpaka naona uvivu hata kuzijibu.

Anyways, Pele amemzidi nini Messi?
Naona hata kusoma hujui au unadhani watu tuna muda wa kurudia tulichoandika post za nyuma... Kwahio wewe kwa akili yako kabisa Kombe ambalo wote wamecheza World Cup - Messi anamzidi Pele ?!!!!
 
Hivi aliyesema Messi anamzidi ronaldo Pace ni nani sio wewe hapo juu au hata hujui unachoongea yaani ukiweka full stop unasahau ulichosema mwanzo
Haya swala La pace tuweke pembeni maana lingekuwa na maana yoyote Hussein Bolt angekuwa kashasajiliwa Mancity.
Narudia nani alisema Messi anamshinda Ronaldo Pace sio wewe ? Au ulimaanisha Ronaldo yupi
Aisee kumbe kweli Common Sense sio Common....

Huoni kwanini nimechagua Spain ? Hio ndio ligi wote wamecheza kwa wakati mmoja kwahio ni kupima like for like sababu tukianza kuleta za Premier league unaweza ukasema ni kazi kufunga Premier League kuliko Spain (more physical) (sio kwamba nasema / unaweza kusema) kwahio tukija kwenye ligi moja / watu wanaocheza ligi hiyo hiyo defender wale wale Messi ratio yake Haiingozi Spain kuna wanaotupia / waliotupia kumzidi....

Au sio nyie mliosema Pele goli zake 1000 hatuwezi kuzihesabu sababu kuna mechi zilikuwa na exhibition ? au unadhani hizo 700 na ushee officially ndio alifunga pekee....


Nadhani kabla haujaendelea ku-comment tumia muda kusoma / kusikiliza zaidi itaepusha repetition...
 
Huu ni uwongo sasa
Alafu jambo ambalo watu wanashindwa kufahamu advantage hio ingepatikana sasa ambapo mabeki wanapanda kipindi kile hata mtu ambae hata mbio hana kama ni beki ni kwamba anakusubiri umfuate..., pia watu wanashindwa kuelewa mtu unaweza usiwe unakimbia ila pasi zako ndio zinafanya kazi....

Yaani jamaa point zao zimetoka kwenye kulikuwa hakuna offside mpaka kwamba watu walikuwa wavuta sigara (wanasahau kipindi kile hata kama beki angekuwa yupo slow angeweza kukipiga kiatu) tofauti na sasa hata kama ana kasi kiasi gani akikugusa tu mtu anakwenda chini na Penalty inapatikana na huyu defender huenda aka-miss game zijazo.... Kuna watu walikuwa wanaambiwa wewe mgande fulani hakikisha anatoka hata kama ukipewa kadi (baadae baada ya kadi kuwa introduced) hakuna neno ila hakikisha yeye anatoka na wewe unatoka (Na kipindi kile nguvu kiatu ilikuwa ni sifa ukiwa unaanguka anguka unaambiwa wewe mtoto wa mama huwezi mchezo wa wanaume...

Kwahio conclusion ni kwamba ilikuwa shida kwa Striker wa kipindi kile kucheza kuliko leo...
 
Una habari Messi naye ni mvutaji?
Hawa watu hawajui kwamba hawa ma-star wengi na pesa zao lukuki na kukosa kazi za kufanya wengi ku-abuse substances sio jambo la ajabu...

Ila tukija uwanjani hata hivyo Messi anatumia muda wake mwingi akiwa uwanjani huku anatembea tembea tofauti na watu ambao ni ma-grafter yaani wana-put a shift mbele wapo nyuma wapo wanapiga tackles za kufa mtu.., ndio maana kama haujengi Timu kuwazunguka hawa Ma-Star (especially wa sasa) Kin Ronaldo na Messi wanakuwa mzigo ambao wanahitaji kubebwa
 
Yani hata article uliyoweka inakuumbua, inasema having a cheeky puff...yani mchezaji kupiga pafu moja tena wakionekana ni msala kwa manager article imesema hivyo.
Sasa kuonja tu, Bekham unakuta alishapiga pafu 3 maisha yake yote.

Kipindi kile watu walikuwa wanamaliza pakti nzima kabla na baada ya mechi.

Unaongelea Doping, Haujui huwa wanapimwa na anaweza kufungiwa akigundulika?? Mbona unakuwa ka ma litoto sasa na hoja za kitoto?

Pele alicheza mwenyewe uwanjani kipindi wanachukua Kombe? Kina Garrincha wanaibeba timu Pele yuko injured huko leo ndo sifa zote kwa pele?

Tuongelee individual analysis ya mchezaji, Pele anamzidi nini Messi??
 
Wewe ndo uliyeanzisha mambo ya pace apa ukaanza kumsifia ronaldo wako ana pace kubwa kama kisinda.

Dah ila mahaba ni kitu cha kijinga sana...
Sawa umeamua kukomaa na spain ili Ronaldo wako ashinde, Sasa twende ndani zaidi Tusiangalie UEFA tuangalie Laliga na makombe mengine ya spain kwa kipindi Ronaldo yupo spain

Utaona hapo kwa spain Messi alimzidi kila kitu Ronaldo, Magoli na Assist.
Ronaldo alimzidi kwenye UEFA ndio maana overral ikaonekana kipindi hiko Ronaldo alimzidi messi goals ratio


Sasa kama tukiamua kuzihesabu na za UEFA Ambazo walikutana na timu za England, Germany, Italy nk. basi tuhesabu overall ya career zao zote. Bila kujali walikuwa timu gani.
Tutafikia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…