Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Ni kweliHuu ni uwongo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliHuu ni uwongo sasa
Hata hicho kizazi kilichopita, pia sikukiona. Nitakua mnafki kusema Pele ni mchezaji bora wa kizazi kilichopita!Kwa Mantiki hii tunasema mchezaji bora ni yule tuliemshuhudia live baada ya teknolojia ya tv kusambaa duniani.
Au kwanini tusikeep it simple tukasema Messi ni mchezaji bora wa kizazi hiki na Pele ni mchezaji bora wa kizazi kilichopita. Hoja kuu si kumuona au sio?
Una habari Messi naye ni mvutaji?Maelezo meengi halafu dah!!
Sidhani kama hata wewe unaamini unayoandika ila unaandika ili kubishana tu.
Kwahyo kuvuta sigara utakuwa na pumzi kama asiyevuta??
Yani points zako ni weak mpaka naona uvivu hata kuzijibu.
Anyways, Pele amemzidi nini Messi?
NipasheUna habari Messi naye ni mvutaji?
Gazeti hiloNipashe
Yani huu uzi tunazunguka mara shape ya mpira, mara ile fainali sheria zilikuwaje, Mara walicheza rafu na blah blah kibao.Gazeti hilo
Yani huu uzi tunazunguka mara shape ya mpira, mara ile fainali sheria zilikuwaje, Mara walicheza rafu na blah blah kibao.
Tutupe ndizi twende kwenye nyama, Pele amemzidi nini Messi?
Ndo nini sasa, Kuweka karatasi mdomoni ndiyo kuvuta?
Tatizo watu mnadhani kabla ya Ronaldo na Messi kulikuwa hakuna mpira.., mimi sio shabiki wa mtu ni shabiki wa mpira ndio maana inaetegema na formation ningekuwa kocha huenda mtu kama Makalele angekuwa ndio wa kwanza kumuweka kwenye timuWewe ni shabiki wa ronaldo acha ubishi...mtu akisoma between the lines hata hufichi huo ushabiki wako.
Okay pace !!!! Ngoja nikupe list ya the most fastest Players... ingawa watu wanabadilisha badilisha kutokana na umri na wakati ila lini Messi kamzidi Ronaldo kwa Pace ?Ronaldo anamzidi messi magoli ya vichwa lakini pace
Tuangalie kwenye game za Spain ratio ya magoli kati ya Ronaldo na Messina ufungaji hamfikii messi maana messi ana pace kubwa na ana ratio kubwa ya magoli kwa mechi alizocheza.
| Rank | Player | Goals | Apps | Ratio | First | Last | Club(s) (goals/apps) | Notes |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 474 | 520 | 0.91 | 2004 | 2021 | Barcelona | ||
| 2 | 311 | 292 | 1.07 | 2009 | 2018 | Real Madrid | ||
| 3 | 251 | 277 | 0.91 | 1940 | 1955 | Athletic Bilbao | ||
| 4 | 234 | 347 | 0.67 | 1981 | 1994 | Atlético Madrid (54/111), Real Madrid (164/207), Rayo Vallecano (16/29) |
Naona najirudia rudia tu please soma post zangu za nyuma kila ukija na swali sababu yote yamejibiwaMwakani tu hapa Messi anamzidi Ronaldo idadi ya magoli.
Em wewe tuambie sasa...Huyo Pele anamzidi nini Messi???
Pele ana bahati tu alikuwa wa kwanza kupendwa, na wanaompambania hapa ni wazee 60+Tuachane na Messi, Pele hamfikii Cristiano Ronaldo kwa uwezo aliouonyesha mpaka sasa. Leta rekodi za Pele, nikuletee za Cristiano Ronaldo!
Yani ushabiki ni kama pembe hata uongee maneno buku kuukana huwa haujifichi.Tatizo watu mnadhani kabla ya Ronaldo na Messi kulikuwa hakuna mpira.., mimi sio shabiki wa mtu ni shabiki wa mpira ndio maana inaetegema na formation ningekuwa kocha huenda mtu kama Makalele angekuwa ndio wa kwanza kumuweka kwenye timu
Okay pace !!!! Ngoja nikupe list ya the most fastest Players... ingawa watu wanabadilisha badilisha kutokana na umri na wakati ila lini Messi kamzidi Ronaldo kwa Pace ?
Hata tukija hapa Quatar Fastest Player alikuwa wa Ghana alafu Ronaldo kamzidi Messi ingawa Mbappe overall huwa ana-clock sekunde chache zaidi; kwahio pacewise Ronaldo is faster (ingawa huenda hata Theo Walcott alikuwa anamzidi Ronaldo) anyway statement yako is false
Tuangalie kwenye game za Spain ratio ya magoli kati ya Ronaldo na Messi
Kama hujui hicho kitu kinachoitwa ratio ni magoli dhidi ya mechi mtu alizocheza huwezi ukalinganisha mtu mwenye mechi kumi na bao nne ukasema anazidiwa na mtu mwenye mechi mia moja na bao tano....kwahio kwa ratio Messi sio wa kwanza wala wa pili
Rank Player Goals Apps Ratio First Last Club(s) (goals/apps) Notes 1 Lionel Messi
474 520 0.91 2004 2021 Barcelona 2 Cristiano Ronaldo
311 292 1.07 2009 2018 Real Madrid 3 Telmo Zarra
251 277 0.91 1940 1955 Athletic Bilbao 4 Hugo Sánchez
234 347 0.67 1981 1994 Atlético Madrid (54/111), Real Madrid (164/207), Rayo Vallecano (16/29)
Naona najirudia rudia tu please soma post zangu za nyuma kila ukija na swali sababu yote yamejibiwa
Karatasi?Ndo nini sasa, Kuweka karatasi mdomoni ndiyo kuvuta?
Oya em tuache utoto...wewe unajua sheria za club huruhusiwi saivi kuvuta hata iwe simba na yanga tu hapo.
Twende kwenye hoja ya msingi, Pele anamzidi nini Messi?
Oya basi poa.Karatasi?
We utakuwa unautani kama ndio hivo hata enzi za kina Pele yalikuwa makaratasi tu
Sheria zinakataza haimanishi watu hawavuti
Sheria zinakataza watu kucheza rafu na bado watu wanacheza
Mkude nani asiyejua kuwa ni smoker mzuri wa ganja?
Wakina Neymar, Zidane, Rooney wote hao waliwahi kuwa spotted wakivuta pamoja na Messi
Aisee nina mashaka na uelewa wako rudia kusoma niliyoandika hapo juu majibu yote yapo hapoMaelezo meengi halafu dah!!
Sidhani kama hata wewe unaamini unayoandika ila unaandika ili kubishana tu.
Kwahio pumzi umeambiwa hio ni riadha kwanza kabisa cheki hapaKwahyo kuvuta sigara utakuwa na pumzi kama asiyevuta??
Naona hata kusoma hujui au unadhani watu tuna muda wa kurudia tulichoandika post za nyuma... Kwahio wewe kwa akili yako kabisa Kombe ambalo wote wamecheza World Cup - Messi anamzidi Pele ?!!!!Yani points zako ni weak mpaka naona uvivu hata kuzijibu.
Anyways, Pele amemzidi nini Messi?
Hivi aliyesema Messi anamzidi ronaldo Pace ni nani sio wewe hapo juu au hata hujui unachoongea yaani ukiweka full stop unasahau ulichosema mwanzoYani ushabiki ni kama pembe hata uongee maneno buku kuukana huwa haujifichi.
Wewe ni Ronaldo fan..
Unataja mpaka sifa ambazo hazina maana yoyote ili umtetee ronaldo..
Haya Umesema walcott kamzidi ronaldo Pace, kwahyo Walcott ni better player kuliko Ronaldo??Tisila kisinda ni Bora kuliko Mayele?
Narudia nani alisema Messi anamshinda Ronaldo Pace sio wewe ? Au ulimaanisha Ronaldo yupiHaya swala La pace tuweke pembeni maana lingekuwa na maana yoyote Hussein Bolt angekuwa kashasajiliwa Mancity.
Aisee kumbe kweli Common Sense sio Common....Tuje kwenye Ratio..Kwanini umeamua kuangalia game za spain tu?? Hapa tunacompare career yao yote au tunachambua kasehemu ambako katakufavor??
Ukiangalia Career yao yote, nani ana ratio kubwa??
Hiyo sasa unayofanya wewe ndo definition ya ubishi.
Btw, mkuu mi sipo hpa kubishana...
Kwanza em tumuweke huyo mchezaji mdogo pembeni,
Pele amemzidi nini Messi???
Alafu jambo ambalo watu wanashindwa kufahamu advantage hio ingepatikana sasa ambapo mabeki wanapanda kipindi kile hata mtu ambae hata mbio hana kama ni beki ni kwamba anakusubiri umfuate..., pia watu wanashindwa kuelewa mtu unaweza usiwe unakimbia ila pasi zako ndio zinafanya kazi....Huu ni uwongo sasa
Hawa watu hawajui kwamba hawa ma-star wengi na pesa zao lukuki na kukosa kazi za kufanya wengi ku-abuse substances sio jambo la ajabu...Una habari Messi naye ni mvutaji?
Yani hata article uliyoweka inakuumbua, inasema having a cheeky puff...yani mchezaji kupiga pafu moja tena wakionekana ni msala kwa manager article imesema hivyo.Aisee nina mashaka na uelewa wako rudia kusoma niliyoandika hapo juu majibu yote yapo hapo
Kwahio pumzi umeambiwa hio ni riadha kwanza kabisa cheki hapa
![]()
18 top footballers who smoke - players you might not know who enjoy a sneaky cig
From Wayne Rooney to Jack Wilshere, with a few other surprise names in between, here are 18 footballers, some current and some retired, who risked the wrath of their manager by having a cheeky puffwww.dailystar.co.uk
Ni kwamba hao ni wachezaji recently ambao walikuwa wanavuta pia fegi; Jambo jingine ambalo huenda hujui kizazi hizi kuna doping (yaani hata kutumia substances za kuongeza nguvu au kuhakikisha mwili una-recover mapema) hence ukiona sasa hivi watu wanacheza mechi nyingi injuries ndogo kuna more behind the scenes tofauti na kwamba mpira umekuwa non contact...
Pili ndio maana nikasema sijui logic yako ipo wapi defenders wa zamani hawapandi kama wa leo kwahio mtu anaweza asiwe na stamina ila sababu haitaji kupanda utamkuta hapo amekaa kwahio pumzi huenda isiwe ya maana kama sasa kwa defender au kipa ingawa mshambuliaji ni vinginevyo...
Pili hivi unajua Messi anatumia muda wake mwingi uwanjani anatembea ? (not jogging bali anatembea) huku akisubiri aletewe pasi...
Naona hata kusoma hujui au unadhani watu tuna muda wa kurudia tulichoandika post za nyuma... Kwahio wewe kwa akili yako kabisa Kombe ambalo wote wamecheza World Cup - Messi anamzidi Pele ?!!!!
Wewe ndo uliyeanzisha mambo ya pace apa ukaanza kumsifia ronaldo wako ana pace kubwa kama kisinda.Hivi aliyesema Messi anamzidi ronaldo Pace ni nani sio wewe hapo juu au hata hujui unachoongea yaani ukiweka full stop unasahau ulichosema mwanzo
Narudia nani alisema Messi anamshinda Ronaldo Pace sio wewe ? Au ulimaanisha Ronaldo yupi
Aisee kumbe kweli Common Sense sio Common....
Huoni kwanini nimechagua Spain ? Hio ndio ligi wote wamecheza kwa wakati mmoja kwahio ni kupima like for like sababu tukianza kuleta za Premier league unaweza ukasema ni kazi kufunga Premier League kuliko Spain (more physical) (sio kwamba nasema / unaweza kusema) kwahio tukija kwenye ligi moja / watu wanaocheza ligi hiyo hiyo defender wale wale Messi ratio yake Haiingozi Spain kuna wanaotupia / waliotupia kumzidi....
Au sio nyie mliosema Pele goli zake 1000 hatuwezi kuzihesabu sababu kuna mechi zilikuwa na exhibition ? au unadhani hizo 700 na ushee officially ndio alifunga pekee....
Nadhani kabla haujaendelea ku-comment tumia muda kusoma / kusikiliza zaidi itaepusha repetition...