Messi Vs Pele

Kwenye Goli ambazo FIFA wameverify ana goli ngapi ?; Angalia Post yangu ya Mwanzo na anamuacha Messi kiasi gani ?

Left Foot / Right Foot and Headers...., Na hata hilo Kombe la America ambalo siku hizi linachezwa karibia kila leo Pele alicheza mara moja (halikuwa kila mwaka na lilisimamishwa mpaka 1975) na hapo aliibuka kinara wa kufunga magoli (Top Scorer) ingawa walifungwa na Argentina wakiwa Argentina...

Hio 1,279 ni Guinness sio FIFA Officially World record;

Na kwenye world cup ni
12 goals kwenye mechi 14 za FIFA World Cup appearances
 
With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!
 
With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!
Ni nani aliyekuita in the first place ?

Second Ubora ni nini ? au hata haujui maana ya Ubora ?

Ndio nikakwambia inategemea na formation ninayocheza kuna nyanja ambazo Giroud ni bora kuliko Messi (Target man na Grafter) au unadhani kwenye timu unaweza ukawaweka Messi 11..., Au unadhani kwenye ile Galacticos ya kina Zidanne mtu wa kwanza kuwekwa kwenye team sheet alikuwa nani kama sio Makalele....

Either you build a Team around Messi au Messi anakuwa mzigo Giroud is a Team Player unaweza ukamuweka pale na akafanya unachomwambia to the T (Giroud is Great at what he does, can Messi do what Giroud Does) au unadhani fancy stuff alone win you games ?!!!
 
1. This is a public forum. Naingia na kuchangia kwa kadri ninavyotaka, na pia ninaacha kuchangia kwa kadri nitakavyoona inafaa. I don't need your invitation sir/madame!

2. Amini unavyoamini, sifaidiki chochote kukuelewesha!
 
1. This is a public forum. Naingia na kuchangia kwa kadri ninavyotaka, na pia ninaacha kuchangia kwa kadri nitakavyoona inafaa. I don't need your invitation sir/madame!
Sawa kwanini uliaga hapo chini ? Au hizo points zinaongezea nini kwenye uzi

With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!
And yet you came back ?!!!!!
2. Amini unavyoamini, sifaidiki chochote kukuelewesha!
Unamuelewesha nani na kwenye nini ? Au unadhani you are entitled to your own facts ? Opinion Sawa lakini huwezi kupindisha facts...., especially if your logics are being found wanting....
 
Na mimi nilikuuliza je, filimbi ilipigwa kuanzisha mpira,mpira ukitoka nje na muda wa kumaliza mechi tu?

Hujajibu jibu hapo , maana unataka kutuaminisha eti zamani hapakuwa na zuio la kumwumiza mwenzako which is not true
 
Na mimi nilikuuliza je, filimbi ilipigwa kuanzisha mpira,mpira ukitoka nje na muda wa kumaliza mechi tu?

Hujajibu jibu hapo , maana unataka kutuaminisha eti zamani hapakuwa na zuio la kumwumiza mwenzako which is not true
Zamani marefa walipeta sana; zamani kupigwa rafu usianguke ndio ilikuwa sifa (kwamba wewe ni mbabe) kwahio watu walivumilia zaidi sio sasa watu wanataka kuwin free kicks na wana-dive.. kwahio kipindi cha Pele hata hizo fouls hazikuwa recorded..., Pele na wenzake wa kipindi hicho sio tu walikuwa fouled bali walikuwa hacked; nimekuonyesha qoutes za kocha akijisifia 1962... Kusimamisha mpira na kuendelea bila kumpa kadi mtu ya kukosa mechi zijazo haifanyi mtu aogope kufanya fouls (jambo ambalo mechi za mwanzo za kina Pele kulikuwa hakuna kadi)....

Mkuu naomba angalia tu hii clip kwanza alafu urudi tuendelee na mjadala wa jinsi Pele alivyopata Mtelemko (hii ni nyingine ya FIFA sio ile niliyoiweka hapo juu

 
Mpeni heshima yake La Pulga jamani,hii ni dhahabu inayotembea,sio kila jambo ni la kubisha,
Messi amefunga goals nyingi ngumu kuliko Pele
Ukisema Pirlo sijui playmaker mkali zaidi,tuletee takwimu kumzidi messi kwenye kuchezesha timu,through pass,chance creation,Pre assist na assist kwa ujumla n.k

Kuhusu Pele kufunga magoli mengi,hayo magoli walikadilia au wana takwimu? Kama zipo tupe idadi ya kila timu na magoli aliyofunga tu count

Shotly,kama ni skills za youtube Kuondoka na vijiji,kuuficha mpira at his feet,Messi ni habari nyingine jaman

 
Hivi hata kwenye picha tu hapo unaona refa alikuwa kapeta kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu ya kupeta hata siku hizi ipo ila usituaminishe eti alikuwa anachezewa rafu marefa wanapeta tu ,huu ni uongo wa wazi kabisa.
 
Eti kwenye uplaymaker umweke Pirlo mbele ya Messi utakuwa sio kocha timamu hahaha

Messi ni genious
Alianza kama winga kiasi akaperform , akaja kama false 9 akaperform akaja 10 ndo kabisaa leo hii anachezatu kama midfielder ndo kawa dhahabu kamili kabisa.

Wanaombeza waweke rekodi hapa za nani top assister in football till now ndo watajua Messi ni GOAT
 
Hivi hata kwenye picha tu hapo unaona refa alikuwa kapeta kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu ya kupeta hata siku hizi ipo ila usituaminishe eti alikuwa anachezewa rafu marefa wanapeta tu ,huu ni uongo wa wazi kabisa.
sasa mkuu yaani mtu anagalala refa anapeta ?

Jambo ambalo haujaelewa zamani nguvu ilikuwa ni sifa wewe kama striker beki akikuweka mfukoni hata kwa buti ni aibu kwako na hata mashabiki wanakuona hufai (fulani alikuweka mfukoni) sasa kama unaweza ukapigwa kiatu na ukasimama refa anapeta au hata ukianguka anaweza akapeta pia (ni kipindi cha mpira kipindi cha kina Pele mpira ulikuwa physical kuliko kipindi cha kina Maradona ambacho ulikuwa physical kuliko sasa (hio ni fact)

Siku hizi ku-dive sio aibu mtu anajipeleka kwenye mguu ili apate faulo tackle za nyuma haziruhusiwi ukimshika mtu tu kwenye box unaweza ukawa penalized (hali imekuwa rahisi sana kwa washambuliaji na ngumu sana kwa walinzi)

Huenda ni kweli walinzi wa zamani wasingecheza leo na wa leo wangeweza kucheza zamani kwa urahisi zaidi ila sio washambuliaji
 
Hata sasa mpira bila nguvu upo uswahilini tu kaka
 
Kulinganisha upupu Messi na Pele ni kuivunjia heshima tsnia ya mpira wa miguu!

Pele alituletea ile kick ya tik-tak (bicyce chain). Hakuna mchezji mwingine duniani aliyewahi kuleta kick ya aina yake kiasi cha kukumbukwa ukiachilia mbali kuchukua makombe matatu ya dunia. Mchezaji pekee anayeweza kuwekwa kundi moja na Pele ni golikipa Rene Higuita wa Colombia aliyeleta scorpion Kick na kusababisha FIFA kubadili sheria za mpira ingawa Scorpion Kick siyo maarufu leo kama tik-tak. Kwa wale wasiomfahama Rene Higuita, mwangalieni hapo akiwa kazini; alikuwa anaweza kuondoka namoira kutoka golini kwake hadi kwenda kufuga goli upande wa pili bila kuuopoteza

 

Pele<Messi
 
With this comment, you have exposed your football ignorance. Kwaheri mkuu, siwezi kujadili na mtu anaeona Giroud ni bora kuliko Messi. Tutajadili nini sasa?

Peace be upon you!

Ndugu yao kaamua kwenda uarabuni wanazidi kuchanganyikiwa
 
Messi amefika fainali nyingi za kila mashindano aliyocheza kuliko mchezaji yeyote aliyewahi kucheza soka.

Amecheza fainali mbili za kombe la dunia na fainali Nne za Copa America, fainali ya olympic na Worldcup under 20, na Fainali ya Finelissima. Achilia mbali fainali za vilabu.

Na si kufika fainali tu bali amekuwa mchezaji bora wa mashindano aliyoshiriki kuliko mchezaji yeyote katika historia ya soka.

Pele amekuwa mchezaji bora wa michuano ya WC mara moja tu, mwaka 1970. Wakati Messi amekuwa mchezaji bora wa WC mbili, ile ya 2014 na 2022.

Ktk michuano ya World cup U 20, Messi alikuwa mchezaji bora
Ktk Copa America amekuwa mchezaji bora mara kibao
Ile michuano ya Finelissima amekuwa mchezaji bora!

Kiufupi Messi kamzidi Pele, ila watu bado wako ktk hangover ya historia tu.
 
Una matatizo ya Akili.
 
Pele is the King mtu anayemfananisha Pele na mtu mwingine nadhani anahitaji refresher course kwenye Soccer..., Pele was a Pioneer Pele ndio aliyefanya Soccer iwe kama ilivyo Pele was a Global Icon (na kwa kufanya hayo ukiwa race ambayo inabaguliwa na kipindi ambacho mpira ulikuwa physical is astronomical)

Huyu Higuita na Utani wake alifanya Cameroon na Roger Milla Tuingie 16 Bora..., but the guy was an entertainer...
 
Messi amefika fainali nyingi za kila mashindano aliyocheza kuliko mchezaji yeyote aliyewahi kucheza soka.
Naam is this an advantage au disadvantage kwamba kacheza nyingi lakini kashindwa kuchukua makombe sawa na alizocheza (return on investment) ni ndogo when push comes to shove nahodha kashindwa kuwavusha
Amecheza fainali mbili za kombe la dunia na fainali Nne za Copa America, fainali ya olympic na Worldcup under 20, na Fainali ya Finelissima. Achilia mbali fainali za vilabu.
Kacheza fainaili mbili moja kashindwa na katika hio moja ka-miss a golden chance Pele kacheza Fainali Mbili ambazo zote amechukua kombe; mbili zilizobaki moja alichukua kombe baada ya kufunga game ya kwanza ya pili akapigwa kiatu akaumia nyingine kapigwa kiatu Brazil ikatolewa hatua ya makundi.....

Kacheza Copa America Moja tu ambayo kafika mpaka fainali na kuwa mfungaji bora kumbuka kipindi kile ilikuwa stopped na kurudi tena 1970.., sasa kuhusu vilabu kaangalie alifanya nini na Santos (Kashinda kombe la ulaya na america mara tatu)
Hivi unajua the youngest player award ya 1958 alikuwa nani ? , pili unajua kwa miaka mingi mchezaji bora alikuwa ni Golden Ball yaani mfungaji bora ? na kwa kusema Messi mchezaji bora 2014 wakati hawakuchukua Kombe kwanini mwaka huu tuseme asingepewa Mbappe utaona hapo huwa na mfungaji bora separate na mchezaji bora kumeongeza nafasi za awards
Ktk michuano ya World cup U 20, Messi alikuwa mchezaji bora
Ktk Copa America amekuwa mchezaji bora mara kibao
Ile michuano ya Finelissima amekuwa mchezaji bora!

Kiufupi Messi kamzidi Pele, ila watu bado wako ktk hangover ya historia tu.
Wakati Messi anahangaika na under 20 pele at 17 alishachukua Kombe la dunia..., Pele na Santos walikuwa wanazunguka dunia nzima na kucheza mechi na timu tofauti tofauti na zote jamaa anafanya yake (Messi kapata injuries mara ngapi na kipindi cha kina Pele walikuwa wanapata injuries mara ngapi unadhani Pele angeweza kucheza mechi nyingi alizocheza Messi na return yake ya peformance leo tungekuwa tunazungumza nini ?

Eti Pele alikuwa mchezaji bora 1970 tu..., kaangalie 1958 nani alifanya yake....., kwa kukumbushia tu.... Kwenye Fainali a 17 year Old anaweka mpira kwenye chest ana-dash defender wa kwanza wa pili anapigwa kanzu kipa anaangaliwa yupo wapi bao....; Pao la pili anapigwa kichwa matata sana kilichoanzishwa na one Two ya Pele kwa Pasi ya Kisigino....

Hadi mfalme wa SWEDEN anashuka ku-shake mkono wa Pele........; A KING WAS CROWNED
Maneno ya Jus Fontaine mfungaji Bora

Pele hit the last three goals as Brazil beat France 5-2 in the semi-finals, pouncing on two loose balls in the goalmouth for a pair of well-taken poacher’s goals and completing his hat-trick with a stinging volley.

Just Fontaine scored for the losers and went on to finish the tournament with 13 goals.

“When I saw Pele play, it made me feel I should hang up my boots,” Fontaine said later.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…