Messi Vs Pele

Pele Hana Balon d'Or hata Moja
Unajua Balon d'Or inavyopatikana ?

Unajua kwamba waanzilishi wa hii kitu walirudi retrospectically na kuangalia miaka ambayo watu wengine walishinda kutokana na ineligibility ya Pele na kumpa Pele hence anazo sawa na Messi...

Unajua kwamba hili kombe wanavote waandishi wa habari hivyo ukiwa na personality ya hovyo na kuwa-rub the wrong way unaweza kujikuta matatani, hivi unajua hata kina Frank Lampard walishakuwa runners up ?
 
Jamani tuache uvivu ili mjadala uende vema fanya hata research ya sekunde chache mbona information zipo tu, unaongelea ulaya ?!! Hivi unajua kipindi hicho ma-stars duniani walikuwa wanacheza kwao..., sasa kama Brazil ilikuwa ni kinara alafu wachezaji hao wanachezea Brazil alafu ligi ya Brazil iwe mchangani ?!!!!

Anyway tuseme upo sawa hivi unajua hii timu ya mchangaji kulikuwa na Kombe la bara la ulaya na America Intercontinental Cup ambaye huyu Pele na timu yake ya mchangani walishinda mara mbili kwa kufunga hizo timu za ulaya...
Hivi unajua kulikuwa na Kombe la Intercontinental Super Cup ambalo pia Pele alishinda...

1968 Intercontinental Supercup​

From Wikipedia, the free encyclopedia

First leg
Date24 June 1969
VenueSan Siro, Milan
RefereeJosé Ortiz de Mendibil (Spain)
Attendance44,774
Date(Not played)
The 1968 Intercontinental Supercup was the first edition of the Intercontinental Supercup, a matchup between the European and South American past winners of the Intercontinental Cup. The two-legged tie was contested between Italian club Internazionale and Brazilian club Santos. The first match-up between Internazionale and Santos ended with the Santásticos beating Inter 1-0 at Milan's San Siro.

Yaani hili kombe lilikuwa kama tuseme washindi wote wa champions league zilizopita wakutane ili kuona nani ni Baba la Mababa..., Real Madrid akakata Kona..., Inter Milan akapigwa kwao mechi ya Pili marudiano akakata Kona Santos akachukua Kombe kama kawaida figisu za Ulaya Kombe likafa kifo cha kawaida
 
We jamaa maradona alishinda Ballon d,Or mwaka Gani ivi unaijua kweli History ya Ballon d,Or ilivyo na unajua Sheria ambazo zilikua zinatumika kutoa hizo Tuzo miaka hiyo Futa madudu uliyoandika
 
We jamaa maradona alishinda Ballon d,Or mwaka Gani ivi unaijua kweli History ya Ballon d,Or ilivyo na unajua Sheria ambazo zilikua zinatumika kutoa hizo Tuzo miaka hiyo Futa madudu uliyoandika
Na according to hao waandishi na Kura zao wakali wa mwaka huu hata Qatar walikuwa hawapo (Utaona kabisa ukiwa kichwa ngumu na una-rub people the wrong way usishangae ukapata Kura moja ya mwandishi wa mtaani kwako...

Na Haaland anavyotupia na rekodi atakazovunja kama waandishi wataacha mapenzi binafsi huenda 2023 Messi akasubiri sana......, Sababu kule PSG Messi sio The Main Man.....


BALLON D'OR 2022 VOTING - TOP 10​

PlayerVotes
Karim Benzema549
Sadio Mane193
Kevin De Bruyne175
Robert Lewandowski170
Mohamed Salah116
Kylian Mbappe85
Thibaut Courtois82
Vinicius Junior61
Luka Modric20
Erling Haaland18
 
Messi hajashinda kombe hili tena kwa kupiga goli?
 
Messi hajashinda kombe hili tena kwa kupiga goli?
Kashinda Kombe ambalo halipo ? - Kweli Messi ni Mchawi....

Hayo majibu nimetoa kwa wale wanaosema Brazil ligi ilikuwa ya mchangani nikawajibu kwamba kulikuwa na Kombe la Ulaya na South America ambapo vilabu vinara vya ulaya vilikalishwa na so called Team ya Mchangani na Pele akiwepo..., Sasa Argument ya Ligi kubwa inakufa kifo cha kawaida...

Kipindi kile mastaa wote wanachezea kwao sio kipindi hiki watu kwenda kutafuta faranga na unakuta ligi timu moja ndio kali na nyingine ni vibonde kutokana na utofauti wa utajiri....
 
Mimi mwenyewe ni shabiki wa messi ila Pele ndo GOAT, Mtake Msitake ndo hivoo.
Na huo ndio upenzi wa kandanda ku-appreciate Skills za kila mmoja na ku-enjoy sio watu wanatunga issue na kutafuta stats za hapa na pale ili mradi kubisha (kwa kushusha umahili wa wengine)

Tena ninawaambia hawa jamaa unless sheria zibadilike na kuwa ngumu tena kuna freak of nature Halaand atatupia mpira nyavuni mpaka soka la sasa lionekane kama netball
 
Kabisa yaani Haalaand na Mbappe kwa umri wao tu tayari wanafanya mambo makubwa in terms of Starts Compared na Messi na Ronaldo ila haiwezi kujustify kuwa Haaland na Mbappe ni bora kuliko messi na ronaldo, Hivo hivo kwa messi na pele, We need to pay some respect to him just imagine kuna vizazi vingapi vya Dhahabu vimepita hapa kati (Akina Garrincha, Maradona, Alfredo di stefano, george best, Michelle platini,Eusebie, De lima, Zidane,Dinho) but wote hao wamepita na watu wamekubali kuwa pele ndio bora. Watu waache ubishi eti kisa wamemuona messi akicheza football basi ndio bora kuliko Pele ambaye hawakumuona.
 
Messi ukimtaka kama striker, forward, winger, playmaker anakupa vyote hivyo.

Anaweza kubadilisha mchezo, anafunga, anatoa pass zenye macho assist nyoofu.

Nimemuona Messi tangu akiwa kinda enzi za rijkaard hadi Leo akifikia ukingoni mwa career yake .

He is the best acha kizazi Cha Pele waamue wanavyoona wao.
 
Kwa hiyo Simba ikiifunga Al Ahly maana yake ligi ya Tanzania ni bora kuliko ya Misri?
Mbona TP MAZEMBE aliifunga Corinthians ya Brazil ,Je hii maana yake ni kwamba Ligi ya Kongo ilikuwa bora kuliko ya Brazil?

Ubora wa timu hauwezi kutegemea tu factor ya ligi bali kuna vingi vipo vinaweza kuifanya timu kutoka ligi dhaifu kuifunga iliyo kwenye ligi ngumu na hii ndiyo football.
Umesema walishinda 1-0 then mashindano yakaishia hapo sasa hii inathibitisha ubora wa America over Europe? Yaani Cameroon kumfunga Brazil ilimaanisha Cameroon wana ligi ngumu kuliko Brazil?
 
Kwahio unaweza kumchezesha Messi kama target man ?, Hivi wewe kama kocha na ukaambiwa uchague mchezaji mmoja kiraka utamchagua Messi au Zidanne (na kabla haujawaza sana kumbuka Zizzu ni Midfilder)

Unajua Pele alikuwa hadi anadaka ?!!!

“Although I’m not that tall,” Pele wrote in his 2006 autobiography, “I was always a good goalkeeper because of my leap. Both with Santos and the [Brazilian] national team, I was always the reserve goalkeeper. I played four times in goal for the club and just once, in a friendly, for Brazil.”
 
Kwa nini hawakusema Ronaldinho na Zidane ni bora kuliko Pele?

Jiulize ujijibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] alicheza namba zote sio? Sasa tupe statistics zake kwa kila idara aliyocheza.
Mfano akiwa striker no 9 alifunga goli kadhaa
Akiwa playmaker (kiungo) alitoa asist ngapi na kushinda duels on ball ngapi , akiwa Golikipa alipata cleansheat ngapi? Akiwa beki no 2 alipiga crosses ngapi na kumdhibiti vilivyo winga yupi?

Hivo no nyingine uzitaje pia
 
Messi ni mchezaji bora kuliko wote hata pele mwenyewe

Pele alikuwa bora kwenye ufungaji tu tena mpira wa zamani haukuwa na offside

Messi anavyo vyote
Eti mpira wa zamani haukuwa na kuotea, wewe kweli unajua unachoongea au unaleta tu hadithi za vijiweni, hata hujui sheria ya kuotea ilianza mwaka gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…