Enzi zenu za wapi wewe ? Kama tunaona matukio yaliyotokea kwenye ww2 , tushindwe kuona script za Pele , et Enzi zetu , yote aliyoyafanya Pele nasema yote clip zipo hakuna haja ya kudanganya watu...!!
Duh kwahio wewe una karai la bibi yako ambalo unaweza kuona hata mechi ambazo hazikuwa televised ?!!!!
Hivi unajua hata Game za mwanzo kuwa showed in Color ilikuwa 1966 England ambapo waingereza walihakikisha waandishi wa habari kutoka nchi nyingine ni wasizidi wawili na kila footage inachujwa na waandishi wao ?, Hivi unajua hata footage wakati timu za South America akiwemo na Pele wanafanyiwa Umafia nyingine zilikuwa hazionyeshwi....
Zote zipo hakuna iliyojificha , hata Messi tunamuona kwenye TV , wachache wanaomshuhudia uwanjani kila game, hata kama ulikuwepo kipind cha Pele ( possibly not ) waliokuwepo wengi wao walimuona kwenye TV kama Sisi tunavyomuona kwenye TV Messi Leo , Hakuna jipya Pele amefanya Messi hajafanya , makombe kazidiwa na Messi ,
Kwamba world Cup Messi kamzidi Pele ?, Kwamba Umri miaka chini ya 18 Messi alishachukua Kombe la Dunia ? Mtu anachukua kombe
1958; (akiwa kijana mdogo ever kwa kufunga bao) 1962 anacheza mechi ya kwanza anafunga bao ya pili anapigwa kiatu na kushindwa kuendelea na mechi nyingine lakini anachukua ndoo; 1966 anapigwa kiatu hadi kupelekea kujiuzulu (team zote za South America zinafanyiwa figisu na kutolewa ili Europe ichukue Kombe) anarudi tena
1970 anachukua ndoo tukija Messi kacheza Mechi za world cup nyingi kuliko wengi wengine kacheza Finals Mbili ila kachukua ndoo moja na hapo ni baada ya kukosa Penalty katika hayo mashindano na wakati mwingien akiwa captain kushuhudia team inapoteza a leading scoreline.....
magori kazidiwa , average stats za game ,
Unajua kitu kinaitwa ratio..., twende Spain anapojisifia kwa kufanya trade yake alafu niambia hata huko kama anaongoza kwa ratio ya magoli ?, Messi anafunga bali Messi is far from clinical....
goal and assist ndo mnajifichia hapo ,
Kwanza goal assists huenda Pele anazo nyingi kuliko hizo kipindi kile hazikuwa documented kwenye kila Mechi mpaka sasa labda ni kutafuta tafuta kwenye videos.... kwahio assists za Messi ni accurate za pele huenda nyingi zaidi
Kwa vile Messi anaendelea kucheza tutazifunika na hzo zotee....!!
Ngoja uone Messi kule PSG itakavyokuwa Messi inabidi utengeneze Timu kumzunguka unless otherwise anakuwa mzigo..., Messi sio Grafter.... Messi anatumia muda mwingi kwenye mpira anatembea tembea ukimba mpira ndio anafanya mambo
Kichaka cha mda mrefu kilikuwa ni World cup , imenyanyuliwa mnaanza kuleta ngojera za mara kipind kile kulikuwa na hki mara kile , yaan full ujinga mtupu....
Huyo babu yenu Pele kwishaaaa, sku ZOTE REKODI HUWA ZINAVUNJWA, tunashukru kwa inspiration aliyofanya Ila kuna wababe Zaid yake ...
Kwamba Messi ana World Cup ngapi ? Kwa mchezaji ambaye ni mmoja kati ya watu wanaoongoza kucheza World Cup return on investment hairidhishi ni kama unainvest gunia kumi za mbegu unapata nusu gunia