Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Mashabiki wa Lionel mna-force ushindani na andunje wenu!
 
Ronaldo anajikakamua, Messi anaufurahia mpira na kutandaza kabumbu safi.
 
Wakati Messi anavunja rekodi za wakongwe wa zamani,
Ronaldo anavunja rekodi za Messi

Kama unajua vizr mpira jijibu ww huyo mesi na c.ronald nani katangulia la linga mpaka walingane hatrik na kwa miaka mingapi? La mwisho tunataka mesi tuone anatambaza kabubu ligi za nguvu kama lisbon na england watu ndoo wataelewa…
 
Hivi Messi ni forever young ??

ronaldo epl kakaa miaka sita kafanya nini cha maana ??
 
Kama unajua vizr mpira jijibu ww huyo mesi na c.ronald nani katangulia la linga mpaka walingane hatrik na kwa miaka mingapi? La mwisho tunataka mesi tuone anatambaza kabubu ligi za nguvu kama lisbon na england watu ndoo wataelewa…
ukijua maana ya 'kuvunja rekodi' utaelewa.
 
Kama unajua vizr mpira jijibu ww huyo mesi na c.ronald nani katangulia la linga mpaka walingane hatrik na kwa miaka mingapi? La mwisho tunataka mesi tuone anatambaza kabubu ligi za nguvu kama lisbon na england watu ndoo wataelewa…
Mi sijazungumzia la liga ndugu, mi nimezungumzia anavunja rekodi za magwiji wa soka wa zamani haijalishi huyo gwiji alichezea timu gani au ligi gani.. Got em.....!!!?
 
Embu taja hizo record kijana siyo unaleta story za kwny kahawa
 
Eboo!!! We nawe ni mwanamichezo/mpenzi wa soka!!!? Kama ni mwanamichezo kwa nini hujui Messi anafanya nini kwenye soka au Ronaldo anafanya nini kwenye soka au hata Rooney anafanya nini kwenye soka! Kama we ni mwanasoka si kazi yangu kukutajia rekodi fulani inashikiliwa na mchezaji fulani au fualani anashikilia rekodi kadhaa, kama sio mwanasoka please usinichoshe mie... Got em....!!!!!?
 
Ah ah ah ah ah ah mbona mbovu kijana! Btw huwa nasikia hizo records just mention
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…