Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Hao wote hawa mfikii ronaldinho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavi ya kale hayanuki mkuu!..
What Cristiano Ronaldo is doing now, Leo Messi has done years ago...
Wakati Messi anavunja rekodi za wakongwe wa zamani,
Ronaldo anavunja rekodi za Messi
Kama unajua vizr mpira jijibu ww huyo mesi na c.ronald nani katangulia la linga mpaka walingane hatrik na kwa miaka mingapi? La mwisho tunataka mesi tuone anatambaza kabubu ligi za nguvu kama lisbon na england watu ndoo wataelewa
Hivi Messi ni forever young ??
ronaldo epl kakaa miaka sita kafanya nini cha maana ??
ukijua maana ya 'kuvunja rekodi' utaelewa.Kama unajua vizr mpira jijibu ww huyo mesi na c.ronald nani katangulia la linga mpaka walingane hatrik na kwa miaka mingapi? La mwisho tunataka mesi tuone anatambaza kabubu ligi za nguvu kama lisbon na england watu ndoo wataelewa…
Agalia y tube
Mi sijazungumzia la liga ndugu, mi nimezungumzia anavunja rekodi za magwiji wa soka wa zamani haijalishi huyo gwiji alichezea timu gani au ligi gani.. Got em.....!!!?Kama unajua vizr mpira jijibu ww huyo mesi na c.ronald nani katangulia la linga mpaka walingane hatrik na kwa miaka mingapi? La mwisho tunataka mesi tuone anatambaza kabubu ligi za nguvu kama lisbon na england watu ndoo wataelewa…
Mi sijazungumzia la liga ndugu, mi nimezungumzia anavunja rekodi za magwiji wa soka wa zamani haijalishi huyo gwiji alichezea timu gani au ligi gani.. Got em.....!!!?
Embu taja hizo record kijana siyo unaleta story za kwny kahawa
Eboo!!! We nawe ni mwanamichezo/mpenzi wa soka!!!? Kama ni mwanamichezo kwa nini hujui Messi anafanya nini kwenye soka au Ronaldo anafanya nini kwenye soka au hata Rooney anafanya nini kwenye soka! Kama we ni mwanasoka si kazi yangu kukutajia rekodi fulani inashikiliwa na mchezaji fulani au fualani anashikilia rekodi kadhaa, kama sio mwanasoka please usinichoshe mie... Got em....!!!!!?
mwanaume unajibu hivi.....!!!
Sasa kama ww unajua mwanaume habishani hujui tuzo kubwa duniani ya mwana soka ipo na nani?