Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Dawa na messi nahisi ni timu yeyote anayocoach José mourinho
 
Kale kajamaa ni mchwa mbaya Sana, anapekecha hadi chuma...Jana yeye Ndo kaamua matokeo ilikuwa draw tayari..

boteng alicharangwa chenga na mesi nikajua kazimia!!loh.kuna viumbe wanaumanya!!
 
Mheshimiwa ulikua unabishana kuhusu nini na sasa haubishani kuhusu nini? Twende sawa
 
Kuna majoka yanauma vibaya....linagonga kwa nguvu na kutema sumu kali...huyu chalii na kobra.
 
Kweli kabisa mkuu huo utakuwa ubishani wa kitoto kabisa
 
Mheshimiwa ulikua unabishana kuhusu nini na sasa haubishani kuhusu nini? Twende sawa


Why CR7 fans think he is the best:
-Number of goals
Why football fans know Messi is the best:
- Vision
- Playmaking
- Consistency
- First touch
- Dribbling
- Acceleration
- Chances created
- Number of goals
- Number of assists
- Quality of goals
- Quality of assists
- Free kicks
- Reactions
- Spaced opened
- International performance
- Selfless play
- Team-first mentality
- Fair play
- Respectful
 
Jana Messi ni kama alikuwa kajifungia ndani anacheza mpira na mtoto wake Thiago,huyu andunje kweli ni "Indescribable".
 

Naunga mkono hoja, mweshimiwa Supika! Huu ubishani hauna tija kwa kuwa ukweli ndio huo.
 
Cristiano Ronaldo, mchezaji bora kuwahi kutokea kwrnye historia ya mchezo wq Soka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…