Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Cristiano Ronaldo, mchezaji bora kuwahi kutokea kwrnye historia ya mchezo wq Soka!!


Why CR7 fans think he is the best:
-Number of goals
Why football fans know Messi is the best:
- Vision
- Playmaking
- Consistency
- First touch
- Dribbling
- Acceleration
- Chances created
- Number of goals
- Number of assists
- Quality of goals
- Quality of assists
- Free kicks
- Reactions
- Spaced opened
- International performance
- Selfless play
- Team-first mentality
- Fair play
- Respectful
 
Cristiano Ronaldo, mchezaji bora kuwahi kutokea kwrnye historia ya mchezo wq Soka!!

Kama kurukaruka juu ya mpra uku mpra uko palepale ntakubaliana na ww chrstna hana mpnzani kwa hilo yuko juu na anduje haoni ndani.
 
Sina neno zaidi ya kusema Messi ni wa kipekeee
 
Cristiano Ronaldo, mchezaji bora kuwahi kutokea kwrnye historia ya mchezo wq Soka!!

Ronaldo yupi huyu wenzie wakifunga goli yeye ananuna, wakati ni faida ya wote.?
Amejaa ubinafs tu, Mwone Mess hajui hata kujirusha ndani ya kumi na nane kama Ronaldo.
 
Ndo maana nikachagua kushabikia Barca, Ukiachana na Leo the magician nawapenda wachezaji wote wa Barca
 
Kama kurukaruka juu ya mpra uku mpra uko palepale ntakubaliana na ww chrstna hana mpnzani kwa hilo yuko juu na anduje haoni ndani.

mkuu kwanza kinachosababisha tumkubali cr7 ni hiki kutoka kwenye ligi moja na kwenda nyingine na kuendelea kuwa bora cio nes wenu anaebebwa bebwa na hajawai cheza ligi nyingine zaidi ya hisp
 
Kigezo cha kitaalam ni kuangalia wastani wa magoli ya mchezaji kwa kila mechi. Tangu Messi aanze kucheza la liga mwaka 2004, amefunga magoli 283 katika mechi 312 hivyo wastani wa magoli kwa kila mechi kwa Messi ni 0.9. Yaani kwa wastani dakika 90 hazimtoshi kupata goli moja inabidi akope dakika kadhaa kwenye mechi ya pili ili apate goli moja.
Ronaldo alianza kuchezea la liga mwaka 2009. Amefunga magoli 220 katika mechi 196, ikiwa ni wastani wa magoli 1.13 kwa kila mechi. Yaani Ronaldo anahitaji pungufu ya dakika 90 kupata goli moja. Kwa kigezo hicho cha kitaalam Ronaldo ni mchezaji mzuri zaidi ya messi na kasi yake ya kufunga magoli haijawahi kutokea!
 

Yaani wewe unakichwa kigumu kweli. Fanya kitu ki1. Leta takwimu za wote tangu 2009. Nani kapasia nyavu Mara nyingi. Nani kufanya assist nyingi. Hii ya kusema Messi kaanza kucheza 2004 ni upuuzi tu.
 

uko sahihi mkuu cr7 ni moto mwingine
 
ebu mjiulize nes kacheza ligi gani ngumu zaidi ya laliga?ni kwa nini msiseme iniesta ni boraa?ni kwa nini msiseme xav?ili hali hao ndo wanaojua aliko na kumtengenezea tusiwe tunakaririshwa na wazungu,cr7 katoka lisbon kangaa kaja mun u kachukua balon dio kaenda hispania kawa moto wa kuotea mbal unawezaje kufananisha na mpika chips ness?
 

You know nothing abt football dude.
Kaa kimya tu, wanajua mpira na waliocheza kwa kiwango cha juu waongee.
 
You know nothing abt football dude.
Kaa kimya tu, wanajua mpira na waliocheza kwa kiwango cha juu waongee.

nahs we ndo utakuwa hujui kitu mkuu but huwez fananisha ness na cr7
 

Nyie ndio wale wale msiojua mpira wa miguu. Nani kakuambia kigezo ni magoli peke yake. Tunaojua mpira tunakushangaa.

Kwaa akili zako ndogo hiz za mpira, basi Zidane, Gaucho, na hata The real Ronaldo sio wachezaji bora mana hawakuwa wakifunga mara nyng km anavyofunga CR7.

Mbona Guard Muller alikuwa anafunga sn mpk record yake imevunjwa mwaka jana na Messi na wala hy Muller hyupo ktk list ya wachezaj bora hatar waliowah kuwepo? Naamin hata huyo Muller humjui, we unamjua Thomas Muller tu.

Ngoja niishie hapa, ww kwny mpira bado sanaaaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…