Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?


Mkuu so unazungumzia mfungaji na mchezaji bora au? Maana leo nikikuambia unipe record ya Zidane kama alishawah chukua kiati cha dhahabu ila kwann alichukua uchezaji bora?

Mess magori anayofunga yana akil kuliko anayofunga Ronaldo, Ronaldo anafunga magori easy kabisa ambayo ata Sergio Ramos ila angalia anavochukua mpira Mess na kwenda kiweka kimiani utaona utofauti wa Mess na Ronaldo.

Jana nilikuwa na angalia mpira na mshabiki mkubwa wa Ronaldo lakin alikubali kuwa Mess ni zaid ya Ronaldo huku akitumia neno la utani (Mess kweli yule jamaa Zombie) na kunalizia kuwa Ronaldo amepata bahati ya kufunga tu lakin kimsingi hamfikii Ronaldo
 
nahs we ndo utakuwa hujui kitu mkuu but huwez fananisha ness na cr7

Sitak kubishana na ww, na kwa huu uandishi wako wa "ness" inaonyesha bado mtoto ww. Una mawazp ya kitoto na uwezp wako wa kuchambua mambo bado mdogo sana.

Kwaheri.
 
duh huu ubishi ulianzaga sikunyingi, hadi leo bado unaendelea, haijawahi kutokea wachezaji kuwa na upinzan wa mda mrefu hivi
 
Sitak kubishana na ww, na kwa huu uandishi wako wa "ness" inaonyesha bado mtoto ww. Una mawazp ya kitoto na uwezp wako wa kuchambua mambo bado mdogo sana.

Kwaheri.

tulia we aunt upewe somo but unaonekana we ni kzazi cha kina ness ndo maana hujui kitu
 

Mkuu huu mjadala wa Messi vs CR7 ulishaisha kitambo sana. Wataalam waliobobea katika soka walishatoa majib zaman sn na hata uwanjani kwa wanaojua soka washaona zamani nani ni bora.

Kwa hawa wanaotumia kigezo cha magol peke yake ndio watakaokuja kusema Mayweather ni bora kuliko Tyson na Mohamed Ally kwasababu hajawah kupigwa pambano hata moja.

Messi yuko level nyingine kabisaaaa...
 

Sawa kabisa
 
Kama umefuata vigezo naweza kumkubali cr ila kama umebuni kutoka kichwani mwako ili kumpaisha cr basi inabidi nianze.
 

Well said
 
ligi ya hawa jamaa imeanza 2008, hadi leo mshindi ni mmoja tu!!
 
Mkisha maliza kubishana mjue tuzo ya mchezaji bora wa dunia, mfungaji bora la liga, uefa na ile ya ulaya n.k bado viko nyumbani kwa Cristiano Ronaldo, kasirika,nuna,bisha,usibishe,kataa,kubali,cheka,zomea,umia,
Habari ndio hiyo.
 
Mkisha maliza kubishana mjue tuzo ya mchezaji bora wa dunia, mfungaji bora la liga, uefa na ile ya ulaya n.k bado viko nyumbani kwa Cristiano Ronaldo, kasirika,nuna,bisha,usibishe,kataa,kubali,cheka,zomea,umia,
Habari ndio hiyo.
mwaka huu hamna haja ya kupiga kura mshindi keshapatikana
 

Messi ni cha mtoto kwa Ronaldo! Messi Hana uwezo wa kutumia miguu yote mawili, uwezo wa kutumia kifua ni mdogo, uwezo wa kupiga kichwa ni mdogo, uwezo wa kugombea mipira ya juu ni mdogo! Kasi ya kufunga magoli kwa mechi hamsini Ronaldo! Messi japo ni mchezaji mzuri, lakini hafikii kiwango cha Ronaldo ambaye ndiye Mchezaji bora wa dunia kwa sasa!
 

Magoli ya Messi hayana akili yoyote, hana jipya! Mguu ule ule wa kushoto, mbio zile zile, akifunga kwa kichwa ni kama Kakakuona! inatokea ila kwa nadra sana! Hana vitu adimu!
 
Yaani wewe unakichwa kigumu kweli. Fanya kitu ki1. Leta takwimu za wote tangu 2009. Nani kapasia nyavu Mara nyingi. Nani kufanya assist nyingi. Hii ya kusema Messi kaanza kucheza 2004 ni upuuzi tu.

Huna hoja badala yake unaleta kashfa! Huwezi kunituma cha kufanya, hizo data kama unadhani zitamsaidia Messi ziweke hapa tuzione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…