Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Kigezo cha kitaalam ni kuangalia wastani wa magoli ya mchezaji kwa kila mechi. Tangu Messi aanze kucheza la liga mwaka 2004, amefunga magoli 283 katika mechi 312 hivyo wastani wa magoli kwa kila mechi kwa Messi ni 0.9. Yaani kwa wastani dakika 90 hazimtoshi kupata goli moja inabidi akope dakika kadhaa kwenye mechi ya pili ili apate goli moja.
Ronaldo alianza kuchezea la liga mwaka 2009. Amefunga magoli 220 katika mechi 196, ikiwa ni wastani wa magoli 1.13 kwa kila mechi. Yaani Ronaldo anahitaji pungufu ya dakika 90 kupata goli moja. Kwa kigezo hicho cha kitaalam Ronaldo ni mchezaji mzuri zaidi ya messi na kasi yake ya kufunga magoli haijawahi kutokea!
Mkuu so unazungumzia mfungaji na mchezaji bora au? Maana leo nikikuambia unipe record ya Zidane kama alishawah chukua kiati cha dhahabu ila kwann alichukua uchezaji bora?
Mess magori anayofunga yana akil kuliko anayofunga Ronaldo, Ronaldo anafunga magori easy kabisa ambayo ata Sergio Ramos ila angalia anavochukua mpira Mess na kwenda kiweka kimiani utaona utofauti wa Mess na Ronaldo.
Jana nilikuwa na angalia mpira na mshabiki mkubwa wa Ronaldo lakin alikubali kuwa Mess ni zaid ya Ronaldo huku akitumia neno la utani (Mess kweli yule jamaa Zombie) na kunalizia kuwa Ronaldo amepata bahati ya kufunga tu lakin kimsingi hamfikii Ronaldo