Kesi kwisha.
Habari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.
Unaongea pumba tupuMess nikama samaki, uwezowake ni kuishi Ndani ya Majitu.Yaani kuchezea Barca tu, Messi njeya Barca ni sawa na Mavugo yaani hauna uhakika kama atafunga goli au atacheza vizuri,hasa akiwaArgentina.Yaani uwezowake niwakawaida sana.
Christian Ronaldo nikama Kambare, anaweza kuishi ndaniyamaji yaani RealMadrid na anaweza kuishi njeya maji yaani kwenye matope.
Ata akiwaTimu yataifa R7 ni Hatari, naningumu kumzuia .Ata timuyake ikiwa haichezi vizuri bado anabaki kuwahatari, waulize Juve walio watoa Barca kwenye mashindano ya Ulaya watakueleza tofauti yao.
Kama ikitokea Messi akiondoka Barca basi uo ndioutakua mwishowa umaarufu wake katika soka. maana Samaki hawezi ishi nje yamaji kamainavyo jidhirisha akiwa Argentina.
Ila Ronaldo amejidhihirisha alipoondoka Man U Amekua mzuri zaidi,kwamaana popote anapocheza yeyeni hatari.
Zinatoka kwenye mtihani nini mkuuNaomba facts bro, nina shida na hizi sababu zinazofanya messi awe juu
De Lima ni mshambuliaji mahiri aliyecheza na kuwa na mafanikio makubwa sana katika ligi mbalimbali na bora kabisa duniani akililetea Taifa lake heshima kubwa sana sawasawa la alivyofanya katika vilabu mbalimbali alikosukuma kandanda. CR7, mbali na kufanya vizuri akiwa England hajaacha kusukumiza mpira nyavuni akiwa na RMA na kwa bahati sana ametoa mchango mkubwa kwa Taifa lake akiwa mchezaji wa kawaida na pia akiwa nahodha. Hii imemfanya kuchaguliwa na kutunukiwa heshima kubwa ulaya na duniani kuonyesha ubora wake juu kabisa ya wachezaji wengine wakiwemo akina kichuya, tambwe n.k. Messi ameanza na probably atastaafu akiwa na Barca na soka lake muda wote linatazamwa sambamba klabu yake hiyo, so simply messi ni barca na barca ni messi tangu alivyoanza kuwa vibrant baada ya akina Gaucho kutoka kwenye timu hiyo. Bado hajafanikiwa sana kama hao wawili niliowataja na naamini ukiuliza deni kubwa alilonalo atataja ni la kutoibeba Argentina. Magwiji wengi wamefanya hivyo katika nchi zao. Samatta, Zidane, Gaucho, Maradona, Buffon, Maldini (Baba na Mtoto) and the list goes on.
Basically kwa nafasi zao ndani ya uwanja hawawezi kufanana kwa lolote kwa hiyo mchango ndo utawabeba na reflection ni mafanikio ya jumla.
ureno kaisaidia kwa lipi aswaa zaid ya wenzake ndo walipambana iyo juz ubola wa magoli ya ofside ujui mpila shabik wa man u ww mess kafanya mengi abebwi kama cr daaah kubishana na viraza jauKwani messi kafanya jambo gani la kumfananisha na Ronaldo! kwanza kaisaidia timu yake kuingia nusu fainali na mwaka jana alikuwa jongoo kwa kuchukua UEFA na mwaka jana kaichangia timu yake ya ureno achukue ndoo!
Una akili saana ukiachaga pombe za kienyeji madam..swali murua saana ila liko wazi.Lets assume wote ni the same age-wewe as a manager ungemnunua yupi?
Kwa haya maandishi yako basi hata Muller wa Germany nae ni bora kuliko messi maana nae kabeba World cup!?De Lima ni mshambuliaji mahiri aliyecheza na kuwa na mafanikio makubwa sana katika ligi mbalimbali na bora kabisa duniani akililetea Taifa lake heshima kubwa sana sawasawa la alivyofanya katika vilabu mbalimbali alikosukuma kandanda. CR7, mbali na kufanya vizuri akiwa England hajaacha kusukumiza mpira nyavuni akiwa na RMA na kwa bahati sana ametoa mchango mkubwa kwa Taifa lake akiwa mchezaji wa kawaida na pia akiwa nahodha. Hii imemfanya kuchaguliwa na kutunukiwa heshima kubwa ulaya na duniani kuonyesha ubora wake juu kabisa ya wachezaji wengine wakiwemo akina kichuya, tambwe n.k. Messi ameanza na probably atastaafu akiwa na Barca na soka lake muda wote linatazamwa sambamba klabu yake hiyo, so simply messi ni barca na barca ni messi tangu alivyoanza kuwa vibrant baada ya akina Gaucho kutoka kwenye timu hiyo. Bado hajafanikiwa sana kama hao wawili niliowataja na naamini ukiuliza deni kubwa alilonalo atataja ni la kutoibeba Argentina. Magwiji wengi wamefanya hivyo katika nchi zao. Samatta, Zidane, Gaucho, Maradona, Buffon, Maldini (Baba na Mtoto) and the list goes on.
Basically kwa nafasi zao ndani ya uwanja hawawezi kufanana kwa lolote kwa hiyo mchango ndo utawabeba na reflection ni mafanikio ya jumla.
Hilo halipo na haya ndio mungu hayataki eti kati ya mungu na shetani nani ana nguvu eti unasema wote wanalingana kisha na shetani nae ana super power!? Nop!Mtu anaemuweka mmoja juu kati yao huyo ni mshabiki na siyo mtu wa mpira
ukitoa Messi na Ronaldo nani anaewakaribia kwa mafanikio waliyonayo ndani na nje ya mpira?? hapo ndio utajua kwamba hao jamaa wanaishi ktk dunia yao peke yao
kama yupo mnitag mkimuona
ujinga ni kujisifu una mbio bila kumsifia anaekukimbiza
binafsi nishaachaga kuwashindanisha hawa watu sababu sioni walichopishana....done
Ronaldo alikuwa mshabiki 2 kubusu ureno washkaji wengine ndo wamekomaa hata uefa Sergio ramosi ndo kapga kazKwani messi kafanya jambo gani la kumfananisha na Ronaldo! kwanza kaisaidia timu yake kuingia nusu fainali na mwaka jana alikuwa jongoo kwa kuchukua UEFA na mwaka jana kaichangia timu yake ya ureno achukue ndoo!
Muller ni Gwiji? Au hujaiona hiyo?Kwa haya maandishi yako basi hata Muller wa Germany nae ni bora kuliko messi maana nae kabeba World cup!?
Sometimes katika maisha kuna watu wana bahati ila hawana uwezo na hapa tunazungumzia uwezo not otherwise.
World cup final two copa american final olyimpic medal jamani kwani.mpk ulibebe hilo.kombe ndio uwe umeisaidia nchi. Wangapi wamefika wolrld cup final?? Mwacheni messi ni wadunia nyingine ambayo ronaldo haruhusiwe kuingia.Jibu si unalo au unauliza nn kwani mambo yako wazi ni Ronaldo ndo anatisha kwani kaisaidia timu yake ya taifa ya ureno kuchukua ubingwa na Club yake! Kwa mbali anafuatwa na messi ambaye kwa mda wote ameshindwa kuibeba timu yake ya taifa lakini kwenye Club yake juzi aliibeba timu yake baada ya kuitendea haki pasi ya mwenziee
Kwahiyo torres ni bora kuliko Messi??Kwani messi kafanya jambo gani la kumfananisha na Ronaldo! kwanza kaisaidia timu yake kuingia nusu fainali na mwaka jana alikuwa jongoo kwa kuchukua UEFA na mwaka jana kaichangia timu yake ya ureno achukue ndoo!