Mesut Ozil kafanyaje?

Sina uhakika ila naamini kabisa kua issue inaweza kua ni kwa kutetea haki za wale waislamu wanaoteseka kule China,maana Mchina alipiga mkwala kua kila mechi atakayocheza Ozil wao hawataionyesha kule kwao,na mambo ya Advertisement kwa Ozil,kifupi alichanganya Dini,Siasa pamoja na soka,

Hata national team ya Ujerumani aliondolewa baada ya ile issue yake na raisi wa Uturuki Recey tayyip Erdogan,ikumbukwe kua Ozil ni Mjerumani mwenye asili ya Uturuki.
 
Sasa kama ishu ndy hiyo, anapelekwaje timu ya vijana wakati ananusa 30, wangemwacha hata kama wameamua kumtenga
 
Mshkaji alianza dharau kwa kuwa anapokea mpunga mrefu zaidi ya wachezaji wote. Inasemekana alikuwa pia hahudhurii online meetings za wachezaji. Yaani anamzidi mshahara hadi Arteta kwa mbali sana.

Huenda aligoma pia kuwa loaned out pamoja na kukataa pay cut.

Ila adhabu wanayompa ni kubwa sana.
 
Adhabu waliompa kweli ni kubwa kuliko kawaida..unajihisi umetengwa na kila mtu
 
Kama issue ni pay cut basi hata Martinel aligoma kukatwa mshahara ila bado yupo Arsenal.
 
kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi vikali kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestina na hapo alifichua internal feelings zake ambazo ki ukweli wakistro wengi tunazo dhini ya Israel……..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…