The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Acha kuleta udini na kuilaumu dini kwenye hii issue.kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Kuna matatizo Kati ya serikali ya China na waislamu. Sasa ozil alipojaribu kuwasemea wale waislamu serikali ya China ilikasirika na wakachukua maamuzi ya kuiadhibu arsenal kwa kufanya mambo haya matatu
1) mechi yao iliyokuwa inafuatia ( vs city) ikafutwa na pia mechi zote zilizofuatia zinazoihusu arsenal zikafutwa
2)Kuna mikataba Kati ya arsenal na makampuni mbalimbali ya china. Sasa mikata hiyo ilikuwa mbioni kufutwa kwasababu ya swala la ozil
3) arsenal wanamiliki migahawa mingi huko china. Migahawa hiyo ikawa mbioni kufungwa kutokana na swala la ozil
Baada ya haya mambo matatu Uongozi wa arsenal ukaamua kuchukua hatua ambazo tunaziona leo
Lakini ninachojiuliza Ni kwanini arsenal wasivunje mkataba wa ozil ili waepukane moja kwa moja na matatizo haya, lakini pia kumruhusu ozil kwenda sehemu nyingine