Mesut Ozil kafanyaje?

Mesut Ozil kafanyaje?

Sina uhakika ila naamini kabisa kua issue inaweza kua ni kwa kutetea haki za wale waislamu wanaoteseka kule China,maana Mchina alipiga mkwala kua kila mechi atakayocheza Ozil wao hawataionyesha kule kwao,na mambo ya Advertisement kwa Ozil,kifupi alichanganya Dini,Siasa pamoja na soka,

Hata national team ya Ujerumani aliondolewa baada ya ile issue yake na raisi wa Uturuki Recey tayyip Erdogan,ikumbukwe kua Ozil ni Mjerumani mwenye asili ya Uturuki.
Hiyo ndo ishu iliyopo mkuu...wale wachina wameiambia Arsenal Ozil akicheza mechi hazitaonyeshwa...na kule kuna mapato mengi sana as kama unavyojua population yao ilivyo timu haiwezi poteza pesa quote kwa ajili ya mtu mmoja....shida si kiwango ni hizo siasa za udini.
 
kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Acha uongo wewe Wachina siyo Wakristo ishu ya Ozil ni wachina ndo wamei blackmail Arsenal... na Waislael siyo Wakristo na Ronaldo hajafukuzwa kwa swala hilo...acha uongo.

Unapata ujasiri wa kuandika vitu vya uongo? huoni aibu?
 
dogo wewee bado Sanaa sanaa………………………....hujui figisu za kwenye 'kabumbu'
 
Unapata wapi nguvu na mamlaka ya kuniita dogo asee?

Thibitsha ulichokiongea hapo juu...kama siyo uongo...achana na habari za figisu sijui nini...THIBITISHA
dogo dogoo dogoooo!

hiyo 'negative altitude' ya '("president") Florentino Perez towards CR7' ilitokana na nini??? kwani unadhan ronaldo alikuwa hafungi, alikuwa ajitumi uwanjani? returns kwa uwekezaji wake ilikuwa mbaya?, alimchukulia dem wake??, si kila kitu utakipata kwa ku-google, ..cr7 aliongea na wapenda soka tukamsikia na 'kumuelewaa'...….....truth will stand, dude pressed wrong buttons @ end payz a heavy price, business as usual...……...

ushaidi wenyewe huwezi kuupata/haupo ...na hata la hili la ozil la sasa huwezi washika wachina au hata wajerumani wakati arteta ndiye amekubali kuangushiwa 'jumba bovu' na lawama zoote, nadhani hapo ndiyo utawajua vizuri ma-'caucasians' lakini siku zote ukweli ndiyo unao simama ingawa sometimes unachukua muda, time will tell....

nina hakika kabisaa bado bado hujanielewa, au utakuchukua miaka kadhaa kunielewaa

dogooo endelea kujifunza dogo………..ipo siku utakuwa mzeee wa busaraaa kama mimi!
 
dogo dogoo dogoooo!

hiyo 'negative altitude' ya '("president") Florentino Perez towards CR7' ilitokana na nini??? kwani unadhan ronaldo alikuwa hafungi, alikuwa ajitumi uwanjani? returns kwa uwekezaji wake ilikuwa mbaya?, alimchukulia dem wake??, si kila kitu utakipata kwa ku-google, ..cr7 aliongea na wapenda soka tukamsikia na 'kumuelewaa'...….....truth will stand, dude pressed wrong buttons @ end payz a heavy price, business as usual...……...

ushaidi wenyewe huwezi kuupa/haupo ...na hata la hili la ozil huwezi washika wachina au hata wajerumani wakati arteta ndiye amekubali kuangushiwa 'jumba bovu' na lawama zoote, nadhani hapo ndiyo utawajua vizuri ma-'caucasians' lakini siku zote ukweli ndiyo unao simama ingawa sometimes unachukua muda, time will tell....

nina hakika kabisaa bado bado hujanielewa, au utakuchukua miaka kadhaa kunielewaa

dogooo endelea kujifunza dogo………..ipo siku utakuwa mzeee kama mimi!
Sasa hapo mzee mwenzangu ukristo umeingiaje mana wachina hata dini hawana hapa naona umeamua kutumia hisia zako binafsi
 
dogo dogoo dogoooo!

hiyo 'negative altitude' ya '("president") Florentino Perez towards CR7' ilitokana na nini??? kwani unadhan ronaldo alikuwa hafungi, alikuwa ajitumi uwanjani? returns kwa uwekezaji wake ilikuwa mbaya?, alimchukulia dem wake??, si kila kitu utakipata kwa ku-google, ..cr7 aliongea na wapenda soka tukamsikia na 'kumuelewaa'...….....truth will stand, dude pressed wrong buttons @ end payz a heavy price, business as usual...……...

ushaidi wenyewe huwezi kuupa/haupo ...na hata la hili la ozil huwezi washika wachina au hata wajerumani wakati arteta ndiye amekubali kuangushiwa 'jumba bovu' na lawama zoote, nadhani hapo ndiyo utawajua vizuri ma-'caucasians' lakini siku zote ukweli ndiyo unao simama ingawa sometimes unachukua muda, time will tell....

nina hakika kabisaa bado bado hujanielewa, au utakuchukua miaka kadhaa kunielewaa

dogooo endelea kujifunza dogo………..ipo siku utakuwa mzeee kama mimi!
Kama umeshindwa kuthibitisha basi...na kama umesema uthibitiso siwezi upata popote...tuishie hapa mi nilitaka tu "UTHIBITISHO" sababu mi siyo muumini wa Conspiracy theories naona hatutafikia muafaka.
 
kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Wewe na rashid gwajima hamna tofauti
 
As long as Ozil is in the team , Arsenal matches would not be broadcasted in China and Arsenal won't benefit from Tv rights , because a lot of Arsenal revenue comes from China Tv

More of it is in the internet. Google "Ozil Criticism of Chinese government and how it affects Arsenal football club "

The Chinese government has sworn that as long as Ozil is still in the team , Arsenal would stop benefiting from China because the world market is in China ,they control the world economy and also a big part of Asia .. commercial wise , Arsenal market in Asia would stop and it will affect the club financially, because all club merchandise would be banned from China as well ,So that is the Reason Ozil isn't in the team , don't expect to see him anytime soon

Ozil may just be training and may see out his contract just sitting at home during match days
 
kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Lakini mkuu ukimsoma mdau The Icebreaker katikati ya mistari amezungumza kisababishi hasa ni mchina (japo na yeye hana uhakika) kwamba alijaribu kupenyeza rupiah ya kukataa kuonyesha chochote kinachohusiana na arsenal kutokana na mienendo ya kijana wao na sote tumekuwa tukiaminishwa mchina hana dini na sioni bado sababu ya mkristo amma muislam kukasirika pale mtu anapotetea kisicho sawa kwenye jamii husika unless wewe ndiye uwe na hulka hiyo.
 
So far ozil hana cha kupoteza. Ila dunia ina mambo ya hovyo sana Manny Pacquiao naye yangemkuta kama asingeteua kauli ya kukashifu ushoga
 
Lakini mkuu ukimsoma mdau The Icebreaker katikati ya mistari amezungumza kisababishi hasa ni mchina (japo na yeye hana uhakika) kwamba alijaribu kupenyeza rupiah ya kukataa kuonyesha chochote kinachohusiana na arsenal kutokana na mienendo ya kijana wao na sote tumekuwa tukiaminishwa mchina hana dini na sioni bado sababu ya mkristo amma muislam kukasirika pale mtu anapotetea kisicho sawa kwenye jamii husika unless wewe ndiye uwe na hulka hiyo.
Mchina hana dini kweli...kuna tetesi kuwa kuna waislamu wengi wanashikiliwa na kuteswa kwenye magereza ya China...Serikali ya China inakanusha na hakuna aliyeweza thibitsha mpaka Sasa kama ni kweli...Ozil ameongea but Bila ushahidi pia.. Uchina inadai amewakashifu,amewapa sifa mbaya..Arsenal au FA inamtetea vipi Ozil kwa kitu ameongea hakina ushahidi...Kumbuka Arsenal inapata hasara kwa kutomtumia Ozil..Kiungo mzuri na analipwa pesa nyingi bure tu.

Huyo jamaa umem quote ni mdini tu...suala linaonekana wazi ni Ozil dhidi ya Wa China ye anaingiza Arsenal kwa kuwa ipo FA England ambao ni Wakristo ili awatoe kafara wakristo kwa kitu kinachofanywa na wasio na dini au wasio wakristo...mpuuze tu.
 
Mshkaji alianza dharau kwa kuwa anapokea mpunga mrefu zaidi ya wachezaji wote. Inasemekana alikuwa pia hahudhurii online meetings za wachezaji. Yaani anamzidi mshahara hadi Arteta kwa mbali sana.

Huenda aligoma pia kuwa loaned out pamoja na kukataa pay cut.

Ila adhabu wanayompa ni kubwa sana.
Hii siyo sababu kabisa
 
Back
Top Bottom