The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
-
- #21
Ila alichofanya na alichofanikiwa kimpira haiwezi futika.daah ndio basi tena career yake inaisha vibaya
Haya umetoa wapi?'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians
Ila alichofanya na alichofanikiwa kimpira haiwezi futika.
Hiyo ndo ishu iliyopo mkuu...wale wachina wameiambia Arsenal Ozil akicheza mechi hazitaonyeshwa...na kule kuna mapato mengi sana as kama unavyojua population yao ilivyo timu haiwezi poteza pesa quote kwa ajili ya mtu mmoja....shida si kiwango ni hizo siasa za udini.Sina uhakika ila naamini kabisa kua issue inaweza kua ni kwa kutetea haki za wale waislamu wanaoteseka kule China,maana Mchina alipiga mkwala kua kila mechi atakayocheza Ozil wao hawataionyesha kule kwao,na mambo ya Advertisement kwa Ozil,kifupi alichanganya Dini,Siasa pamoja na soka,
Hata national team ya Ujerumani aliondolewa baada ya ile issue yake na raisi wa Uturuki Recey tayyip Erdogan,ikumbukwe kua Ozil ni Mjerumani mwenye asili ya Uturuki.
Acha uongo wewe Wachina siyo Wakristo ishu ya Ozil ni wachina ndo wamei blackmail Arsenal... na Waislael siyo Wakristo na Ronaldo hajafukuzwa kwa swala hilo...acha uongo.kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
dogo wewee bado Sanaa sanaa………………………....hujui figisu za kwenye 'kabumbu'Acha uongo wewe Wachina siyo Wakristo ishu ya Ozil ni wachina ndo wamei blackmail Arsenal... na Waislael siyo Wakristo na Ronaldo hajafukuzwa kwa swala hilo...acha uongo.
Unapata ujasiri wa kuandika vitu vya uongo? huoni aibu?
Unapata wapi nguvu na mamlaka ya kuniita dogo asee?dogo wewee bado Sanaa sanaa………………………....hujui figisu za kwenye 'kabumbu'
dogo dogoo dogoooo!Unapata wapi nguvu na mamlaka ya kuniita dogo asee?
Thibitsha ulichokiongea hapo juu...kama siyo uongo...achana na habari za figisu sijui nini...THIBITISHA
Sasa hapo mzee mwenzangu ukristo umeingiaje mana wachina hata dini hawana hapa naona umeamua kutumia hisia zako binafsidogo dogoo dogoooo!
hiyo 'negative altitude' ya '("president") Florentino Perez towards CR7' ilitokana na nini??? kwani unadhan ronaldo alikuwa hafungi, alikuwa ajitumi uwanjani? returns kwa uwekezaji wake ilikuwa mbaya?, alimchukulia dem wake??, si kila kitu utakipata kwa ku-google, ..cr7 aliongea na wapenda soka tukamsikia na 'kumuelewaa'...….....truth will stand, dude pressed wrong buttons @ end payz a heavy price, business as usual...……...
ushaidi wenyewe huwezi kuupa/haupo ...na hata la hili la ozil huwezi washika wachina au hata wajerumani wakati arteta ndiye amekubali kuangushiwa 'jumba bovu' na lawama zoote, nadhani hapo ndiyo utawajua vizuri ma-'caucasians' lakini siku zote ukweli ndiyo unao simama ingawa sometimes unachukua muda, time will tell....
nina hakika kabisaa bado bado hujanielewa, au utakuchukua miaka kadhaa kunielewaa
dogooo endelea kujifunza dogo………..ipo siku utakuwa mzeee kama mimi!
Kama umeshindwa kuthibitisha basi...na kama umesema uthibitiso siwezi upata popote...tuishie hapa mi nilitaka tu "UTHIBITISHO" sababu mi siyo muumini wa Conspiracy theories naona hatutafikia muafaka.dogo dogoo dogoooo!
hiyo 'negative altitude' ya '("president") Florentino Perez towards CR7' ilitokana na nini??? kwani unadhan ronaldo alikuwa hafungi, alikuwa ajitumi uwanjani? returns kwa uwekezaji wake ilikuwa mbaya?, alimchukulia dem wake??, si kila kitu utakipata kwa ku-google, ..cr7 aliongea na wapenda soka tukamsikia na 'kumuelewaa'...….....truth will stand, dude pressed wrong buttons @ end payz a heavy price, business as usual...……...
ushaidi wenyewe huwezi kuupa/haupo ...na hata la hili la ozil huwezi washika wachina au hata wajerumani wakati arteta ndiye amekubali kuangushiwa 'jumba bovu' na lawama zoote, nadhani hapo ndiyo utawajua vizuri ma-'caucasians' lakini siku zote ukweli ndiyo unao simama ingawa sometimes unachukua muda, time will tell....
nina hakika kabisaa bado bado hujanielewa, au utakuchukua miaka kadhaa kunielewaa
dogooo endelea kujifunza dogo………..ipo siku utakuwa mzeee kama mimi!
Wewe na rashid gwajima hamna tofautikiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Lakini mkuu ukimsoma mdau The Icebreaker katikati ya mistari amezungumza kisababishi hasa ni mchina (japo na yeye hana uhakika) kwamba alijaribu kupenyeza rupiah ya kukataa kuonyesha chochote kinachohusiana na arsenal kutokana na mienendo ya kijana wao na sote tumekuwa tukiaminishwa mchina hana dini na sioni bado sababu ya mkristo amma muislam kukasirika pale mtu anapotetea kisicho sawa kwenye jamii husika unless wewe ndiye uwe na hulka hiyo.kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Ana ukaribu na magaidi wa kimataifaWakuu Salaam:
Huyu mchezaji kafanya nini mbona maneno mengi sana?
Siyo kwa kudhalilishana huko hadi kupelekwa timu ya vijana!
Mchina hana dini kweli...kuna tetesi kuwa kuna waislamu wengi wanashikiliwa na kuteswa kwenye magereza ya China...Serikali ya China inakanusha na hakuna aliyeweza thibitsha mpaka Sasa kama ni kweli...Ozil ameongea but Bila ushahidi pia.. Uchina inadai amewakashifu,amewapa sifa mbaya..Arsenal au FA inamtetea vipi Ozil kwa kitu ameongea hakina ushahidi...Kumbuka Arsenal inapata hasara kwa kutomtumia Ozil..Kiungo mzuri na analipwa pesa nyingi bure tu.Lakini mkuu ukimsoma mdau The Icebreaker katikati ya mistari amezungumza kisababishi hasa ni mchina (japo na yeye hana uhakika) kwamba alijaribu kupenyeza rupiah ya kukataa kuonyesha chochote kinachohusiana na arsenal kutokana na mienendo ya kijana wao na sote tumekuwa tukiaminishwa mchina hana dini na sioni bado sababu ya mkristo amma muislam kukasirika pale mtu anapotetea kisicho sawa kwenye jamii husika unless wewe ndiye uwe na hulka hiyo.
Hii siyo sababu kabisaMshkaji alianza dharau kwa kuwa anapokea mpunga mrefu zaidi ya wachezaji wote. Inasemekana alikuwa pia hahudhurii online meetings za wachezaji. Yaani anamzidi mshahara hadi Arteta kwa mbali sana.
Huenda aligoma pia kuwa loaned out pamoja na kukataa pay cut.
Ila adhabu wanayompa ni kubwa sana.